Mjali mama kijacho wako

Mjali mama kijacho wako

Mjamzito unaruhusiwa kumla paka miezi mingap

Inategemea na Hali ya Mimba

Ila kama Mimba haisumbui unajilia Mpaka siku ya mwisho ya Kupata uchungu.

Kama Mimba inasumbua kama kutishia kutoka itabidi mfuate maelekezo ya Daktari
 
Mjamzito unaruhusiwa kumla paka miezi mingap
Mjamzito anaweza kufanya Tendo la Ndoa kama kawaida mwanzoni mwa Ujauzito yaani kuanzia Miezi Mitatu ya Mwanzoni, Katikati na Mwishoni mwa Ujauzito hadi anapokaribia kuweza kujifungua.
 
Lucas nyuzi zimepungua sababu yupo porini anaandaa mashamba ya mpunga.

Wakati wa mavuno atarudi kwa kasi ya 5G.

JF yote unajuae pigo takatifu ulilompa kijana wa watu alafu unajifanya kama hujui kinachoendelea.

Kijana wa watu nusura tumpoteze hivihivi.
Unamhujumu Mama walahi.
Kwa Siku Lucas alikuwa anamtaja Mama Samia mara elfu Moja na kumi na Moja
 
Eeeh! Sio kweli mimi Lucas nampenda kinoma.
Yupo kimya sababu yupo busy na kilimo.
 
Back
Top Bottom