Kwema wakuu..
Kununa, kususa, hasira na mengine ya kufanana na hayo ni hadi kujifungua?
Kadri siku zinavyosogea ndio vinazidi kuongezeka.
Wenye uzoefu tupeane mbinu ili mambo yaende sawa. Kipi cha kufanya/kutokufanya.
MJALI MAMA KIJACHO WAKO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Hakikisha unauhakika Mimba ni yako. Usiwe mpumbavu.
Kitendo cha kuhakikisha Mimba ni yako ndio kujali kwenyewe
2. Mpe Maneno matamu mama kijacho wako
3. Msaidie kazi za nyumbani au mtafutie Msaidizi wa Kazi hapo Nyumbani
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.