Mjadala: Wanaume ndio shida au wanawake?

All hail to you master!

Your school of thought deserves some noble accolades.

Na hiki unachokisema ndio msingi wa familia/ndoa nyingi zenye afya yaani zisizokuwa na drama wala mitikisiko ya aina yoyote.

Mfano mzuri ni familia za Middle East huko,Oman,Saudi,Iran,Qatar n.k

Huwezi kuskia kesi au migoro mogoro ya ki familia zimekithiri ukanda ule

Huwezi kuskia wanawake wanaandama eti waruhusiwe kuwa wanatoa mimba huko uarabuni.

Huwezi kuskia wanaandamana eti waruhusiwe kutembea nusu uchi huko uarabuni.

Huwezi kuskia mwanamke anajiamulia kumiliki kitu pasipo kumshirikisha mme wako halafu akizongwa zongwa sana anakimbilia mahakamani.. huko uarabuni.

Huwezi kuskia idadi ya talaka zikiongezeka kihole holela tu huko uarabuni.

Ni ngumu kuskia visa vya ajabu ajabu kama kuuana kwa kuchomana moto sababu ya usaliti huko uarabuni.

Huko uarabuni nadhani ndio sehemu pekee ambapo wanaweza wakajisifu wana Family stability katika dunia hii.
Wanaendesha ndoa za kwa katiba ya kiislam ambapo 80% ya vipengele ni mfumo dume. Pia kitabu kimedhibiti sana tamaa, kule ukifanya upumbavu hukawilii kupigwa mawe hadi ufe, hukawili kunyongwa au kuchinjwa kama kuku sasa nani anataka afe kwa tamaa za mda mchache japo maovu yanafanyika ila ni very rare na kwa usiri mkubwa sana.

Kikubwa hawatumii mambo ya gender balance kule so lazma mambo yawe mazuri tu.Mke ni pambo na chombo cha starehe kwa mumewe na hilo wanalijua na kuliheshimu. Huku shida ni mfumo wa haki sawa maana kimsingi hakuna mwanaume anaeshindwa kumhudumia mkewe na familia kwa mahitaji muhimu ila tamaa za mke ndio anaona bora afanye kazi awe sawa au zaidi ya mume maana wameaminishwa mume akiwa juu atamnyanyasa so hata kufanya majukumu yake kwa mume anaona manyanyaso. Anataka kama akienda kazini basi wote mpange zamu ya kupika, kudeki na kufua nguo zenu na za watoto.

Just angalia before mifumo ya kijinga ya gender balance ndoa zilikuwa imara na kuolewa ilikuwa kitu kikubwa na cha maana mno so mke na mume walipikwa vizuri na walikuwa wanajua nini maana ya ndoa na utayari ila sikuhizi ndoa ni uwezo wako tu kifedha swala la utayari halizingatiwi.

Ukiweza kulipa mahari na kulisha watu ukumbini basi unakuwa umeoa tayari. Baada ya mwaka mmeshindwana kila mtu anachukua 50 zake.
 
Ndiyo sasa kama wote wewe na mkeo mnatafuta pesa, wote mnalipa bili, wote mnanunua mahitaji ya nyumbani na wote mnasomesha watoto kwa usawa kabisa au tena usikute mke ndo anafanya zaidi sasa wewe unashindwa nini au unaona ubaya gani kumsaidia na yeye hizo kazi zake?

Halafu siku hizi wanajifanya kuwa na jeuri kweli sio tu kwa waume zao yaani hata watu baki!

Ukitofautiana nae tu kidogo utaona anaanza ku shout huku akikunyooshea vidole utafikiri anamfokea mwanae..!!

Day fulani tulikuwa tunazunguka zunguka sokoni na mwanangu Chacha, sasa kuna dada mmoja alikuwa amesimama njiani anaongea na simu, jamaa yangu akamwambia kistaarabu tu “dada tunaomba tupite” yule dada aliskia ila akatupuuza huku akiendelea kuongea na simu.

Alichokifanya jamaa yangu ni kumpiga kikumbo mpaka dada wa watu akadondosha simu yake... basi acha aanze kutuporomoshea matusi, aloo yule mchizi wangu alimpa kofi moja mpaka dada akarusha kamasi na akuongea tena alikaa kimya kama hakuna kilichotokea mamaee!!

Hawa viumbe siku hizi wanajifanya wakorofi wakati hata ukorofi hawaujui wala hawauwezi. Dawa akizungua unamalizana nae hapo hapo haina aja ya kujibishana nae sana!

