Mjadala: Wanaume ndio shida au wanawake?

Mjadala: Wanaume ndio shida au wanawake?

Mwanaume akijifanya ana mfumo dume na manyanyaso kwangu ataiona ndoa chungu...ila akiwa cool,, anajali,, mwaminifu yaan nitampenda na kumheshimu mpaka ashangae, naogopa hata kumkera yaani

Mnaosema ndoa zenye ubabe na mfumo dume zinadumu sijui zina wanawake wa aina gani
 
Zinawanawake waliofundwa na kuandaliwa vyema kuishi kwenye ndoa.
 
Humu naona kuna wanaopinga mfume dume,hivi nyumba inatakiwa iendeshwe na mfumo gani?Mi naona hapo cha kupinga ni manyanyaso,lakini kupinga mfume dume ndani ya nyumba mbadala wake ni nini...?
 
Hilo swali tuwaulize ninyi wanaume maana ninyi ndo huwa mnalipiza ubaya kwa ubaya kuliko wanawake yaani wanawake wote wangesema walipize ubaya kwa ubaya kwa waume zao basi ama kwa hakika wanawake karibu wote walioko kwenye ndoa wangekuwa wanachepuka lakini haiko hivyo

Kwahiyo tuwaulize ninyi wanaume kwanini ninyi ndo huwa mnalipa ubaya kwa ubaya halafu mnataka wake zenu ndo walipe ubaya kwa wema? Ninyi kwanini hamtaki kulipa ubaya kwa wema? Yaani ninyi ndo vinara wa tit for tat kwanini? Which means mnajiona mna haki ya kukosea ila wanawake hawana si ndiyo?

Kabla sijakujibu swali lako nijibu kwanza, ni kwanini huwa unawaona wanaume ndio wana tabia za ajabu sana kushinda wanawake? yaani kwako wewe wanaume ndio wana ushetani mwingi kuliko wanawake! na hii mindset nakuona nayo muda sana hebu niambie ni kwanini!?
 
Hilo swali tuwaulize ninyi wanaume maana ninyi ndo huwa mnalipiza ubaya kwa ubaya kuliko wanawake yaani wanawake wote wangesema walipize ubaya kwa ubaya kwa waume zao basi ama kwa hakika wanawake karibu wote walioko kwenye ndoa wangekuwa wanachepuka lakini haiko hivyo

Kwahiyo tuwaulize ninyi wanaume kwanini ninyi ndo huwa mnalipa ubaya kwa ubaya halafu mnataka wake zenu ndo walipe ubaya kwa wema? Ninyi kwanini hamtaki kulipa ubaya kwa wema? Yaani ninyi ndo vinara wa tit for tat kwanini? Which means mnajiona mna haki ya kukosea ila wanawake hawana si ndiyo?
Hawa ni ubinafsi unawaendesha
 
Basi ni mkeo ndo yuko hivyo na siyo wanawake wote

Halafu kama unaona kuwa ukimsaidia anafaidi sana basi acha kumsaidia

Wanawake wote mko hivyo hiyo ni natural instinct acha ubishi bana!
 
Dada me nakubalia kabsa ulichosema hakuna anaeweza kubisha kabsa... Wanawake wapo strong sana mentally... Nafikiri cc wanaume ndo atujui wanataka nn katika maisha lkn katika mawazo yao always they want to be a leader... And am sure, in this battle they are the winners... Nachopredict katika miaka ya 2070 women are going to lead in everything.....

Ukiishi na mwanamke utaona tu ana chopeka taratibu zake vyake taratibu... Na wanaume wengi tupopenda uwa tunajisahau sana tusifocuss the effect za mambo wanayointroduce wanawake katika ndoa au mahusiano.

To lead everything? how is that gonna be possible? at whose expenses?!

Pamoja na kukua kwa kasi siasa za mlengo wa kushoto kuanzia huko magharibi ambako hiki unachokisema ni ajenda yao kuu! lakini bado suala la mwanamke kuiikamata hii dunia halitawezekana! angalia hivi vichache tu kwanza kuonyesha kwamba hiki unachokisema hakitatokea leo;

-Zaidi ya 83% ya wanasiasa wote duniani ambao ndio watoa maamuzi ni wanaume. hiyo nguvu ya kisiasa wataishika lini?

