Mjadala: Wanaume ndio shida au wanawake?

Mjadala: Wanaume ndio shida au wanawake?

Kweli binadamu tunatofautiana mimi mwanaume muaminifu na mpole ndo huwa namheshimu sana tena huwa naogopa hata kumuudhi

Ila mwanaume mzinzi na mbabe ndo hatakaa aipate heshima yangu hata siku moja tena akithubutu kunyanyua mkono wake kunipiga tu kitu nitamfanya hatakuja kusahau hadi anaingia kaburini
Ujumbe wa kutisha,Utamfanya nini?
 
Nikiangalia zamani na sasa naona utouti mkubwa kwa wanaume na wanawake.

Tofauti na zamani wanaume wengi wa sasa nikienda hospitali au klinic wapo clinic wenyewe wake zao na watoto au wao na watoto, ukitembea pia barabarani au mtaani unaona pia wanaume na watoto wao wamewabeba.

Naona kabsa utandawazi umefanya wanaume wengi kujali wake zao kwa kuwasaidia kazi mbalimbali za kulea na za nyumbani kama kufua, kupika, kuosha vyombo hata kuogesha watoto lakini ukweli ambao ninao wanaume wengi wanaoishi kwa kujali familia zao ndio zinaongoza kwa migogoro na break up.

Sasa hapa ttzo lipo wapi kwa wanaume, wanawake wanapenda Mwanaume wa namna gani.

Nikiangalia familia ambazo wanaume ndio final say ndio zinaongoza kwa kudumu sana.

Umeandika kwamba umeangalia familia ambazo hazidumu hujatuambia ngapi, na familia ambazo mwanamme ana Final say na ambazo zinadumu pia hujatuambia ngapi

Na kwanini isiwezekane sababu ya hizo familia kutokudumu ikawa si Gender wise kama unavyotaka tuamini (labda mabadiliko ya kimaisha na mazingira na si sababu ya kuwa mwanamke au mwanamme)
 
Kweli binadamu tunatofautiana mimi mwanaume muaminifu na mpole ndo huwa namheshimu sana tena huwa naogopa hata kumuudhi

Ila mwanaume mzinzi na mbabe ndo hatakaa aipate heshima yangu hata siku moja tena akithubutu kunyanyua mkono wake kunipiga tu kitu nitamfanya hatakuja kusahau hadi anaingia kaburini
Shida ni kuwa haya maisha hutakaa umpate mtu wa namna hio bali utakutana na akina Adolph Hitler tu😂😂😂 na itabidi ukubaliane na hali maana mwanaume wa design hio huwa hana hela na wewe unapenda awe na hela akupe.

Hamtadumu mtaachana tu 🤣🤣🤣
 
Kweli binadamu tunatofautiana mimi mwanaume muaminifu na mpole ndo huwa namheshimu sana tena huwa naogopa hata kumuudhi

Ila mwanaume mzinzi na mbabe ndo hatakaa aipate heshima yangu hata siku moja tena akithubutu kunyanyua mkono wake kunipiga tu kitu nitamfanya hatakuja kusahau hadi anaingia kaburini
Man still a man.... huwezi kushindana na mwanaume, hata Mungu alianza kumuumba mwanaume kwanza.
 
Ha ha ha ha not really! I haven't seen those arguments.

Yes it's undeniable fact that men are stronger or less weak than women but only Physically.. Remember weakness determined by physical and Mental.

We women we are physically weak compared to men but mentally we are so so strong and here women put men to shame!!.

Y'all don't like confident women, educated women and rich women because as per natural we are mentally good mnahisi vipi kama tukiadd these artificial attributes like education, money, beauty and confidence ...you are 100% sure that you will be defeated by technical knock out (TKO)!!![emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Refer Adam in Eden and Samson etc, you will know how much you are mentally weak and you can't help it. Na hamtaweza kuacha kuwa insecure while we are around!
NOOO, all those trace them their weakness was love, mothrfuckin LOVE... a man fallen in love is very weak.. ndo mana tunakwambia always MARRY A WOMAN WHO LOVES NOT WHO YOU LOVE.
 
Shida ni kuwa haya maisha hutakaa umpate mtu wa namna hio bali utakutana na akina Adolph Hitler tu[emoji23][emoji23][emoji23] na itabidi ukubaliane na hali maana mwanaume wa design hio huwa hana hela na wewe unapenda awe na hela akupe.

Hamtadumu mtaachana tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ah wapi mimi nimeshasema pesa kwangu siyo kipaumbele maana hata mimi natafuta ila jianaume lizinzi na libabe nitalifanyia kitu kibaya halafu naliacha na pesa zake ila mwanaume muaminifu na mpole kutoka moyoni basi hata mimi sitaona shida kumhudumia
 
And that is a concrete evidence that men are only physically stronger than women but women are emotionally stronger than men

And remember even the scriptures say that a man should love his wife and a woman should respect her husband and not otherwise
NOOO, all those trace them their weakness was love, mothrfuckin LOVE... a man fallen in love is very weak.. ndo mana tunakwambia always MARRY A WOMAN WHO LOVES NOT WHO YOU LOVE.
 
Sometimes udiktekta unasaidia sana kuiweka kwenye msawazo familia.

Nilikuwa naishi kwa mfumo wa demokrasia nyumbani kwangu ila nikaona wife anataka kuwa juu Yangu. Nikabadilika nikaanzisha mfumo wa Jiwe .Dah life is easy now.
ukiae ukijua kuna wafadhili wanaomfadhili mkeo ku overthrow huo udikiteta kwaiyo inatakiwa ujipange.
 
And that is a concrete evidence that men are only physically stronger than women but women are emotionally stronger than men

And remember even the scriptures say that a man should love his wife and a woman should respect her husband and not otherwise
that also implies that a man without a woman is the strongest.
 
wanaume tumeumbwa na akili nyingi haiba vipaji na nguvu, ila wanawake mmetushinda hisia tu ambazo hua zinawafanya mnakua kama watoto(wajinga) .. zamani wanaume tulikua tunafunzwa kua emotionally controlled tofauti na vijana wa sasaiv,. mimi hata mwanamke nkimpenda vipi i got limits ambazo ndo zinaamua mwsho wake wapi hakuna compromise inapofikia thus why am always stronger and woman alive can get beyond me.. iwe ni agemate au nani, maana in my experience na wanawake hta kama kakuzidi umri hua hawana tofauti na ulio nao they are all the same.
 
Women are mentally inefficient compared to men~Esther villar(your fellow woman).

It has been manifested throughout the centuries women are both physically and mentally weaker than men. You merely beat us in emotional games!

To demystify this statement that we men are mentally/intellectually more powerful than you women lets put consideration into these few facts below.

1.About 98% of technological advancements of this world have been contributed by Men.

2.Almost every feminine entity you use in your daily basis has been invented by man(pad,contraceptive [emoji381],wigs etc) and we are yet to see anything invented by woman for sole benefits of men.

3.About 85% of all the monies in this world are earned by men only to be spent by women. This clearly shows that women depend on men for survival as the fact tells us money is in the hands of men but squandered by women.

After all that to have been said, now lets get down to see how you beat us in your emotional game!

Your decision making is always based on temporary/present feelings and not what’s fact concerning to the matter. So making of decision for you is processing of feelings that please your mind rather than facts where the real solution is inclined. And that’s the reason why you women love lies because lies always is sweat and it please your mind easily.

As for men it’s plausible we are logical driven decision makers! we look at matter how it is and we choose appropriate solution regardless it make us feel better or not. We may be emotional sometimes but we don’t allow emotions to fully occupy our minds.

