Mjeshi afunguka kuhusu Arusha

Mjeshi afunguka kuhusu Arusha

Habari wakuu,

Tarehe 25/06/2013 nilimtembelea Rafiki yangu mmoja ambaye ni mwanajeshi Huko mkoa (kapuni) jina la kambi (kapuni). Jamaa aliniambia mambo mengi kuhusu Arusha, hasa kwenye harakati za chadema. anasema yeye alikuwa mkoa wa Arusha kabla hajahamishiwa Kigoma, alikuwa kikosi no(kapuni). aliniambaia kwamba chadema wakifanya maandamano au mikutano walikuwa wanapewa sale za asikari polisi kuja kudeal na chadema, ili ionekane kwamba ni polisi wanaotuliza ghasia kumbe ni wanajesshi wa JWTZ. Jamaa akasema hili suala lilikuwa linawauma sana, kuna siku pale arusha zilitokea fujo kati ya ccm na chadema wakaambiwa waende kuwadhibiti chadema, jamaa wakaenda na uniform za polisi, badala ya kuwapiga chadema wakawapiga ccm, vunjavunja. baada ya fujo kumalizika ikaonekana watu walioumia sana na kuvunjika ni wa ccm. Serikali ikaamua kuwahamisha wote na kuwapeleka pembeni mwa nchi (mipakani huko). akaniambia kwa sasa serikali inachukua wanajeshi wa Morgoro kuja kutuliza fujo Arusha,wakiwa wamevaa gwanda la polisi.

Hii ni hatari sana kutumia Jeshi kuwakandamiza wananchi.
SIRI ya bomu toka China imefichuka!! Aidha hata mauaji ya Zanzibar mwaka 2000 ni wanajeshi toka Morogoro, Kizuka tena MAKOMANDOO!! That's CCM!!
 
unaofanya ni upotoshaji mkubwa..., ni kweli ilishawahi tokea wanajeshi kuvishwa nguo za polisi na kupelekwa pemba, ila hili la arusha hizo ni story za kwenye kahawa

Kama unakiri mwenyewe kuwa waliwahi kupelekwa Zanzibar wakavalishwa jezi za polisi kwa nini hawawezi kupelekwa Arusha?Yote na yote hakuna damu ya mtu itakayopotea bure,hata biblia inasema anayeua kwa upanga atakufa kwa upanga!Yote yana mwisho,hata Osama naye ameonja mauti
 
Mkuu mbona hapo hakuna la kushangaza? Mbona hilo ni jambo linalofahamika siku zote tangu CHADEMA kipate nguvu kubwa hasa TANGANYIKA na kujikongoja kwa kiasi kikubwa kule kwa majirani zetu Zanzibar, serikali ya CCM imekuwa siku zote ikiwatumia askari jeshi kupambana na wafuasi wa CHADEMA baada ya nguvu ya umma kuonekana kushinda kwa mbali nguvu ya polisi.

haya mi nlikuwa sjui!! Mh!
 
Habari wakuu, Tarehe 25/06/2013 nilimtembelea Rafiki yangu mmoja ambaye ni mwanajeshi Huko mkoa (kapuni) jina la kambi (kapuni). Jamaa aliniambia mambo mengi kuhusu Arusha, hasa kwenye harakati za chadema. anasema yeye alikuwa mkoa wa Arusha kabla hajahamishiwa Kigoma, alikuwa kikosi no(kapuni). aliniambaia kwamba chadema wakifanya maandamano au mikutano walikuwa wanapewa sale za asikari polisi kuja kudeal na chadema, ili ionekane kwamba ni polisi wanaotuliza ghasia kumbe ni wanajesshi wa JWTZ. Jamaa akasema hili suala lilikuwa linawauma sana, kuna siku pale arusha zilitokea fujo kati ya ccm na chadema wakaambiwa waende kuwadhibiti chadema, jamaa wakaenda na uniform za polisi, badala ya kuwapiga chadema wakawapiga ccm, vunjavunja. baada ya fujo kumalizika ikaonekana watu walioumia sana na kuvunjika ni wa ccm. Serikali ikaamua kuwahamisha wote na kuwapeleka pembeni mwa nchi (mipakani huko). akaniambia kwa sasa serikali inachukua wanajeshi wa Morgoro kuja kutuliza fuj
 
Habari wakuu,

Tarehe 25/06/2013 nilimtembelea Rafiki yangu mmoja ambaye ni mwanajeshi Huko mkoa (kapuni) jina la kambi (kapuni). Jamaa aliniambia mambo mengi kuhusu Arusha, hasa kwenye harakati za chadema. anasema yeye alikuwa mkoa wa Arusha kabla hajahamishiwa Kigoma, alikuwa kikosi no(kapuni). aliniambaia kwamba chadema wakifanya maandamano au mikutano walikuwa wanapewa sale za asikari polisi kuja kudeal na chadema, ili ionekane kwamba ni polisi wanaotuliza ghasia kumbe ni wanajesshi wa JWTZ. Jamaa akasema hili suala lilikuwa linawauma sana, kuna siku pale arusha zilitokea fujo kati ya ccm na chadema wakaambiwa waende kuwadhibiti chadema, jamaa wakaenda na uniform za polisi, badala ya kuwapiga chadema wakawapiga ccm, vunjavunja. baada ya fujo kumalizika ikaonekana watu walioumia sana na kuvunjika ni wa ccm. Serikali ikaamua kuwahamisha wote na kuwapeleka pembeni mwa nchi (mipakani huko). akaniambia kwa sasa serikali inachukua wanajeshi wa Morgoro kuja kutuliza fujo Arusha,wakiwa wamevaa gwanda la polisi.

