Mjengwa asitisha mahusiano na Ludovick Joseph kwa tuhuma za 'kuhusika na matukio ya kigaidi'

A Friend in Need is a Friend Indeed..,

With Friends like maggid who needs an enemy ?, what happens to innocent until proven guilty ?

Hivi ikionekana amezingiziwa atamrudisha ?, nadhani angengoja kufanya haya pindi atakaposhitakiwa na sio tuhuma

Looks like he haven't learned the two greatest things in life.

“Never rat on your friends, and always keep your mouth shut." - Jimmy Conway
 
Katika ujinga ambao maggid Mjengwa ameshawai kuufanya na ukatia shaka juu ya uwezo wake wa kufikiri ni huu!

Amesahau sasa watu wataanza kupata doubt kuhusu mwenendo wake.
Kuutangazia umma kuwa una mkana ludovick kunasaidia nini kwenye tuhuma zinazo mkabili?

maggid unadhani hii itasaidia kutohusishwa kwenye haya matukio inapo bidi?

Kwa nini umkane mtu kwaajili ya tuhuma tuu? Je kuna kitu mjengwa anafahamu na kinampa uhakika wa kuhusika kwa ludovick?

Mbona maggid kama unataka kjinasua kwenye hili sakata? Uoga wa nini kama uhusiki?

Kwanini maandishi ya maggid yanatoa hukumu kwa ludovick?
 
nadhani jamaa kaona ukweli fulani na kugundua kuwa kifuatacho yeye naye kama ludovick.Ila pia ni namna ya kujiosha kwamba nyuma ya pazia hafahamu chochote
IMI NILISHA SEMA Mjengwa kwa vyovyote vile ukweli anaufahamu na mwisho wa story atatajwa kuwa yumo.
 
Whatever happened to innocent until proven guilty? Ndo mablogger wenu hao, vichwa panzi!
Usisahau kumdai na nguo ulizompa siku ile alipovuliwa nguo na alleged vibaka.
 
Mimi nilitegemea Magid ndo atakuwa shaidi wa huyo kijana maana yeye ndo alikuwa naye siku ya tukio na inaonekana ni mtu wake wa karibu.
 
Kama ni nyumba sasa hivi tupo kwenye kupaua. Naaam dots zinaanza kutengeneza mstari.
 
Hizi siasa huwa hata sizielewi jamani.. ..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hata CHADEMA wangemkana lwakatarehe ili kupisha uchunguzi .na baadae kuwakana Mbowe na Slaa tutakapo wakamata jnne kutokana na maelezo ya Lwakatare
 
Ndugu zangu,
Kutokana na kuwepo kwa taarifa rasmi za kipolisi zenye kumtuhumu Ludovic Joseph kuhusika na matukio ya kigaidi.

Hii ndiyo aina ya watanzania wanaodai eti kuitetea Nchi yao na kuielimisha jamii ama kweli huu kama si unafiki nini?.
Huwezi kumtupa mtu wako eti kisa tu Polisi inamtuhumu.
 
hata chadema wangemkana lwakatarehe ili kupisha uchunguzi .na baadae kuwakana mbowe na slaa tutakapo wakamata jnne kutokana na maelezo ya lwaka
Unahabari kuwa gari ya baba yako ipo mbalizi imepata ajari ile inayoitwa 'hambaku'msaidie mzee kujikwamua kiuchumi nape na mwigulu watakupoteza soon!!
 
hivi Ludovick anatuhumiwa makosa ya ugaidi au Mjengwa ndio anambatiza ugaidi.!!!!!
 
Kwani Ludovick alitaka kupst vitu MjengwaBlog toka lumande?
Nadhani ingekuwa uungwana kungoja atoke na aje kutangaza mwenyewe kujitoa. Hivi anakuwa kama amemhukumu.
Huu si uungwana unless Maggid aseme amepata taarifa mpya asizozitegemea juu ya kuhusika kwa Ludovick kwenye utekaji...
 
Back
Top Bottom