Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

Kwa hiyo lile la mchungaji ni lilikuwa la watu wa humu humu kwetu na si wa jirani kama ilivyokuwa ikisemwa na ata baadhi ya nyuzi humu?

Hivi na Mvungi pia ni kama ilikuwa kuendeleza hizi hizi harakati?

Ndio Bonge anamfanyia Tumbi kila liwezekanalo yeye ashike kiti kwa ajili hii?

Halafu mkuu Tresor Mandala umebadilisha username kutoka MTCK?
Bonge leo anatangazwa rasmi kuwa ni mshindi ..kisha sasa .....

Mkuu ni mabadiliko tu content ni zile zile tuko pamoja
 
Kipindi mjomba James yuko Kinshasa as mkuu wa maugomvi ,ndio Muzee K snr akamtimua ,akalianzisha lile la kisangani wakala kichapo sana maana waliwekwa mtu kati na waangola

Sasa km mjomba mkubwa na mjomba James haziwivi vzr ..si hatari kwa mjomba mkubwa

Anko James na Jkk ni ndugu
Wanajuana kwa vilemba
 
Mwaka 1986 Junevanail aliwaambia wanyarwanda hakuna kurudi...Rwanda kumejaaa......kaeni huko huko Uganda....wakati akihutubia bunge.
Na hii kauli ilimtoa machozi komredi Fred...
Usiwe na shaka.......watarudi tu kwa njia ile ile aliyorudi nayo mjomba wetu mwaka 1992!!!Baada ya kukaa ughaibuni miaka 30
Hawa madogo waliozaliwa ughaibuni hawawezi kukakaa ukimbizini miaka 30 ipo siku watarudi tu...kwa style ile ile ya wazazi wao walipofukuzwa...!!
Mambo ya kutesa kwa zamu...!!!
Mjomba kila mtu intarehamwe hata madogo waliozaliwa 1994 kuja juu...!!

Swali kubwa, ni kwanini wanaogopa kurudi?. Kama wanataka kumpindua Kagame wake wampindue nani kawakataza?. Waje tu.
 
Bonge leo anatangazwa rasmi kuwa ni mshindi ..kisha sasa .....

Mkuu ni mabadiliko tu content ni zile zile tuko pamoja
Okay okay nimekupata mkuu.

Bonge aweke ulinzi imara naona hali ya sasa si shwari kabisa na leo ndio tutaona uhalisia wa wenye nia ovu wakoje japo hili haliwezi kuwa kwa leo pekee ila ujumbe utatumwa.
Kila la kheri mkuu tuko pamoja.
 
Swali kubwa, ni kwanini wanaogopa kurudi?. Kama wanataka kumpindua Kagame wake wampindue nani kawakataza?. Waje tu.
Nadhani wanajipanga kwa mikakati....
Iliwachukua miaka mingi kwa akina Fred kujipanga na kurudi Rwanda na RPF yao......!!!
Unadhani wanaogopa ...ila ni masuala ya timing.
Watarudi tu kupigana nao wachukue madaraka.....akili za wanyarwanda nazijua......mpaka leo wanaishi kwa visasi
 
Okay okay nimekupata mkuu.

Bonge aweke ulinzi imara naona hali ya sasa si shwari kabisa na leo ndio tutaona uhalisia wa wenye nia ovu wakoje japo hili haliwezi kuwa kwa leo pekee ila ujumbe utatumwa.
Kila la kheri mkuu tuko pamoja.
Ngoja atangazwe kisha tuone Bonge atakuja na plan gani lkn km atarudi kwenye drawing table ataona Mpango mkakati autumie huo huo
 
Nadhani wanajipanga kwa mikakati....
Iliwachukua miaka mingi kwa akina Fred kujipanga na kurudi Rwanda na RPF yao......!!!
Unadhani wanaogopa ...ila ni masuala ya timing.
Watarudi tu kupigana nao wachukue madaraka.....akili za wanyarwanda nazijua......mpaka leo wanaishi kwa visasi
Kama kuna mtu ana amini kuwa wale watoto hawatorudi Rwanda huyo anajidanganya
 
Ndio hivyo hivyo. Pamoja na misukosuko ila wakafanikiwa kurudisha Rwanda kwa wanyarwanda. Leo Rwanda inaheshimika.
MKUU UNAONA AKILI ZA WAPWA ZANGU UKIWAMO WEWE. ....KWAMBA KIPINDI CHA ABBY RWANDA HAIKUA KWA WANYARWANDA...ILA KIPINDI CHA KAGAME NDIO RWANDA IMERUDI KWA WANYARWANDA.
NB: MINDEST ZA WATUSI NA RPF🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom