Hahahahahaha, men they are mentally weak IN EVERY ASPECT compared to us! No excuses.
h ni kweli mm nilipataga mwenye 99% ila tuu alikua ana familia nzito sana sijui kama ningewezaga asee hata kama mapenzi ni wa 2.Wote tuna matatizo, mwanamke na mwanaume kila mmoja na matatizo yake...
Hakuna aliye mkamilifu na siku zote huwezi pata yule unayetaka wewe awe kwa asilimia 100...
Cc: mahondaw
Baharia sijui ni mtu wa aina gani labda jidifine kwanza
Yeah but mentally strong.Women are stronger that’s bitter truth but not physically
kaka naomba aspect 5 ambazo wako stronger than we men.Women are stronger that’s bitter truth but not physically
sio dhaifu kwetu tuu ni dhaifu kwenye kila kitu compared to us.
kaka naomba aspect 5 ambazo wako stronger than we men.
mh haya asanteTafsiri ya baharia angalia kwenye kamusi utaona ni wafanyakazi wa baharini sana sana kwenye meli nafikiri ila huyo baharia ni tofauti yeye ni wa nchi kavu
Baharia ni kijana bachelor mwenye vision za mbali kimaisha.Baharia sijui ni mtu wa aina gani labda jidifine kwanza
Hapo sasa umeeleweka vyema. Kuna siku niliwahi kukuuliza una value kitu gani kwenye mahusiano hukuweza kunijibu kwa usahihi kona zikawa nyingi ila leo nimepata jibu sahihi la lile swali langu sasa.Ah wapi mimi nimeshasema pesa kwangu siyo kipaumbele maana hata mimi natafuta ila jianaume lizinzi na libabe nitalifanyia kitu kibaya halafu naliacha na pesa zake ila mwanaume muaminifu na mpole kutoka moyoni basi hata mimi sitaona shida kumhudumia
Aah kwaio umejitungia yakwako..sawa, karibuBaharia ni kijana bachelor mwenye vision za mbali kimaisha.
Sasa kumbe jibu ulikuwa nalo tangu mwanzo teh..teh! Kwahio sasa inakuwaje, unasomeka?Aah kwaio umejitungia yakwako..sawa, karibu
Utamfanya nini?
Nilishawachapaga kama ninyi zaidi ya wawili
Tena wa mwisho nilimtia kipondo heavy mpaka famila wakanilaza ndani
Unavyosema utamfanya kitu asiamini huenda wewe ndo akukufanya kitu usiamini
Wanawake mnajitutumua kama chatu sana now days
Na mpaka mtu anafikia kukushushi kipondo jua sio suala dogo na yuko tayari kwa matokeo yote yatakayo kuja
Where did you learn these[emoji1477][emoji1477][emoji1][emoji1]Oooh. You are something else Lizarazu
Well,my momma taught me, not to argue with men, because they will never back down!
She was right Yes she was 100% right.
You've already knocked out, but you don't want to admit.
I know my accolades will come sooner or later from you. So don't celebrate just yet, you still a peace of cake.[emoji123][emoji123]View attachment 1169050
Yaani umetoa maelezo mengi ila mwisho wa siku umerudi pale pale kuwa men are physically stronger than women but women are emotionally stronger than men mifano ipo mingi sana na tunapoongelea emotions hatumaanishi eti hizo technological inventions sijui nini no tunamaanisha how to handle things in daily life
Mfano wanaume mkiachwa hamna uwezo wa kuvumilia ila wanawake tukiachwa tuna uwezo wa kuvumilia na vile vile wanaume mkicheat wanawake tuna uwezo wa kuvumilia ila wanawake tukicheat wanaume hamna uwezo wa kuvumilia tukija kwenye hiyo mifano ya Adam na Samson sidhani kama kuna ubishi tena hapo kwamba women can manipulate men just through emotions
Huo mfano wa Esther nao pia ni mzuri imagine ndani ya dakika chache tu kupitia maneno yake bila hata ushahidi wowote aliweza kubadilisha urafiki wa mume wake mfalme Ahasuero na muuaji Hamani na kuwa uadui na mfalme kutoa maamuzi magumu pale pale ya Hamani kunyongwa hadi kufa na ndicho kilichotokea kibongobongo tungesema mwanamke kampa limbwata mume wake
Ila ile ilikuwa ni emotional manipulation mwanamke akitaka kumdhuru mwanaume mara nyingi huwa hafanyi yeye kama yeye bali huwa anamtumia mwanaume mwenzie ili hilo jambo lifanyike na mwisho kabisa naomba nikuulize hili swali je ni kwanini kwenye ukomando kunakohitajika nguvu nyingi wanaotumika sana ni wanaume ila kwenye ujasusi kunakohitajika akili nyingi wanaotumika sana ni wanawake?
Oooh. You are something else Lizarazu
Well,my momma taught me, not to argue with men, because they will never back down!
She was right Yes she was 100% right.
You've already knocked out, but you don't want to admit.
I know my accolades will come sooner or later from you. So don't celebrate just yet, you still a peace of cake.[emoji123][emoji123]View attachment 1169050
i believe what i see not in books mana i can be an author too,.. women are too weak mentally, u always do things without thinking hence leading to calamities unlike we who do the thinking.. ndo mana during crisis we evacuate women and children first so that we can combat the problem. .
as a matter of fact i cannot force u to believe me but as far as i know , am surely right.
Tatizo lipo kote.,hasa wanawake.Nikiangalia zamani na sasa naona utouti mkubwa kwa wanaume na wanawake.
Tofauti na zamani wanaume wengi wa sasa nikienda hospitali au klinic wapo clinic wenyewe wake zao na watoto au wao na watoto, ukitembea pia barabarani au mtaani unaona pia wanaume na watoto wao wamewabeba.
Naona kabsa utandawazi umefanya wanaume wengi kujali wake zao kwa kuwasaidia kazi mbalimbali za kulea na za nyumbani kama kufua, kupika, kuosha vyombo hata kuogesha watoto lakini ukweli ambao ninao wanaume wengi wanaoishi kwa kujali familia zao ndio zinaongoza kwa migogoro na break up.
Sasa hapa ttzo lipo wapi kwa wanaume, wanawake wanapenda Mwanaume wa namna gani.
Nikiangalia familia ambazo wanaume ndio final say ndio zinaongoza kwa kudumu sana.