-Popote pale ukienda duniani zaidi ya robo tatu ya wanajeshi ni wanaume na wanawake waliopo wengi wako kwenye vitengo visivyo na nguvu. hiyo nguvu ya kijeshi wataishika lini?

-Kwenye list ya mabilionea 2023 kidunia wanawake wapo 29 tu. Hapa afrika tunao 35 lakini kati yao wanawake wapo 2 tu, sasa hiyo nguvu ya fedha wataishika lini?

-Kwa mujibu wa jarida la Forbes toleo lililopita walionesha new commers yaani matajiri wapya walioingia kwenye list walikuwa 245, halafu kati ya hao wanawake walikuwa 51 tu waliobaki wote wanaume tena wanaotoka Asia! sasa huo uchumi wataushikia lini?

-Kuna report niliiona mwaka jana ilikuwa inasema kwenye zile top 500 global corporations uwiano wa CEOs kat ya wa kike na wakiume ni 1:6 yaani wanaume ndio wengi.

-Ukija kwenye michezo, mfano kama kwenye mpira kombe la dunia la wanawake lililoisha juzi hapa washindi walikabidhiwa zawadi ya $8m wakati lile la wanaume mwaka jana washindi walikabidhiwa zawadi ya $39m.

Hitimisho sina nia ya kuwa downgrade wanawake wakati wamepiga hatua kubwa sana mpaka kufikia hapo walipo! Ila tu hii ya kusema wanaenda kushika uongozi wa kila kitu kwa huo mwaka ulioutaja hicho kitu hakipo na ni ndoto wao kuuongoza huu ulimwengu.
 
Ha ha ha ha not really! I haven't seen those arguments.

Yes it's undeniable fact that men are stronger or less weak than women but only Physically.. Remember weakness determined by physical and Mental.

We women we are physically weak compared to men but mentally we are so so strong and here women put men to shame!!.

Y'all don't like confident women, educated women and rich women because as per natural we are mentally good mnahisi vipi kama tukiadd these artificial attributes like education, money, beauty and confidence ...you are 100% sure that you will be defeated by technical knock out (TKO)!!![emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Refer Adam in Eden and Samson etc, you will know how much you are mentally weak and you can't help it. Na hamtaweza kuacha kuwa insecure while we are around!

Women are mentally inefficient compared to men~Esther villar(your fellow woman).

It has been manifested throughout the centuries women are both physically and mentally weaker than men. You merely beat us in emotional games!

To demystify this statement that we men are mentally/intellectually more powerful than you women lets put consideration into these few facts below.

1.About 98% of technological advancements of this world have been contributed by Men.

2.Almost every feminine entity you use in your daily basis has been invented by man(pad,contraceptive [emoji381],wigs etc) and we are yet to see anything invented by woman for sole benefits of men.

3.About 85% of all the monies in this world are earned by men only to be spent by women. This clearly shows that women depend on men for survival as the fact tells us money is in the hands of men but squandered by women.

After all that to have been said, now lets get down to see how you beat us in your emotional game!

Your decision making is always based on temporary/present feelings and not what’s fact concerning to the matter. So making of decision for you is processing of feelings that please your mind rather than facts where the real solution is inclined. And that’s the reason why you women love lies because lies always is sweat and it please your mind easily.

As for men it’s plausible we are logical driven decision makers! we look at matter how it is and we choose appropriate solution regardless it make us feel better or not. We may be emotional sometimes but we don’t allow emotions to fully occupy our minds.

While you are emotional thinker and you take everything in emotional way that make you mysterious... we men are logical and we take everything in logical manner that’s why we often find ourselves in difficult moment to deal with you coz we employ logic where it rarely works.

We try to use logic in dealing with your mysteriousness and we end up being disappointed coz logic is always overthrown by emotions! That’s why you won’t stop to hear us chanting wanawake haweleweki.

While logic is about rationality,consistency,fairness,reference and common sense, emotion is about how the particular situation can make you feel better at the moment regardless of whether there is fairness,reference and common sense. And here is the reason why you sometimes make a decision and only come to regret about it later, the reason you disagree with my opinion now but you agree with it tomorrow!

No matter how educated/rich/exposured a woman is, she will always view things through emotional lens before she makes decisions! That’s why they always fail in things that need more logic like politics,business etc!

We men always fail in relationship especially with educated ladies coz we apply logic and expect them to do the same on various issues, we forget that they primarily think through their feelings before they put it in education-wise.