Hapo Mkuu wenye bahati mbaya na mikono yetu unasikia mtu tii chini na Kifo juu, unafanyaje hapo Chief sometimes it’s better to walk Away Tu

Kumpiga si suluhu
 
All hail to you master!

Your school of thought deserves some noble accolades.

Na hiki unachokisema ndio msingi wa familia/ndoa nyingi zenye afya yaani zisizokuwa na drama wala mitikisiko ya aina yoyote.

Mfano mzuri ni familia za Middle East huko,Oman,Saudi,Iran,Qatar n.k

Huwezi kuskia kesi au migoro mogoro ya ki familia zimekithiri ukanda ule

Huwezi kuskia wanawake wanaandama eti waruhusiwe kuwa wanatoa mimba huko uarabuni.

Huwezi kuskia wanaandamana eti waruhusiwe kutembea nusu uchi huko uarabuni.

Huwezi kuskia mwanamke anajiamulia kumiliki kitu pasipo kumshirikisha mme wako halafu akizongwa zongwa sana anakimbilia mahakamani.. huko uarabuni.

Huwezi kuskia idadi ya talaka zikiongezeka kihole holela tu huko uarabuni.

Ni ngumu kuskia visa vya ajabu ajabu kama kuuana kwa kuchomana moto sababu ya usaliti huko uarabuni.

Huko uarabuni nadhani ndio sehemu pekee ambapo wanaweza wakajisifu wana Family stability katika dunia hii.
Middle east wanawake wamedhibitiwa haswa maana hata kusoma hawaruhusiwi,😃😃yani kule ndio misaafu inadhibitisha mwanamke aliubwa msaidizi wa mwanaume na si vinginevwo,lakini wao wanaona sawa maana ni utamaduni.
 
Kuna utofaut mkubwa Kati ya kumjali mkeo Kwa kumsaidia baadhi ya majukumu yake ya nyumbankama tabia yako halisi pindi upatapo muda na ile kumjali mke wako kitamthilia tamthilia... Aliyekwambia kuwa ukimsaidia mkeo kazi ndogondogo atakudharau na ndoa itavunjika ni nani?
Weka mikakati yako na simamia nafasi yako kama baba na usiyumbishwe na majaribu ya mkeo.. Wanawake wana tabia ya kupima mood na msimamo wa waume zao.. Sasa asubuhi ulisema huwezi kumruhusu aweke kucha bandia.. Halafu jioni anakupa sex na anakuomba afuge kucha kisha unakubali... Maana yake nini?.. Wanawake wanapenda mwanaume anayemaanisha na kukisimamaia kile anachokiamini....
Mke ukiona haeleweki we mpe suspenshen ya mwez aende kwao akajitafakari kuwa anataka nn ktk ndoa yake...na wazazi wake wajue kuwa unamrudisha ili ajitafakari Kwa sababu flan... Sio ww unakaa miaka saba mke hawajah kuona hata msg ya kumsumbua akili ktk simu yako... Be the Real husband... Mume au baba sio jina la ubatizo
 
Wanaendesha ndoa za kwa katiba ya kiislam ambapo 80% ya vipengele ni mfumo dume. Pia kitabu kimedhibiti sana tamaa, kule ukifanya upumbavu hukawilii kupigwa mawe hadi ufe, hukawili kunyongwa au kuchinjwa kama kuku sasa nani anataka afe kwa tamaa za mda mchache japo maovu yanafanyika ila ni very rare na kwa usiri mkubwa sana.

Kikubwa hawatumii mambo ya gender balance kule so lazma mambo yawe mazuri tu.Mke ni pambo na chombo cha starehe kwa mumewe na hilo wanalijua na kuliheshimu. Huku shida ni mfumo wa haki sawa maana kimsingi hakuna mwanaume anaeshindwa kumhudumia mkewe na familia kwa mahitaji muhimu ila tamaa za mke ndio anaona bora afanye kazi awe sawa au zaidi ya mume maana wameaminishwa mume akiwa juu atamnyanyasa so hata kufanya majukumu yake kwa mume anaona manyanyaso. Anataka kama akienda kazini basi wote mpange zamu ya kupika, kudeki na kufua nguo zenu na za watoto.

Just angalia before mifumo ya kijinga ya gender balance ndoa zilikuwa imara na kuolewa ilikuwa kitu kikubwa na cha maana mno so mke na mume walipikwa vizuri na walikuwa wanajua nini maana ya ndoa na utayari ila sikuhizi ndoa ni uwezo wako tu kifedha swala la utayari halizingatiwi.

