Mjadala: Wanaume ndio shida au wanawake?

Ah wapi mimi nimeshasema pesa kwangu siyo kipaumbele maana hata mimi natafuta ila jianaume lizinzi na libabe nitalifanyia kitu kibaya halafu naliacha na pesa zake ila mwanaume muaminifu na mpole kutoka moyoni basi hata mimi sitaona shida kumhudumia
Haswaa hapo kwenye uzinzi.
Mimi nitavumilia yote kwa mwanaume ila sio usaliti
 
Halafu siku hizi wanajifanya kuwa na jeuri kweli sio tu kwa waume zao yaani hata watu baki!

Ukitofautiana nae tu kidogo utaona anaanza ku shout huku akikunyooshea vidole utafikiri anamfokea mwanae..!!

Day fulani tulikuwa tunazunguka zunguka sokoni na mwanangu Chacha, sasa kuna dada mmoja alikuwa amesimama njiani anaongea na simu, jamaa yangu akamwambia kistaarabu tu “dada tunaomba tupite” yule dada aliskia ila akatupuuza huku akiendelea kuongea na simu.

Alichokifanya jamaa yangu ni kumpiga kikumbo mpaka dada wa watu akadondosha simu yake... basi acha aanze kutuporomoshea matusi, aloo yule mchizi wangu alimpa kofi moja mpaka dada akarusha kamasi na akuongea tena alikaa kimya kama hakuna kilichotokea mamaee!!

Hawa viumbe siku hizi wanajifanya wakorofi wakati hata ukorofi hawaujui wala hawauwezi. Dawa akizungua unamalizana nae hapo hapo haina aja ya kujibishana nae sana!
Mkuu nilishasemaga kitu kimoja katika maisha yangu,

Nitamuheshimu sana mwanamke

Tena kama mke wangu ndo ategemee kabisa kuheshimiwa mpaka mwisho

Ila cha msingi lazima atimize wajibu wake mpaka elastic limit

Ule wajibu wa wazee wetu wa siku nyingi ndo huo walivyokuwa wanaishi na bibi zetu

Na hata siku moja katika arguments asije akajaribu kunipanda kichwani atajuta na kama akileta ukaidi atajuta zaidi,

Lazima kila upande utimize wajibu wake kama ikishindikana maana yake hakuna kitu tena hapo
 
Mkuu hakika wewe ni mmoja wapo ya wanaume wachache ambao bado wana uanaume wao asilia.

Kuna vitu huwa nasemaga humu na hata nje ya humu ila naishia kuonekana mjima na kupuuzwa lakini ni vitu vya msingi sana.

Wanawake tuliagizwa tuwapende na tuwajibike kuwatimizia mahitaji yao, wakati huo huo pia na wao wakiwajibika kututii kama waangalizi na watu wa kuwaongoza.

Sasa inapotokea unamkabidhi au kugawana majukumu yako na mwanamke tayari hapo unakuwa umehatarisha nafasi yako kama kiongozi wake ambaye anapaswaa akutii.

Kifuatacho ataanza kuona wewe ni sawa na yeye,atakosa utii,malumbano yasioisha na hatimae mwisho wa siku wewe ndio utajikuta una mtii... yaani mkibishana kitu wewe ndio unakuwa wa kwanza kukubali yaishe.

Lakini ukijiwekea mfumo wa maisha wenye element za mababu na mabibi zetu walivyoushi, haya mambo ya mwanamke kukupanda kichwani utayaskia kwa majirani tu.
 
Yeah it’s glaring truth men are emotionally weaker than women and that’s where you can control men through manipulation.

Pia inatakiwa uelewe utofauti uliopo kati emotion na mental na jinsi tunavyotofautishwa na hivi viwili, tunaposema unafanya vitu kwa kutanguliza hisia ni kwamba hisia inakuwa ndio driving force ya unachokifanya wakati tukiongelea mental ni intellectual processing.

Innovation ni intellectual aspect ndio maana nikasema kutokana na innovation karibu zote kuwa zimefanywa na wanaume basi men are intellectually superior.

Mara nyingi sisi tunajikuta ni waanga wa maamuzi yenu hasa kwenye mahusiano sababu tunatumia logic wakati huo nyie ni mwendo wa hisia kwa kwenda mbele, ndio maana mnaweza mkafanya jambo mkaliona la kawaida lakini kwa mwanaume akalichukulia kwa uzito sana.