We don’t fear rich or highly educated women we just fear their irrationality, it’s very dangerous when they have a power. Adam and Samson were defeated in emotional arena.
 
Kweli binadamu tunatofautiana mimi mwanaume muaminifu na mpole ndo huwa namheshimu sana tena huwa naogopa hata kumuudhi

Ila mwanaume mzinzi na mbabe ndo hatakaa aipate heshima yangu hata siku moja tena akithubutu kunyanyua mkono wake kunipiga tu kitu nitamfanya hatakuja kusahau hadi anaingia kaburini
Utamfanya nini?

Nilishawachapaga kama ninyi zaidi ya wawili

Tena wa mwisho nilimtia kipondo heavy mpaka famila wakanilaza ndani

Unavyosema utamfanya kitu asiamini huenda wewe ndo akukufanya kitu usiamini

Wanawake mnajitutumua kama chatu sana now days

Na mpaka mtu anafikia kukushushi kipondo jua sio suala dogo na yuko tayari kwa matokeo yote yatakayo kuja

Halafu mwanaume mzinzi unaendelea vipi kuishi nae huna kwenu?
 
Hahahaha Africa bwana yaani kutafuta pesa jukumu ambalo alipewa mwanaume ndo mwanamke anaweza ila uongozi wa familia nafasi ambayo alipewa mwanaume ndo mwanamke hawezi

Hao wanaume unaowapongeza kuwa wanafuata mfumo uliowekwa na Mungu bila shaka ni wale ambao wao ndo wanatafuta pesa na kuwahudumia wake zao na watoto wao na si vinginevyo
Ukitaka mama kaa home usiende kazini nitakuhudumia

Yes ni jukumu langu la asili kukufanya wewe ufurahi kwa nnachokifanya mm

Yooote nitatimiza

Ila usivuke mipaka
 
Yaani umetoa maelezo mengi ila mwisho wa siku umerudi pale pale kuwa men are physically stronger than women but women are emotionally stronger than men mifano ipo mingi sana na tunapoongelea emotions hatumaanishi eti hizo technological inventions sijui nini no tunamaanisha how to handle things in daily life

Mfano wanaume mkiachwa hamna uwezo wa kuvumilia ila wanawake tukiachwa tuna uwezo wa kuvumilia na vile vile wanaume mkicheat wanawake tuna uwezo wa kuvumilia ila wanawake tukicheat wanaume hamna uwezo wa kuvumilia tukija kwenye hiyo mifano ya Adam na Samson sidhani kama kuna ubishi tena hapo kwamba women can manipulate men just through emotions

Huo mfano wa Esther nao pia ni mzuri imagine ndani ya dakika chache tu kupitia maneno yake bila hata ushahidi wowote aliweza kubadilisha urafiki wa mume wake mfalme Ahasuero na muuaji Hamani na kuwa uadui na mfalme kutoa maamuzi magumu pale pale ya Hamani kunyongwa hadi kufa na ndicho kilichotokea kibongobongo tungesema mwanamke kampa limbwata mume wake

Ila ile ilikuwa ni emotional manipulation mwanamke akitaka kumdhuru mwanaume mara nyingi huwa hafanyi yeye kama yeye bali huwa anamtumia mwanaume mwenzie ili hilo jambo lifanyike na mwisho kabisa naomba nikuulize hili swali je ni kwanini kwenye ukomando kunakohitajika nguvu nyingi wanaotumika sana ni wanaume ila kwenye ujasusi kunakohitajika akili nyingi wanaotumika sana ni wanawake?
Women are mentally inefficient compared to men~Esther villar(your fellow woman).

It has been manifested throughout the centuries women are both physically and mentally weaker than men. You merely beat us in emotional games!

To demystify this statement that we men are mentally/intellectually more powerful than you women lets put consideration into these few facts below.

1.About 98% of technological advancements of this world have been contributed by Men.

2.Almost every feminine entity you use in your daily basis has been invented by man(pad,contraceptive [emoji381],wigs etc) and we are yet to see anything invented by woman for sole benefits of men.

3.About 85% of all the monies in this world are earned by men only to be spent by women. This clearly shows that women depend on men for survival as the fact tells us money is in the hands of men but squandered by women.

After all that to have been said, now lets get down to see how you beat us in your emotional game!

Your decision making is always based on temporary/present feelings and not what’s fact concerning to the matter. So making of decision for you is processing of feelings that please your mind rather than facts where the real solution is inclined. And that’s the reason why you women love lies because lies always is sweat and it please your mind easily.

