Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,023
- 52,494
Makubwa Leo umekuwa positive
Kuna mama kijacho mmoja anadai ana mimba yangu,sasa mimi bado sina uhakika kama yangu au ndio kubambikiwa hapa nasubiri mtoto azaliwe mana wengine damu zetu kali.MJALI MAMA KIJACHO WAKO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Hakikisha unauhakika Mimba ni yako. Usiwe mpumbavu.
Kitendo cha kuhakikisha Mimba ni yako ndio kujali kwenyewe
2. Mpe Maneno matamu mama kijacho wako
3. Msaidie kazi za nyumbani au mtafutie Msaidizi wa Kazi hapo Nyumbani
4. Hakikisha anakula mlo Kamili( balance diet)
5. Fanyeni kwa pamoja mazoezi madogomadogo kulingana na Hali ya ujauzito wa mama kijacho wako.
6. Hakikisha anakunywa Maji ya kutosha kulingana na maelekezo ya wataalamu
7. Muogeshe mama kijacho wako hasa Mimba ikiwa Kubwa
8. Mkatie Bima ya afya tangu Mimba ikiwa changa ili imsaidie wakati wa kujifungua
9. Wekeni utaratibu wa maombi kila siku tangu siku ya Kwanza ya Mimba Mpaka siku ya mwisho akijifungua.
10. Nunueni vifaa vya kujifungua na vya mtoto kidogokidogo kujiandaa na tukio kubwa zuri la kumpokea mtoto.
11. Usimgombeze Mama kijacho lakini hiyo haimaanishi mwanamke akupelekeshe kwa kisingizio cha Mimba.
Mwanamke anaowajibu wa kukuheshimu wakati wote angekuwa na Mimba ya mapacha Saba.
Hakunaga kisirani cha Mimba. Huo ni utapeli na utovu wa Nidhamu kwa baadhi ya wanawake wasio na Adabu
12. Hakikisha mnaishi vizuri na mama kijacho wako ili mtoto akizaliwa awe na utulivu wa Kihisia na kiakili
13. Epuka Washauri ambao sio wataalamu wa mambo ya kina mama wajawazito.
14. Epuka Imani za kishirikina.
15.. Mpeleke Mama kijacho Kliniki awamu zote zinazohitajika.
Usimuache aende pekeake.
Omba ruhusa kazini ukifika Kliniki watampa Mkeo kipaombele mtawahi kuondoka.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel Tz
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Raha za mimba bwana, hakuna kuambiwa "nipo period"! Na kidude kina moto hatari.
Precisely, madam!Men will always be men....!
Mama mijacho mwisho kumgegeda mimba ya miezi mingapi?mzabzab na Intelligent businessman mnaulizwa
Kumbe mwanamke akipata mimba haingii period 😲😲😲Raha za mimba bwana, hakuna kuambiwa "nipo period"! Na kidude kina moto hatari.
Unatembea na roho yangu ephen_ 😍😎😎😣Hata mimi! Chakula hakishuki nisipoongea na wewe
Namba 9 ni UPUMBAVUUMJALI MAMA KIJACHO WAKO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Hakikisha unauhakika Mimba ni yako. Usiwe mpumbavu.
Kitendo cha kuhakikisha Mimba ni yako ndio kujali kwenyewe
2. Mpe Maneno matamu mama kijacho wako
3. Msaidie kazi za nyumbani au mtafutie Msaidizi wa Kazi hapo Nyumbani
4. Hakikisha anakula mlo Kamili( balance diet)
5. Fanyeni kwa pamoja mazoezi madogomadogo kulingana na Hali ya ujauzito wa mama kijacho wako.
6. Hakikisha anakunywa Maji ya kutosha kulingana na maelekezo ya wataalamu
7. Muogeshe mama kijacho wako hasa Mimba ikiwa Kubwa
8. Mkatie Bima ya afya tangu Mimba ikiwa changa ili imsaidie wakati wa kujifungua
9. Wekeni utaratibu wa maombi kila siku tangu siku ya Kwanza ya Mimba Mpaka siku ya mwisho akijifungua.
10. Nunueni vifaa vya kujifungua na vya mtoto kidogokidogo kujiandaa na tukio kubwa zuri la kumpokea mtoto.
11. Usimgombeze Mama kijacho lakini hiyo haimaanishi mwanamke akupelekeshe kwa kisingizio cha Mimba.
Mwanamke anaowajibu wa kukuheshimu wakati wote angekuwa na Mimba ya mapacha Saba.
Hakunaga kisirani cha Mimba. Huo ni utapeli na utovu wa Nidhamu kwa baadhi ya wanawake wasio na Adabu
12. Hakikisha mnaishi vizuri na mama kijacho wako ili mtoto akizaliwa awe na utulivu wa Kihisia na kiakili
13. Epuka Washauri ambao sio wataalamu wa mambo ya kina mama wajawazito.
14. Epuka Imani za kishirikina.
15.. Mpeleke Mama kijacho Kliniki awamu zote zinazohitajika.
Usimuache aende pekeake.
Omba ruhusa kazini ukifika Kliniki watampa Mkeo kipaombele mtawahi kuondoka.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel Tz
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
😂😂😂😂✅✅✅Mpaka siku anayoingia labour kama mimba yake haina shida.
Acha nipumzike sasa
Acha TUPATE somoMama vija wamefikiwa, ila sasa comments zinachekesha hatarii.
😂😂😂😂😂😂
Yule demu juzi alieleta uzi kuwa anakupenda alisimangwa hadi akakimbia uzi wake, wadau wanasema ni wewe ulifungua I'd yenye jina la kike ukawa unajibless maupendo , hivi uliona ule uzi?
Mama vija wamefikiwa, ila sasa comments zinachekesha hatarii.
😂😂😂😂😂😂
Namba 9 ni UPUMBAVUU
Raha za mimba bwana, hakuna kuambiwa "nipo period"! Na kidude kina moto hatari.
Kuna mama kijacho mmoja anadai ana mimba yangu,sasa mimi bado sina uhakika kama yangu au ndio kubambikiwa hapa nasubiri mtoto azaliwe mana wengine damu zetu kali.
Though huduma ndogo ndogo natoa.
Makubwa Leo umekuwa positive