Mfano mwanaume anaumia sana akiona mke wake anachepuka kuliko mwanamke akiona mme wake anachepuka. Sababu mwanaume anafikiri vitu sana kuhusu kuchepuka kwako wakati huo mwanamke yeye hisia zake zitamwambia yawezekana ni tamaa tu za kimwili basi. Na hapo ndio tunaona kwamba you are emotionally stronger!
Lol!
 
Mkuu hakika wewe ni mmoja wapo ya wanaume wachache ambao bado wana uanaume wao asilia.

Kuna vitu huwa nasemaga humu na hata nje ya humu ila naishia kuonekana mjima na kupuuzwa lakini ni vitu vya msingi sana.

Wanawake tuliagizwa tuwapende na tuwajibike kuwatimizia mahitaji yao, wakati huo huo pia na wao wakiwajibika kututii kama waangalizi na watu wa kuwaongoza.

Sasa inapotokea unamkabidhi au kugawana majukumu yako na mwanamke tayari hapo unakuwa umehatarisha nafasi yako kama kiongozi wake ambaye anapaswaa akutii.

Kifuatacho ataanza kuona wewe ni sawa na yeye,atakosa utii,malumbano yasioisha na hatimae mwisho wa siku wewe ndio utajikuta una mtii... yaani mkibishana kitu wewe ndio unakuwa wa kwanza kukubali yaishe.

Lakini ukijiwekea mfumo wa maisha wenye element za mababu na mabibi zetu walivyoushi, haya mambo ya mwanamke kukupanda kichwani utayaskia kwa majirani tu.
Ikiwezekana kabisa mwanamke uwe juu yake kila kitu,

Kuanzia elimu inatakiwa uwe juu

Kipato pia inatakiwa uwe juu

Katika maamuzi yako ndo yasikilizwe zaidi ( sometimes ubabe utumike tu hamna namna)

Uwe na uwezo wa kumuamlia kitu mfano sipendi uvae nguo hiyo( asikilize na atii)

Mahitaji yake make sure unamtimizia

Sii mwanamke anajinunulia gari, sijui anajenga WTF

Akitaka kuondoka home(kusafiri) akuage wewe ndo utoe ruhusa yes nenda( simaaniishi umfungie)

Na naamini yote haya yanatimia mkiheshimiana sana ujue yule ni mkeo na yeye ajue wewe ni mumewe thats all
 
Halafu siku hizi wanajifanya kuwa na jeuri kweli sio tu kwa waume zao yaani hata watu baki!

Ukitofautiana nae tu kidogo utaona anaanza ku shout huku akikunyooshea vidole utafikiri anamfokea mwanae..!!

Day fulani tulikuwa tunazunguka zunguka sokoni na mwanangu Chacha, sasa kuna dada mmoja alikuwa amesimama njiani anaongea na simu, jamaa yangu akamwambia kistaarabu tu “dada tunaomba tupite” yule dada aliskia ila akatupuuza huku akiendelea kuongea na simu.

Alichokifanya jamaa yangu ni kumpiga kikumbo mpaka dada wa watu akadondosha simu yake... basi acha aanze kutuporomoshea matusi, aloo yule mchizi wangu alimpa kofi moja mpaka dada akarusha kamasi na akuongea tena alikaa kimya kama hakuna kilichotokea mamaee!!

Hawa viumbe siku hizi wanajifanya wakorofi wakati hata ukorofi hawaujui wala hawauwezi. Dawa akizungua unamalizana nae hapo hapo haina aja ya kujibishana nae sana!
mamaaeee!!! ndo inavyotakiwa
 
Sometimes udiktekta unasaidia sana kuiweka kwenye msawazo familia.

Nilikuwa naishi kwa mfumo wa demokrasia nyumbani kwangu ila nikaona wife anataka kuwa juu Yangu. Nikabadilika nikaanzisha mfumo wa Jiwe .Dah life is easy now.
Ni kweli kabisa.
Hawa viumbe ukiwa lelemama kidogo tu tayari wapo juu yako.
 
