Mjeshi afunguka kuhusu Arusha

Mjeshi afunguka kuhusu Arusha

Na hawa walikuwa ni akina nani vileeeee!!!!!

Askari na Mwangosi.JPG

View attachment 100033


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hadithi yako inatufundisha nini..

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Hadithi yako inatufundisha nini?

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Zanzibar nguvu dhulma za jeshi hasa kipindi cha uchaguzi tumezoea. Bara ndio kwanza mnaziona Arusha, Mtwara na Mbeya. Poleni bandugu the chicken come home to roost,
 
Kwani wewe ulikuwa hujui,ccm wote ni Wapumbavu

KABLA HUJAPOROMOSHA SIFA HIYO UNGEJIRIDHISHA KUONA KUWA HUNA WAZAZI AU NDUGU ZAKO
WANAOIUNGA CCM MKONO. ILA NAFIKIRI UMEENDA MBALI, INAWEZEKANA WAPO WENYE SIFA HIYO ILA SIO WOTE:hand:
 
unaofanya ni upotoshaji mkubwa..., ni kweli ilishawahi tokea wanajeshi kuvishwa nguo za polisi na kupelekwa pemba, ila hili la arusha hizo ni story za kwenye kahawa

Yaani upumbavu wako hauna tofauti na ule wa yule mamba, kama iliwezekana pemba kwanini isiwezekane arusha?
 
Kwani lazima kuvaa sare za polisi? Wanajeshi wanaweza kuingia na magwanda yaho na wasihojiwe
 
We uliyetoa Mada hii ni muongo,mzushi, tena nimegundua kumbe humu JF kuna watu wadanganyifu na wewe ukiwa ni mmoja wapo. Mjeshi mwenye akili timamu anaejua wajubu wake sawasawa, hakubali kufanya upuuzi huo usemao wewe na huyo Mwanajeshi wako uchwara. Aidha inawezekana huyo mwanajeshi aliyekueleza uongo huo inawezekana ni yule bandia aliyepiga picha na Lema, hebu ujiulize yuko wapi sasa. Andika mambo ya ukweli acha kupotosha umma.
 
Sasa unaposema ni muongo tupe ukweli unaoujua sio kulaumu walioleta mada. Na kama huna uhakika unakurupukia nn kutoa maoni? Mbona Mtwara sasa tunasikia mengine?
 
Mtoa maada hana lolote lenye uhakika yote aloyosema yapo hewan tu! Sawa kabisa na umbea wa magazeti ya ijuma na mengine ya udaku! Kwani ni lazima kila mtu akipiga stor na rafki yake ambae ni mwanausalama wataweza jua ukweli juu ya serikali?

hawa ndo waleee ndugu lawama wanaotuma viji sms kujenga chuki kwa wananch! kama kweli unayoyasema sa waogopa nini hapa jamvini hakuna anaekujua wewe mbugira, bila shaka huo ni umbea tu tena wa jinsia ke,.
 
selikari hii ya ccm we acha tu ipo siku watajuta maana wananch wamejua uozo wao.umoja wetu.ndio ukombozi wa tz
 
acha uongo bwana, hayo mambo si ya kweli ila kwa sababu humu wamejaa watu wenye sumu kali na kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali watakuamini.
Huo ni UONGO mkubwa.
 
selikari hii ya ccm we acha tu ipo siku watajuta maana wananch wamejua uozo wao.umoja wetu.ndio ukombozi wa tz
 
Habari wakuu,

Tarehe 25/06/2013 nilimtembelea Rafiki yangu mmoja ambaye ni mwanajeshi Huko mkoa (kapuni) jina la kambi (kapuni). Jamaa aliniambia mambo mengi kuhusu Arusha, hasa kwenye harakati za chadema. anasema yeye alikuwa mkoa wa Arusha kabla hajahamishiwa Kigoma, alikuwa kikosi no(kapuni). aliniambaia kwamba chadema wakifanya maandamano au mikutano walikuwa wanapewa sale za asikari polisi kuja kudeal na chadema, ili ionekane kwamba ni polisi wanaotuliza ghasia kumbe ni wanajesshi wa JWTZ. Jamaa akasema hili suala lilikuwa linawauma sana, kuna siku pale arusha zilitokea fujo kati ya ccm na chadema wakaambiwa waende kuwadhibiti chadema, jamaa wakaenda na uniform za polisi, badala ya kuwapiga chadema wakawapiga ccm, vunjavunja. baada ya fujo kumalizika ikaonekana watu walioumia sana na kuvunjika ni wa ccm. Serikali ikaamua kuwahamisha wote na kuwapeleka pembeni mwa nchi (mipakani huko). akaniambia kwa sasa serikali inachukua wanajeshi wa Morgoro kuja kutuliza fujo Arusha,wakiwa wamevaa gwanda la polisi.

Hii ni hatari sana kutumia Jeshi kuwakandamiza wananchi.

Mkuu kuwa makini hawakawii kukupeleka Igunga kukufungulia kesi ya ugaidi. Sasa hivi wamezihamishia huko baada ya kuona kuzunguka na muathirika kwenye majukwaa hakulipi bora kuanza kesi za ugaidi
 
Na hawa walikuwa ni akina nani vileeeee!!!!!

View attachment 100032

View attachment 100033


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Ile kauli ya M..mbavu ilikuwa ni remix tu. Hawajamaa walishaambiwa toka zamani watembeze virungu, mabomu na risasi. Masikini, wanamshambulia binadamu kama wanaua nyoka. Si ajabu hao wote kwenye picha washa kula vyeo vipya kama chinja chinja Kamuhanda!
 
We uliyetoa Mada hii ni muongo,mzushi, tena nimegundua kumbe humu JF kuna watu wadanganyifu na wewe ukiwa ni mmoja wapo. Mjeshi mwenye akili timamu anaejua wajubu wake sawasawa, hakubali kufanya upuuzi huo usemao wewe na huyo Mwanajeshi wako uchwara. Aidha inawezekana huyo mwanajeshi aliyekueleza uongo huo inawezekana ni yule bandia aliyepiga picha na Lema, hebu ujiulize yuko wapi sasa. Andika mambo ya ukweli acha kupotosha umma.

Utasemaje ni uongo angali uthibitisho wa uongo wako hujaweka?
 
Back
Top Bottom