Hii ni hatari sana kutumia Jeshi kuwakandamiza wananchi.
Kwa hiyo wewe unafikiri akili zako ni nyingi sana kiasi za kudanganya watu wenye akili zao kacheze mdako na wenzako.
 
Kwa nini mnahangaika sana na arusha nyie chadema? Hizo akili zenu zinavyowatuma,kazi mnayo.
 
Huyo askari uliyemtembelea alikuwa kamanda nasari au kamanda lema?
 
Siku hizi wanatumia wahuni wa green guards,wanawavalisha sare ya Polisi!
 
Mleta uzi huu kwanza inaonekana unamatatizo na kiswahili, angali maneno niliyoweka nyekundu. Pili, habari uliyoileta sidhani kama ina ukweli wowote ila kwa vile binadamu anapenda kushabikia habari kama hizi ndo maana unaona wengi wanakubaliana na wewe

Wanataaluma wanasema hata Shakespear kuna wakati alikuwa akikosea kuandika 'spelling' za jina lake!
 
Dah huu unaitwa umbea,hapa hapa member wa jf wanasema polisi wanaopiga raia wanajulikana mpaka wanapoishi leo umekuja na hadithi mpya,hongera
 
unaofanya ni upotoshaji mkubwa..., ni kweli ilishawahi tokea wanajeshi kuvishwa nguo za polisi na kupelekwa pemba, ila hili la arusha hizo ni story za kwenye kahawa

Kama uliamini hiyo ya Pemba mbona hii inakuwa ngumu au kwa kuwa ni Chadema?
 
Serikali ya CCM inaogopa kuvuliwa madaraka kwani wanajuwa wapinzani wakikamata nchi basi viongozi walio kuwa madarakani enzi za utawala wao account zao zitakuwa frozen ili uchunguzi upite na wakibainika kuwa waliiba watanyongwa na kutaifishwa kila kitu.
 
Habari hii inaeza kua ya kweli, maana baada ya tukio kuna mtu humu alikuja na taarifa kama hizi kutoka kwa mjeshi kwamba bomu lilitoka Uchina na risasi zilizotumika ni za SMG na bastola, na taarifa hizi baadaye kuthibitishwa kua ni za kweli.
 
Kama uliamini hiyo ya Pemba mbona hii inakuwa ngumu au kwa kuwa ni Chadema?

what i wrote is first hand info, huyo aleambiwa na mtu kuhusu arusha si kweli

The story is purposely fabricated to distort the image of the tpdf, it is intended to create hate agaisnt the force.now, you can do two things, either, take it or leave it.
 
Kuna udhahidi mwingi tu. Tunashikuru pamoja ns kutupiga serikari omebaki na polis wenye vyro vikubwa tu na jwtz wenye vyeo hawa wachini wanabuluzwa tu.
 
Habari wakuu,

Tarehe 25/06/2013 nilimtembelea Rafiki yangu mmoja ambaye ni mwanajeshi Huko mkoa (kapuni) jina la kambi (kapuni). Jamaa aliniambia mambo mengi kuhusu Arusha, hasa kwenye harakati za chadema. anasema yeye alikuwa mkoa wa Arusha kabla hajahamishiwa Kigoma, alikuwa kikosi no(kapuni). aliniambaia kwamba chadema wakifanya maandamano au mikutano walikuwa wanapewa sale za asikari polisi kuja kudeal na chadema, ili ionekane kwamba ni polisi wanaotuliza ghasia kumbe ni wanajesshi wa JWTZ. Jamaa akasema hili suala lilikuwa linawauma sana, kuna siku pale arusha zilitokea fujo kati ya ccm na chadema wakaambiwa waende kuwadhibiti chadema, jamaa wakaenda na uniform za polisi, badala ya kuwapiga chadema wakawapiga ccm, vunjavunja. baada ya fujo kumalizika ikaonekana watu walioumia sana na kuvunjika ni wa ccm. Serikali ikaamua kuwahamisha wote na kuwapeleka pembeni mwa nchi (mipakani huko). akaniambia kwa sasa serikali inachukua wanajeshi wa Morgoro kuja kutuliza fujo Arusha,wakiwa wamevaa gwanda la polisi.

Hii ni hatari sana kutumia Jeshi kuwakandamiza wananchi.

Kama tunakumbuka hili la juzi kulikuwa na MwanajePolisi, yaani suruali ya polisi na juu ni JWTZ, kumbe ilikuwa Made in Morogoro. Hii ni ishara kwamba kuna haja ya polisi kuunganishwa na JWTZ.
 
Mimi siamini kama kweli umeambiwa hivyo>
Ingawa mimi siyo mtaalam wa siasa lakini hujiuliza masuali ambayo majibu yake hayakubaliani na mantiki kwa mfano
1 kama kweli serikali ina mkono wake inapata faida gani??? watu wataichukia serikali na mwisho wa yote hawataichagua come 2013 lakini pia
2 Kama huu sio mkono wa serikali ni nani basi? jibu ni gumu bila evidence lakini hapo hapo nani atafaidika iwapo watu wataamini kuwa huo ni mkono wa serikali? obvisously kama ni siasa upinzani ndiyo utagain na ukiendeleza hili kwa mkoa wa arusha upinzani gani utafaidika ? jibu mnalifahamu.
Ndugu zangu mnapozungumza mambo haya msiyaangilie kijuujuu tu kwani inawezekana ikawa zaidi tunavyofikiria
 
Back
Top Bottom