Ukiweza kulipa mahari na kulisha watu ukumbini basi unakuwa umeoa tayari. Baada ya mwaka mmeshindwana kila mtu anachukua 50 zake.

Pamoja na kwamba utekelezaji wa hizo sheria zao za kidini uko harsh sana and it’s kinda inhuman lakini kwa kiasi kikubwa sana umesaidia kunusuru jamii zao zisidumbukie kwenye mmomonyoko wa maadili na kuleta athari mbaya za muda mrefu.

Nafahamu mfumo huo hauwazuii watu kwa 100% kuthubutu kufanya makosa yaliyo kinyume na sheria hizo lakini ile hali ya matukio ya ovyo ovyo kuwa machache yantuonesha jinsi jamii yao ilivyokuwa clean kulinganisha na sehemu zingine ambako hazifuati mfumo huo wa sheria za kidini.

Katika jamii zote zilizoweza kumaintain mfumo wa maisha wa kiasili ni hizo za middle east, mfumo ambao kwa dunia ya sasa unonekana una elements za infringement of human rights. Lakini ndio mfumo mzuri sana ambao hata tukiongelea famili ambazo ziko stable tunazipata kwenye mfumo huu.

Watu wa magharibi ambao ndio viranja wa hii dunia waliupiga chini mfumo huu na kuanzisha wa kwao ambao taratibu wakaufikisha na huku kwetu. Sasa hivi huo mpya walioleta umeshawaonesha kuwa walikosea maana athari zake ni nyingi kuliko faida walizozitarajia, umeua kabisa family stability.

Sisi tuliopo kwenye dunia ya kuiga kila kitu ndio tunaathirika zaidi kwa kuupokea mfumo huu mpya! maana huu mfumo mpya hatujui hata kuu practice, kila jinsia inautumia pale kwenye advantage tu. Ndio haya tunayoyaona mwanamke na mwanaume wote wanaenda kazini ila suala la kuhudumia familia eti ni la mwanaume.

Mimi ki ukweli huu mfumo mpyaa hauna nafasi kwangu.
 
Kwahiyo unamaanisha mume achepuke si ndiyo?
Kuna utofaut mkubwa Kati ya kumjali mkeo Kwa kumsaidia baadhi ya majukumu yake ya nyumbankama tabia yako halisi pindi upatapo muda na ile kumjali mke wako kitamthilia tamthilia... Aliyekwambia kuwa ukimsaidia mkeo kazi ndogondogo atakudharau na ndoa itavunjika ni nani?
Weka mikakati yako na simamia nafasi yako kama baba na usiyumbishwe na majaribu ya mkeo.. Wanawake wana tabia ya kupima mood na msimamo wa waume zao.. Sasa asubuhi ulisema huwezi kumruhusu aweke kucha bandia.. Halafu jioni anakupa sex na anakuomba afuge kucha kisha unakubali... Maana yake nini?.. Wanawake wanapenda mwanaume anayemaanisha na kukisimamaia kile anachokiamini....
Mke ukiona haeleweki we mpe suspenshen ya mwez aende kwao akajitafakari kuwa anataka nn ktk ndoa yake...na wazazi wake wajue kuwa unamrudisha ili ajitafakari Kwa sababu flan... Sio ww unakaa miaka saba mke hawajah kuona hata msg ya kumsumbua akili ktk simu yako... Be the Real husband... Mume au baba sio jina la ubatizo
 
Tatizo wanaume mnataka jamii ambayo wanaume watafanya maovu tu ila wanawake watafanya mema tu ndo mnaona italeta family stability bila kujali kama mnawaumiza wanawake ama la
Pamoja na kwamba utekelezaji wa hizo sheria zao za kidini uko harsh sana and it’s kinda inhuman lakini kwa kiasi kikubwa sana umesaidia kunusuru jamii zao zisidumbukie kwenye mmomonyoko wa maadili na kuleta athari mbaya za muda mrefu.

Nafahamu mfumo huo hauwazuii watu kwa 100% kuthubutu kufanya makosa yaliyo kinyume na sheria hizo lakini ile hali ya matukio ya ovyo ovyo kuwa machache yantuonesha jinsi jamii yao ilivyokuwa clean kulinganisha na sehemu zingine ambako hazifuati mfumo huo wa sheria za kidini.

