Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

Binafsi napenda aina ya uongozi wa anko wako...

Afrika ukiwa kiongozi ili ufanikiwe kumuokoa mwananchi wa chini kabisa, kuna kima hupaswi kuwasikiliza...

Afrika ina wajinga wengi sana, hawa huelewa dhima nzuri ya kiongozi baada ya miaka kadhaa...

Hata Tanzania tunahitaji mtu aina ya Kagame.
Tatizo mjomba mkabila.....na hashauriki katika mapungufu yake....Yeye mungu mtu
 
Humu ndani ya Jf wapo watu wa aina na makundi mbalimbali humu, baadhi ya makundi ya watu wamefungua ID fake humu kimkakati ili kutekeleza kazi zao maalumu. "Watu wa Dawati la Propaganda" wapo wengi sana humu Jf na kwenye mitandao mingine ya kijamii huku wakieneza Propaganda zao pamoja na kuendesha Operesheni zao huku mitandani.
Duuuh
 
Waandishi wa humu walio wengi hawajielewi. Wanaleta makala zao as if bado tupo miaka ya 90😂😂😂😂😂😂

Kama una wazo zuri lidogodeshe kama akili unazo ukishindwa kusummury idea yako utasoma wewe na familia yako.

Pumbavu nyie😂😂😂😂😂😂
Andiko reeeeeefuuuuuu!!!!
Punguza hasira, inawezekana tatizo ni wewe unachukia maandiko marefu, bandiko lipo loud and clear.
 
Rwanda ni kama mole kwenye great lake region.. Ni kama gateway ya baadhi ya mataifa makubwa katika kuvuna kila wanachokitaka

Kwa hiyo hii inaifanya Rwanda kuwa na maadui wa ndani na nje ya nchi walio very strong. Pk ni kiongozi naemkubali sana hasa katika kufanya lobbying na kutengeneza future ya vijana wa Rwanda.

Ila kwenye kutengeneza umoja na stability ya Wanyarwanda ili kuzuia zile series za genocides, naona hapo kafeli kiasi ndio maana Rwanda bado ina ulemavu ule ule alioukuta wakati anachukua nchi na bila huu ulemavu kuisha, sioni Rwanda ikitulia
Future ya vijana wa kitusi
 
Back
Top Bottom