made
JF-Expert Member
- Jun 29, 2010
- 890
- 585
Hizo zote mjini ila makao makuu ya manispaa ni Chang'ombe.....itakuwa mshamba mmoja uliyepita na mbio za mwenge.....Dar ya sasa mtu hasemi anaenda mjini...mtu anasema anaenda kariakoo au posta nk...hayo mambo mnayo nyie wa NDUGUTI hukoManispaa ya Temeke mjini ni wapi, Tandika, Chang'ombe, Mbagala, Rangi Tatu, Wailes,au Vetenary na Kilakala