Tatizo lipo kote.,hasa wanawake.
Mwanamke anapenda mwanaume romantic lakini at the same time awe na nguvu ya kumcontrol huyo mwanamke.(hapa simaamishi kupiga ama ubabe)
Mwanaume ukiwa mpole Sana yaani ni shida,,,

Shida ya wanaume hawajajua kama kuwa mpole kupita kiasi Cha mwanamke sio vizuri sana..nature ya mwanamke yaani ukimpa Uhuru kupita kiasi anaanza kuchukulia vitu kirahisi rahisi
hivi mwanaume romantic ndo yupoje huyo?? samahani lakini
 
Nakumbuka mbona nilikujibu vizuri tu? Ni mapenzi ya dhati.
Hapo sasa umeeleweka vyema. Kuna siku niliwahi kukuuliza una value kitu gani kwenye mahusiano hukuweza kunijibu kwa usahihi kona zikawa nyingi ila leo nimepata jibu sahihi la lile swali langu sasa.
 
Sasa mtu anaongea na simu unajuaje kama kweli alisikia alichoambiwa? Wanaume mnapendaga tu ugomvi saa nyingine
Halafu siku hizi wanajifanya kuwa na jeuri kweli sio tu kwa waume zao yaani hata watu baki!

Ukitofautiana nae tu kidogo utaona anaanza ku shout huku akikunyooshea vidole utafikiri anamfokea mwanae..!!

Day fulani tulikuwa tunazunguka zunguka sokoni na mwanangu Chacha, sasa kuna dada mmoja alikuwa amesimama njiani anaongea na simu, jamaa yangu akamwambia kistaarabu tu “dada tunaomba tupite” yule dada aliskia ila akatupuuza huku akiendelea kuongea na simu.

Alichokifanya jamaa yangu ni kumpiga kikumbo mpaka dada wa watu akadondosha simu yake... basi acha aanze kutuporomoshea matusi, aloo yule mchizi wangu alimpa kofi moja mpaka dada akarusha kamasi na akuongea tena alikaa kimya kama hakuna kilichotokea mamaee!!

Hawa viumbe siku hizi wanajifanya wakorofi wakati hata ukorofi hawaujui wala hawauwezi. Dawa akizungua unamalizana nae hapo hapo haina aja ya kujibishana nae sana!
 
Nikiangalia zamani na sasa naona utouti mkubwa kwa wanaume na wanawake.

Tofauti na zamani wanaume wengi wa sasa nikienda hospitali au klinic wapo clinic wenyewe wake zao na watoto au wao na watoto, ukitembea pia barabarani au mtaani unaona pia wanaume na watoto wao wamewabeba.

Naona kabsa utandawazi umefanya wanaume wengi kujali wake zao kwa kuwasaidia kazi mbalimbali za kulea na za nyumbani kama kufua, kupika, kuosha vyombo hata kuogesha watoto lakini ukweli ambao ninao wanaume wengi wanaoishi kwa kujali familia zao ndio zinaongoza kwa migogoro na break up.

Sasa hapa ttzo lipo wapi kwa wanaume, wanawake wanapenda Mwanaume wa namna gani.

Nikiangalia familia ambazo wanaume ndio final say ndio zinaongoza kwa kudumu sana.

Mkuu inategemea huo utafiti umeufanya wapi na kama umefanya mahojiano na wahusika ni eneo lipi na kwa asilimia ngapi. Nionavyo mimi ni kuwa kila ndoa ina msingi wake tofauti na nyingine japo kwa asili Mwanaume/Baba ndiye anakuwa kiongozi wa familia na ndoa hiyo.

Sasa basi ukiachilia tabia binafsi za wahusika (Mume na Mke) uwezo wa Baba kiuongozi na kiuchumi katika familia unaweza kuisongesha familia mbele, kuirudisha nyuma au kuitawanya kabisa. Baadhi ya wanawake (Wake zetu) wana tabia ya majaribu anaweza kukuomba umsaidie kudeki nyumba kabla ya wewe kwenda kazini, ukikubali yeye anahamisha shughuli hiyo kuwa yako.

Pia uwezo wa kugawa majukumu na kupanga mikakati ya kiuongozi katika familia inatofautiana na hii ni kwa kuwa vipato vyetu havilingani halafu unakuta baadhi ya wanaume wanaendesha familia kwa kumtegemea mali za ukweni (mfano unaishi kwenye nyumba ya urithi ya mke) au mke tu ambaye asili haikumfanya kuwa kiongozi (lazima ujute) na huwezi kuwa na maamuzi.

