Mji gani mzuri kati ya Lindi na Singida?

Mji gani mzuri kati ya Lindi na Singida?

Manispaa ya Temeke mjini ni wapi, Tandika, Chang'ombe, Mbagala, Rangi Tatu, Wailes,au Vetenary na Kilakala
Mkuu naomba nisiendelee kubishana Hilo vumbi la singida apo kuna nini zaidi ya upepo masaa 24
Singida nawasifia kwa chips kuku tu hapo mpo vizuri
 
Lindi ina wilaya sita....

Kilwa
Liwale
Nachingwea
Rwangwa
Lindi mjini
Lindi vijijini
.....

Ndani ya wilaya ya kilwa Kuna makabila mawili kama sio matatu
Wamatumbi.. Kilwa kaskazini pamoja na wangindo
Kilwa kusini wapo wasiojua kabila lao[emoji23]

Liwale Kuna wangindo pia
Rwangwa Kuna wamwera
Nachingwea Kuna wamwera
Lindi mjini wamwera
Lindi vijijini wamwera
Umeelezea poa kabisa ila kwa lindi taun wenyeji ni wamakonde Maraba na sio wamwera
 
Tatizo la singida ushamba mwingi,kuna kajamaa kanamiliki kagloclery mitaa ya stendi kuu( ukitoka lango la stendi kuu upande wa kushoto) na kagari kake toyota mark11, full "mashauzi", kaglocery kenyewe kadogo utadhani choo cha apa kwangu.
Kiufupi acheni kufananisha Lindi na vitu vya kijinga.
Mkuu Lindi ni kubaya dunia nzima, mtu ikiwa ni mara yake ya kwanza kukanyaga anaweza kujiuliza huku hakuna watu? Majumba ya kizamani watu wamechakaa sijui nini kinaendelea kule
 
Lindi ina wilaya sita....

Kilwa
Liwale
Nachingwea
Rwangwa
Lindi mjini
Lindi vijijini
.....

Ndani ya wilaya ya kilwa Kuna makabila mawili kama sio matatu
Wamatumbi.. Kilwa kaskazini pamoja na wangindo
Kilwa kusini wapo wasiojua kabila lao[emoji23]

Liwale Kuna wangindo pia
Rwangwa Kuna wamwera
Nachingwea Kuna wamwera
Lindi mjini wamwera
Lindi vijijini wamwera
skukrani sana. nimekuelewa.
 
20190609_130746.jpeg
lindi
 
Lindi ina wilaya sita....

Kilwa
Liwale
Nachingwea
Rwangwa
Lindi mjini
Lindi vijijini
.....

Ndani ya wilaya ya kilwa Kuna makabila mawili kama sio matatu
Wamatumbi.. Kilwa kaskazini pamoja na wangindo
Kilwa kusini wapo wasiojua kabila lao[emoji23]

Liwale Kuna wangindo pia
Rwangwa Kuna wamwera
Nachingwea Kuna wamwera
Lindi mjini wamwera
Lindi vijijini wamwera
Hapo kilwa kusini umeongea ukweli kabisa,wengi hawajui kabila Lao,na ukizaliwa na kukulia hapo hutajua lugha ya kabila lolote lile
 
Hapo kilwa kusini umeongea ukweli kabisa,wengi hawajui kabila Lao,na ukizaliwa na kukulia hapo hutajua lugha ya kabila lolote lile
Nimeishi huko habahahaha nawajua vyema kabisa... Mara wajiite wahabesh.... Mara waarabu feki hata hawajulikani
 
Lindi bana acheni masiharaa...
Paris of Africa according to mzungu enzi zilee
Lindi life yake ni rahisi kimtindo, hayo mengine unayoambiwa hapa changanya na zako
Unakumbuka takwimu za TACAIDS Lindi ndo mkoa pekee Tz bara kuwa na % ndogo ya maambukizi ya HIV
Hii ndiyo moja ya sababu hapaendelei maana hakuna interactions ya watu,Biashara kubwa itakuwa kuuziana nazi tu na Sea food
 
Back
Top Bottom