Katika jamii zote zilizoweza kumaintain mfumo wa maisha wa kiasili ni hizo za middle east, mfumo ambao kwa dunia ya sasa unonekana una elements za infringement of human rights. Lakini ndio mfumo mzuri sana ambao hata tukiongelea famili ambazo ziko stable tunazipata kwenye mfumo huu.

Watu wa magharibi ambao ndio viranja wa hii dunia waliupiga chini mfumo huu na kuanzisha wa kwao ambao taratibu wakaufikisha na huku kwetu. Sasa hivi huo mpya walioleta umeshawaonesha kuwa walikosea maana athari zake ni nyingi kuliko faida walizozitarajia, umeua kabisa family stability.

Sisi tuliopo kwenye dunia ya kuiga kila kitu ndio tunaathirika zaidi kwa kuupokea mfumo huu mpya! maana huu mfumo mpya hatujui hata kuu practice, kila jinsia inautumia pale kwenye advantage tu. Ndio haya tunayoyaona mwanamke na mwanaume wote wanaenda kazini ila suala la kuhudumia familia eti ni la mwanaume.

Mimi ki ukweli huu mfumo mpyaa hauna nafasi kwangu.
 
Ndiyo sasa kama wote wewe na mkeo mnatafuta pesa, wote mnalipa bili, wote mnanunua mahitaji ya nyumbani na wote mnasomesha watoto kwa usawa kabisa au tena usikute mke ndo anafanya zaidi sasa wewe unashindwa nini au unaona ubaya gani kumsaidia na yeye hizo kazi zake?
Pamoja na kwamba utekelezaji wa hizo sheria zao za kidini uko harsh sana and it’s kinda inhuman lakini kwa kiasi kikubwa sana umesaidia kunusuru jamii zao zisidumbukie kwenye mmomonyoko wa maadili na kuleta athari mbaya za muda mrefu.

Nafahamu mfumo huo hauwazuii watu kwa 100% kuthubutu kufanya makosa yaliyo kinyume na sheria hizo lakini ile hali ya matukio ya ovyo ovyo kuwa machache yantuonesha jinsi jamii yao ilivyokuwa clean kulinganisha na sehemu zingine ambako hazifuati mfumo huo wa sheria za kidini.

Katika jamii zote zilizoweza kumaintain mfumo wa maisha wa kiasili ni hizo za middle east, mfumo ambao kwa dunia ya sasa unonekana una elements za infringement of human rights. Lakini ndio mfumo mzuri sana ambao hata tukiongelea famili ambazo ziko stable tunazipata kwenye mfumo huu.

Watu wa magharibi ambao ndio viranja wa hii dunia waliupiga chini mfumo huu na kuanzisha wa kwao ambao taratibu wakaufikisha na huku kwetu. Sasa hivi huo mpya walioleta umeshawaonesha kuwa walikosea maana athari zake ni nyingi kuliko faida walizozitarajia, umeua kabisa family stability.

Sisi tuliopo kwenye dunia ya kuiga kila kitu ndio tunaathirika zaidi kwa kuupokea mfumo huu mpya! maana huu mfumo mpya hatujui hata kuu practice, kila jinsia inautumia pale kwenye advantage tu. Ndio haya tunayoyaona mwanamke na mwanaume wote wanaenda kazini ila suala la kuhudumia familia eti ni la mwanaume.

Mimi ki ukweli huu mfumo mpyaa hauna nafasi kwangu.
hakika
 
Kweli binadamu tunatofautiana mimi mwanaume muaminifu na mpole ndo huwa namheshimu sana tena huwa naogopa hata kumuudhi

Ila mwanaume mzinzi na mbabe ndo hatakaa aipate heshima yangu hata siku moja tena akithubutu kunyanyua mkono wake kunipiga tu kitu nitamfanya hatakuja kusahau hadi anaingia kaburini
Alafu nyie ndyo mnapigwa kuongea ata kwa marafiki2 hamuwezi
 
Kweli binadamu tunatofautiana mimi mwanaume muaminifu na mpole ndo huwa namheshimu sana tena huwa naogopa hata kumuudhi

Ila mwanaume mzinzi na mbabe ndo hatakaa aipate heshima yangu hata siku moja tena akithubutu kunyanyua mkono wake kunipiga tu kitu nitamfanya hatakuja kusahau hadi anaingia kaburini
taratibu mama utaua. acha ubabe utakufa.
 
Back
Top Bottom