Ikiwa Mwanaume (Kiongozi wa familia) huna uwezo wa kusimamia chochote ikiwemo kuhoji mambo ambayo hayaendi sawa ndani ya familia kinachofuata hapo ni dharau toka kwa mke+ ndugu zake (hasa mashemeji).

UKITAKA KUJUA TATIZO LIPO WAPI NI MPAKA UINGIE KATIKA NDOA MOJA MOJA NA KUFANYA UPEMBUZI YAKINIFU MAANA HATA KAMA SISI WANAUME TUNA MATATIZO LAKINI UKUMBUKE HATA
HAO WANAWAKE TULIOWAOA SIO MALAIKA
 
Ikiwezekana kabisa mwanamke uwe juu yake kila kitu,

Kuanzia elimu inatakiwa uwe juu

Kipato pia inatakiwa uwe juu

Katika maamuzi yako ndo yasikilizwe zaidi ( sometimes ubabe utumike tu hamna namna)

Uwe na uwezo wa kumuamlia kitu mfano sipendi uvae nguo hiyo( asikilize na atii)

Mahitaji yake make sure unamtimizia

Sii mwanamke anajinunulia gari, sijui anajenga WTF

Akitaka kuondoka home(kusafiri) akuage wewe ndo utoe ruhusa yes nenda( simaaniishi umfungie)

Na naamini yote haya yanatimia mkiheshimiana sana ujue yule ni mkeo na yeye ajue wewe ni mumewe thats all

All hail to you master!

Your school of thought deserves some noble accolades.

Na hiki unachokisema ndio msingi wa familia/ndoa nyingi zenye afya yaani zisizokuwa na drama wala mitikisiko ya aina yoyote.

Mfano mzuri ni familia za Middle East huko,Oman,Saudi,Iran,Qatar n.k

Huwezi kuskia kesi au migoro mogoro ya ki familia zimekithiri ukanda ule

Huwezi kuskia wanawake wanaandama eti waruhusiwe kuwa wanatoa mimba huko uarabuni.

Huwezi kuskia wanaandamana eti waruhusiwe kutembea nusu uchi huko uarabuni.

Huwezi kuskia mwanamke anajiamulia kumiliki kitu pasipo kumshirikisha mme wako halafu akizongwa zongwa sana anakimbilia mahakamani.. huko uarabuni.

Huwezi kuskia idadi ya talaka zikiongezeka kihole holela tu huko uarabuni.

Ni ngumu kuskia visa vya ajabu ajabu kama kuuana kwa kuchomana moto sababu ya usaliti huko uarabuni.

Huko uarabuni nadhani ndio sehemu pekee ambapo wanaweza wakajisifu wana Family stability katika dunia hii.
 
Sasa mtu anaongea na simu unajuaje kama kweli alisikia alichoambiwa? Wanaume mnapendaga tu ugomvi saa nyingine

Yule dada aliskia kabisa maana aligeuka akatuangalia huku simu ipo skioni kisha akaangalia pembeni bila kusogea hata sentimita moja. Kama ni ugomvi basi aliutafuta yeye!

Halafu hiyo mbona ni kawaida yenu sana? Mwingine nilikutana nae jana, wote tunatembea kwa miguu tukitoka uelekeo tofauti. Mwenzangu alikuwa bize na simu anachati, mwanzoni nilitaka nimkwepe lakini nikaona hapana sikumpisha hata kidogo, aliponikaribia mimi nilichokifanya nikajitunisha mwili mzima yaani kama Bruce Lee vile nikawa mgumu kama jiwe.... sasa ile wakati wakupishana akawa ameshachelewa akajikuta ananiparamia bega.. duuh!! yaani mpaka nikamuonea huruma maana alijishika hapa pembezoni karibu na titi kwa maumivu makali aliyoyaskia baada ya kugongana na mwili mgumu ambao muda huo ulikuwa kama chuma.

Sikuomba cha samahani wala nini. Nilitaka ajifunze siku nyingine awe makini na awe anapisha watu njiani.
 
Lakini ndiyo wanaume wa kiafrika mlivyo hivyo itabidi tuwazoee tu

Back
Top Bottom