Mjengwa asitisha mahusiano na Ludovick Joseph kwa tuhuma za 'kuhusika na matukio ya kigaidi'

Kwani Ludovick alitaka kupst vitu MjengwaBlog toka lumande?
Nadhani ingekuwa uungwana kungoja atoke na aje kutangaza mwenyewe kujitoa. Hivi anakuwa kama amemhukumu.
Huu si uungwana unless Maggid aseme amepata taarifa mpya asizozitegemea juu ya kuhusika kwa Ludovick kwenye utekaji...
kuna uzi mmoja unawataja wawili hao, nadhani na manyerere jacton naye ahojiwe
 
Kwa hiyo kuanzia sasa naweza tuma email zangu kwa mjengwa bila kuogppwa kuwa zitapelekwa moja kwa moja kwa kwa makamanda wenzake
 
Hivi kwenye taaarifa yake ya awali si alisema sio mwajiri wake.

Time will tell kila kitu kitajulikana tu
 
A Friend in Need is a Friend Indeed..,

With Friends like maggid who needs an enemy ?, what happens to innocent until proven guilty ?

Hivi ikionekana amezingiziwa atamrudisha ?, nadhani angengoja kufanya haya pindi atakaposhitakiwa na sio tuhuma

Binafsi ningekuwa mmoja wa wafanyakazi wa Maggid waliobaki kesho ningeanza kutuma barua za maombi kutafuta kazi nyingine maana leo huyu kesho kwako.

Simtetei Ludovick lakini hatua ya kusitisha mkataba naye kwa suala la polisi sio haki. Hata sentensi aliyotoa baada ya kukamatwa ilikuwa si ya kiungwana alisema..."katika hili siwezi kusema ninamfahamu..."

Pia naona matendo yake Maggid yatasaidia vyombo vya usalama maana ni kama anataarifa zaidi ya tujuavyo. Hivi wangapi wamewahi kuhojiwa na kushikiliwa na polisi? Huenda hata huyo Maggid aliwawahi kukumbana na polisi katika shughuli zake. Sasa maamuzi haya kwangu mimi yananipa picha kwamba Maggid anataarifa za ndani zaidi.
 
TAARIFA RASMI KUTOKA
Mtandao Wa Kijamii Wa MJENGWABLOG

Sunday, 17 March 2013 | Written by
Mjengwa Blog

Ndugu zangu,
Kutokana na kuwepo kwa taarifa rasmi za kipolisi zenye kumtuhumu Ludovic
Joseph kuhusika na matukio ya kigaidi.

Uongozi wa Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog unasitisha rasmi, kuanzia
leo Jumapili, Machi, 17,2013, kuwa na Ludovick Joseph kama msaidizi wa
Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog na website ya Kwanza Jamii.

Maggid Mjengwa,
Mmiliki wa Mjengwablog /Kwanzajamii

Anajifanya DullySykes kumtema baunsa wake Arafat Ngumi Jiwe aliyepata kashfa ya kulawiti
 
I second you!
Hapa maggid kaonesha ulewa mdogo wa mambo! Nafikiri kuna mambo pengine ana fahamu ndio maana katoa hukumu moja kwa moja!
Kwani Ludovick alitaka kupst vitu MjengwaBlog toka lumande?
Nadhani ingekuwa uungwana kungoja atoke na aje kutangaza mwenyewe kujitoa. Hivi anakuwa kama amemhukumu.
Huu si uungwana unless Maggid aseme amepata taarifa mpya asizozitegemea juu ya kuhusika kwa Ludovick kwenye utekaji...
 
Last edited by a moderator:
Hapa ninamuona Mjengwa kama anajisogeza kwenye tatizo, kama kwa tuhuma tu anamkana rafiki yake basi anajua mengi maovu anaweza akasadia asiachwe!
 
hivi mbona wanapropaganda mnanichanganya hivi kutekwa kwa kibanda kuna uhusiano gani na clip ya lwakatare, kwani kibanda ndiye mwandishi aliye karibu na zitto, na mbona kwenye ile clip lwakatale ameagiza wamteke huyo mwandishi bila kujijua na kumwachia ujumbe bila kumpiga?
 
Mi naona Mjengwa angesubiri kwanza ndipo achukue uamuzi aliouchukua,vinginevyo anajua kila kilichokua kinaendelea kwa Ludovick.
 
Kama wapelelezi wa hii issue ya kibanda watakuwa makini kidogo tu sioni namna gani mjengwa anatoka kwenye huu msambwe,na pakuanzia ni hapohapo anapositisha uhusiano wa kikazi na mtuhumiwa kisha anajikanganya hakumwajiri.Kuna mengi nuyuma ya pazia.
 
Akufaae kwa dhiki ndio rafiki!@maggid wewe ni mnafiki na lazima unafiki wako utalipwa hapa hapa dunia.
Ni kama kifo vile hakiepukiki!!
 
mpaka 2015 ifike pana kazi mbona!
:tape2::crying::tape2::A S 39::crying:
 
Ivi CCM wanatuona watz ni wajinga sana kwamba hatuelewi kinachoendelea.

Mimi ninawaambia sisters and brothers tusikubali kamwe kupelekeshwa na sera za uongo za CCM. CCM ndo imetufikisha hapa tulipo umaskini wa kutupwa. Watanzania tunajulikana dunia nzima kwamba tumelala watu duniani wanatushangaa kwa nini hatuamki na kujitoa kwenye mikono ya mkoloni mweusi.

Watanzania wenzangu tuamke ccm imetunyonya hadi tone la mwisho. Rais anaongoza nchi ila nchi inaongozwa na familia ya raisi. Rasilimali zetu zote zimeisha zinahamishwa watanzania tumebaki walala hoi maskini wakutupwa where are we going? Until when? wake up sisters and brothers let us talk CCm shouldn't have chance to steal anymore. Hatukitaki hiki chama kinanukia harufu ya kila baya katika dunia hii.
 
TAARIFA RASMI KUTOKA Mtandao Wa Kijamii Wa MJENGWABLOG

Sunday, 17 March 2013 | Written by Mjengwa Blog

Ndugu zangu,
Kutokana na kuwepo kwa taarifa rasmi za kipolisi zenye kumtuhumu Ludovic Joseph kuhusika na matukio ya kigaidi.

Uongozi wa Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog unasitisha rasmi, kuanzia leo Jumapili, Machi, 17,2013, kuwa na Ludovick Joseph kama msaidizi wa Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog na website ya Kwanza Jamii.

Maggid Mjengwa,
Mmiliki wa Mjengwablog /Kwanzajamii

Huyo mjengwa mbona sio kama yule anayeliandikia Raia Mwema? Kwake mtuhumiwa ni mhalifu? Na mhalifu atakuwa nani sasa. Mjengwa asituzuge. Anajua yanayoendelea.
 
Back
Top Bottom