While you are emotional thinker and you take everything in emotional way that make you mysterious... we men are logical and we take everything in logical manner that’s why we often find ourselves in difficult moment to deal with you coz we employ logic where it rarely works.

We try to use logic in dealing with your mysteriousness and we end up being disappointed coz logic is always overthrown by emotions! That’s why you won’t stop to hear us chanting wanawake haweleweki.

While logic is about rationality,consistency,fairness,reference and common sense, emotion is about how the particular situation can make you feel better at the moment regardless of whether there is fairness,reference and common sense. And here is the reason why you sometimes make a decision and only come to regret about it later, the reason you disagree with my opinion now but you agree with it tomorrow!

No matter how educated/rich/exposured a woman is, she will always view things through emotional lens before she makes decisions! That’s why they always fail in things that need more logic like politics,business etc!

We men always fail in relationship especially with educated ladies coz we apply logic and expect them to do the same on various issues, we forget that they primarily think through their feelings before they put it in education-wise.

We don’t fear rich or highly educated women we just fear their irrationality, it’s very dangerous when they have a power. Adam and Samson were defeated in emotional arena.
Oooh. You are something else Lizarazu

Well,my momma taught me, not to argue with men, because they will never back down!
She was right Yes she was 100% right.

You've already knocked out, but you don't want to admit.
I know my accolades will come sooner or later from you. So don't celebrate just yet, you still a peace of cake.[emoji123][emoji123]
IMG_20190801_105933_509.jpeg
 
Yaani umetoa maelezo mengi ila mwisho wa siku umerudi pale pale kuwa men are physically stronger than women but women are emotionally stronger than men mifano ipo mingi sana na tunapoongelea emotions hatumaanishi eti hizo technological inventions sijui nini no tunamaanisha how to handle things in daily life

Mfano wanaume mkiachwa hamna uwezo wa kuvumilia ila wanawake tukiachwa tuna uwezo wa kuvumilia na vile vile wanaume mkicheat wanawake tuna uwezo wa kuvumilia ila wanawake tukicheat wanaume hamna uwezo wa kuvumilia tukija kwenye hiyo mifano ya Adam na Samson sidhani kama kuna ubishi tena hapo kwamba women can manipulate men just through emotions

Huo mfano wa Esther nao pia ni mzuri imagine ndani ya dakika chache tu kupitia maneno yake bila hata ushahidi wowote aliweza kubadilisha urafiki wa mume wake mfalme Ahasuero na muuaji Hamani na kuwa uadui na mfalme kutoa maamuzi magumu pale pale ya Hamani kunyongwa hadi kufa na ndicho kilichotokea kibongobongo tungesema mwanamke kampa limbwata mume wake

Ila ile ilikuwa ni emotional manipulation mwanamke akitaka kumdhuru mwanaume mara nyingi huwa hafanyi yeye kama yeye bali huwa anamtumia mwanaume mwenzie ili hilo jambo lifanyike na mwisho kabisa naomba nikuulize hili swali je ni kwanini kwenye ukomando kunakohitajika nguvu nyingi wanaotumika sana ni wanaume ila kwenye ujasusi kunakohitajika akili nyingi wanaotumika sana ni wanawake?
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu jamaa ni mbishi dooh.
Nimekuachia kwakweli.
 
Sometimes udiktekta unasaidia sana kuiweka kwenye msawazo familia.

Nilikuwa naishi kwa mfumo wa demokrasia nyumbani kwangu ila nikaona wife anataka kuwa juu Yangu. Nikabadilika nikaanzisha mfumo wa Jiwe .Dah life is easy now.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]Kama nakuonaa
 
i believe what i see not in books mana i can be an author too,.. women are too weak mentally, u always do things without thinking hence leading to calamities unlike we who do the thinking.. ndo mana during crisis we evacuate women and children first so that we can combat the problem. .

as a matter of fact i cannot force u to believe me but as far as i know , am surely right.
 
Back
Top Bottom