cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,129
Kwa kweli, msalimie huyo kid boy. Nina jambo nae.Si unaona profile yangu...
Inasadifu
😂😂😂😂

Hii kwangu ni hapana Nina kazi nyingi sana za kufanya mkuu
Happy Sunday brother. Nzuri hii.MJALI MAMA KIJACHO WAKO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Hakikisha unauhakika Mimba ni yako. Usiwe mpumbavu.
Kitendo cha kuhakikisha Mimba ni yako ndio kujali kwenyewe
2. Mpe Maneno matamu mama kijacho wako
3. Msaidie kazi za nyumbani au mtafutie Msaidizi wa Kazi hapo Nyumbani
4. Hakikisha anakula mlo Kamili( balance diet)
5. Fanyeni kwa pamoja mazoezi madogomadogo kulingana na Hali ya ujauzito wa mama kijacho wako.
6. Hakikisha anakunywa Maji ya kutosha kulingana na maelekezo ya wataalamu
7. Muogeshe mama kijacho wako hasa Mimba ikiwa Kubwa
8. Mkatie Bima ya afya tangu Mimba ikiwa changa ili imsaidie wakati wa kujifungua
9. Wekeni utaratibu wa maombi kila siku tangu siku ya Kwanza ya Mimba Mpaka siku ya mwisho akijifungua.
10. Nunueni vifaa vya kujifungua na vya mtoto kidogokidogo kujiandaa na tukio kubwa zuri la kumpokea mtoto.
11. Usimgombeze Mama kijacho lakini hiyo haimaanishi mwanamke akupelekeshe kwa kisingizio cha Mimba.
Mwanamke anaowajibu wa kukuheshimu wakati wote angekuwa na Mimba ya mapacha Saba.
Hakunaga kisirani cha Mimba. Huo ni utapeli na utovu wa Nidhamu kwa baadhi ya wanawake wasio na Adabu
12. Hakikisha mnaishi vizuri na mama kijacho wako ili mtoto akizaliwa awe na utulivu wa Kihisia na kiakili
13. Epuka Washauri ambao sio wataalamu wa mambo ya kina mama wajawazito.
14. Epuka Imani za kishirikina.
15.. Mpeleke Mama kijacho Kliniki awamu zote zinazohitajika.
Usimuache aende pekeake.
Omba ruhusa kazini ukifika Kliniki watampa Mkeo kipaombele mtawahi kuondoka.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel Tz
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Hahah Jambo lipi?Kwa kweli, msalimie huyo kid boy. Nina jambo nae.
😂😂😂😂
Good!!MJALI MAMA KIJACHO WAKO

Kitanda hakizai haramu au sio
Good!!
Mi wife hana mimba but kila wk end nikifua nguo zangu namfulia na zake!
Binafsi napenda kufuaga mwenyewe, au nitakuwa nimerogwa mkuu!!!
We mwenyewe una kesi ya mama kijacho.
Happy Sunday brother. Nzuri hii.
Vipi kama ni mama kijacho wangu ila ni wa mtaa wa nyuma nafanyajeMJALI MAMA KIJACHO WAKO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Hakikisha unauhakika Mimba ni yako. Usiwe mpumbavu.
Kitendo cha kuhakikisha Mimba ni yako ndio kujali kwenyewe
2. Mpe Maneno matamu mama kijacho wako
3. Msaidie kazi za nyumbani au mtafutie Msaidizi wa Kazi hapo Nyumbani
4. Hakikisha anakula mlo Kamili( balance diet)
5. Fanyeni kwa pamoja mazoezi madogomadogo kulingana na Hali ya ujauzito wa mama kijacho wako.
6. Hakikisha anakunywa Maji ya kutosha kulingana na maelekezo ya wataalamu
7. Muogeshe mama kijacho wako hasa Mimba ikiwa Kubwa
8. Mkatie Bima ya afya tangu Mimba ikiwa changa ili imsaidie wakati wa kujifungua
9. Wekeni utaratibu wa maombi kila siku tangu siku ya Kwanza ya Mimba Mpaka siku ya mwisho akijifungua.
10. Nunueni vifaa vya kujifungua na vya mtoto kidogokidogo kujiandaa na tukio kubwa zuri la kumpokea mtoto.
11. Usimgombeze Mama kijacho lakini hiyo haimaanishi mwanamke akupelekeshe kwa kisingizio cha Mimba.
Mwanamke anaowajibu wa kukuheshimu wakati wote angekuwa na Mimba ya mapacha Saba.
Hakunaga kisirani cha Mimba. Huo ni utapeli na utovu wa Nidhamu kwa baadhi ya wanawake wasio na Adabu
12. Hakikisha mnaishi vizuri na mama kijacho wako ili mtoto akizaliwa awe na utulivu wa Kihisia na kiakili
13. Epuka Washauri ambao sio wataalamu wa mambo ya kina mama wajawazito.
14. Epuka Imani za kishirikina.
15.. Mpeleke Mama kijacho Kliniki awamu zote zinazohitajika.
Usimuache aende pekeake.
Omba ruhusa kazini ukifika Kliniki watampa Mkeo kipaombele mtawahi kuondoka.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel Tz
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Vipi kama ni mama kijacho wangu ila ni wa mtaa wa nyuma nafanyaje
📌🪒Alafu hujamuoa? Au hauishi naye?
Au Mke au Mchumba WA mtu?