As for men it’s plausible we are logical driven decision makers! we look at matter how it is and we choose appropriate solution regardless it make us feel better or not. We may be emotional sometimes but we don’t allow emotions to fully occupy our minds.

While you are emotional thinker and you take everything in emotional way that make you mysterious... we men are logical and we take everything in logical manner that’s why we often find ourselves in difficult moment to deal with you coz we employ logic where it rarely works.

We try to use logic in dealing with your mysteriousness and we end up being disappointed coz logic is always overthrown by emotions! That’s why you won’t stop to hear us chanting wanawake haweleweki.

While logic is about rationality,consistency,fairness,reference and common sense, emotion is about how the particular situation can make you feel better at the moment regardless of whether there is fairness,reference and common sense. And here is the reason why you sometimes make a decision and only come to regret about it later, the reason you disagree with my opinion now but you agree with it tomorrow!

No matter how educated/rich/exposured a woman is, she will always view things through emotional lens before she makes decisions! That’s why they always fail in things that need more logic like politics,business etc!

We men always fail in relationship especially with educated ladies coz we apply logic and expect them to do the same on various issues, we forget that they primarily think through their feelings before they put it in education-wise.

We don’t fear rich or highly educated women we just fear their irrationality, it’s very dangerous when they have a power. Adam and Samson were defeated in emotional arena.
 
Utamfanya nini?

Nilishawachapaga kama ninyi zaidi ya wawili

Tena wa mwisho nilimtia kipondo heavy mpaka famila wakanilaza ndani

Unavyosema utamfanya kitu asiamini huenda wewe ndo akukufanya kitu usiamini

Wanawake mnajitutumua kama chatu sana now days

Na mpaka mtu anafikia kukushushi kipondo jua sio suala dogo na yuko tayari kwa matokeo yote yatakayo kuja

Halafu mwanaume mzinzi unaendelea vipi kuishi nae huna kwenu?
Kwa vile hayajawahi kukukuta basi endelea na imani yako hiyo hiyo
 
Hahahaha basi hapo hadi umetolea huo mfano wa chupi najua umekumbuka ile comment ile by the way naanzaje kumfulisha chupi mwanaume wangu? Labda aamue mwenyewe ila hilo jambo siwezi muomba anifanyie hata siku moja na hata akifanya siyo sababu ya mimi kumdharau au kumshusha hadhi yake

Ndo maana nikasema binadamu tunatofautiana mimi mwanaume akijifanya dikteta wakati mimi ni mnyenyekevu nitaona kama ananionea na kwa vyovyote vile lazima na mimi nitaanza kuwa mkali maana katika maisha yangu sipendi kupigwa sipendi kuonewa hata kama nina kosa maana najijua mimi siyo mbishi kama kosa ni langu

Sasa mwanaume akijifanya ana mkono mwepesi eti nikimkosea kidogo tu ananipiga wallah nitakachomfanyia asinilaumu na kama ndoa kuvunjika ivunjike tu ila mwanaume akiwa na demokrasia naanzaje kwanza kumkalia kichwani kwa mfano yaani kwanza kwanini nifanye hivyo? Hata mimi nashindwa kuwaelewa wanawake wenzangu wanaopata bahati kama hizo halafu wanazichezea

Mimi hata mwanamke mwenzangu akiniambia eti hawezi kumheshimu mwanaume wake hadi apigwe yaani kama alikuwa rafiki yangu basi na urafiki unavunjika hapo hapo siwezi mimi kuwa na urafiki na mwanamke mwenye mawazo ya kijinga kama hayo yaani eti ili amheshimu mwanaume wake anasubiri hadi apigwe? And why should I even provoke my man to beat me wakati najijua sipendi kupigwa?
Nimefuta quotes zangu zote hapo juu mama

Nisamehe

Hi comment imeniburudisha ghafla na utadumu ndoani.
 
Sometimes udiktekta unasaidia sana kuiweka kwenye msawazo familia.

Nilikuwa naishi kwa mfumo wa demokrasia nyumbani kwangu ila nikaona wife anataka kuwa juu Yangu. Nikabadilika nikaanzisha mfumo wa Jiwe .Dah life is easy now.
Huo ndio ubaharia sasa, sio kulia lia mke hakupi unyumba🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom