Daughterrr
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 477
- 585
dahNipe location kabisa pm
dahNipe location kabisa pm
Atayekubishia mkuu basi fika huyo atakuwa na manamatatizo makubwa
Nini sasa
Kwani maneno yake ni sheria hadi tusiyabishie?
Hata wanaume mnatubishia wanawake kwa sababu tunaongea yale msiyopenda kuyasikia kuna mdada mmoja humu nyuzi zake yeye mara nyingi ni za kutusema sisi wanawake wenzie kuwa ndo tuna matatizo na kwenye comments wanaume wakawa wanamuunga mkono na kumsifia kuwa ni wife materialutayabishia kwa sababu yaneelezea mambo ambayo hupendi kuyaskia siku zote. Sio sheria lakini ndio ukweli wenyewe
Hahahaha basi hapo hadi umetolea huo mfano wa chupi najua umekumbuka ile comment ile by the way naanzaje kumfulisha chupi mwanaume wangu? Labda aamue mwenyewe ila hilo jambo siwezi muomba anifanyie hata siku moja na hata akifanya siyo sababu ya mimi kumdharau au kumshusha hadhi yake
Ndo maana nikasema binadamu tunatofautiana mimi mwanaume akijifanya dikteta wakati mimi ni mnyenyekevu nitaona kama ananionea na kwa vyovyote vile lazima na mimi nitaanza kuwa mkali maana katika maisha yangu sipendi kupigwa sipendi kuonewa hata kama nina kosa maana najijua mimi siyo mbishi kama kosa ni langu
Sasa mwanaume akijifanya ana mkono mwepesi eti nikimkosea kidogo tu ananipiga wallah nitakachomfanyia asinilaumu na kama ndoa kuvunjika ivunjike tu ila mwanaume akiwa na demokrasia naanzaje kwanza kumkalia kichwani kwa mfano yaani kwanza kwanini nifanye hivyo?Hata mimi nashindwa kuwaelewa wanawake wenzangu wanaopata bahati kama hizo halafu wanazichezea
Mimi hata mwanamke mwenzangu akiniambia eti hawezi kumheshimu mwanaume wake hadi apigwe yaani kama alikuwa rafiki yangu basi na urafiki unavunjika hapo hapo siwezi mimi kuwa na urafiki na mwanamke mwenye mawazo ya kijinga kama hayo yaani eti ili amheshimu mwanaume wake anasubiri hadi apigwe? And why should I even provoke my man to beat me wakati najijua sipendi kupigwa?
Hata wanaume mnatubishia wanawake kwa sababu tunaongea yale msiyopenda kuyasikia kuna mdada mmoja humu nyuzi zake yeye mara nyingi ni za kutusema sisi wanawake wenzie kuwa ndo tuna matatizo na kwenye comments wanaume wakawa wanamuunga mkono na kumsifia kuwa ni wife material
Ila kuna siku kwa mara ya kwanza akaanzisha uzi wa kuwakosoa wanaume na alichowaambia ni ukweli ila kwenye comments wanaume wale wale waliokuwa wanamsifia wakasahau kwamba ni wife material wakaanza kumtukana yaani karibu comments zote wanaume wakawa wanamuita malaya sijui kahaba
Sasa ndo uone jinsi gani wanaume huwa hampendi kukosolewa na kuambiwa ukweli na wanawake yaani mnatakaga kujiona kama vile ninyi siku zote ndo mpo sahihi na wanawake siku zote ndo tunakosea na nilichongundua ni kuwa siyo kwamba hamjui kuwa mnafanya makosa mnajua sana
Ila makosa yenu mnayaona ni madogo ya kawaida na kwamba ndo hulka yenu kufanya makosa hivyo hamuwezi kubadilika ila mnaona wenye makosa ni sisi wanawake kwa sababu hatuwezi kuvumilia makosa yenu wakati ninyi mnataka na mnapenda tuvumilie halafu ninyi kuvumilia makosa yetu hamuwezi kwa vile mnadhani sisi ni malaika hatupaswi kukosea
Hao wanaume unaowapongeza kuwa wanafuata mfumo uliowekwa na Mungu bila shaka ni wale ambao wao ndo wanatafuta pesa na kuwahudumia wake zao na watoto wao na si vinginevyo
Kwa kweli hakuna.Sikatai kuwa binadamu tuna kawaida ya kila mmoja kuvutia upande wake(biasness in choice), lakini hii haimanishi kwamba muda wote tutakuwa hatuna neutrality kwenye mijadala. Lazima kuna mahali mtu unatumia logic pasipo kuegemea upande wowote ule!
Sema sasa kama mtu akizoea kuegemea upande fulani kwenye ushiriki wake wa mijadala siku akibadilika watu wanaweza wasimchukulie serious na wasipo mchukulia serious watu wale wale waliokuwa wakimsifu siku za nyuma yake wataanza kumzodoa, ndio kinachomkuta huyo mama mshuza!
Halafu mbona unapenda kuikomalia hiyo notion ya kwamba eti sisi tunapenda kuwawalimikia nyie na tunajiona malaika, wakati kinyume chake ndio kweli.. hivi kuna watu wanaojua kulalamika na kujiona wao ni malaika kama wanawake?
Hivi kuna jinsia inaongoza kwa kuishi kwa mazoea kama wanaume? Ngoja nikwambie kitu ninyi wanaume kwa kawaida yenu mpo hivi mwanaume akipata mwanamke ambaye anamruhusu kuchepuka au tuseme yeye anaweza asipate mwanamke wa hivyo lakini akaona mwanaume mwenzie kapata mwanamke wa anayemruhusu kuchepuka ataona kama vile hivyo ndivyo wanawake wote wanavyopaswa kuwa na siku akipata mwanamke ambaye hamruhusu kuchepuka atamuacha tena kwa jeuri zote akitegemea kwamba atapata tu mwanamke anayemruhusu kuchepuka kwa kuwa wanawake wanaowaruhusu waume zao kuchepuka wanaonekana ndo wanafaa kuolewa ila wale wasiowaruhusu waume zao kuchepuka wanaonekana hawafai kuolewaMazoea yana tabu, na hakuna mtu anayejua kuendekeza mazoea kama nyie KE.
Mwanamke ukimfanyia jambo ambalo hakuzoea kufanyiwa siku ya kwanza atakushukuru sana nakukuona wewe ni rafiki mzuri, lakini ukijiroga kumfanyia mara ya pili tayari hapo unakuwa umejitengenezea wajibu rasimi, maana utaamsha ile natural instinct ya SELF-ENTITLEMENT ambayo ni common kwa wanawake wote. Hata kama hapo awali ulimfanyia kwa mapenzi tu bila malipo yoyote siku ukiacha kumfanyia utageuka kuwa adui yake ghafla.
Sasa hata wewe Marianah kama bwana yako aliwahi kukufulia chupi i am pretty sure mpaka sasa hivi atakuwa bado anakufulia sana tu na kwa mitazamo uliyonayo ni lazima uwe umewahi kumuomba na sio lazima iwe kufua chupi inaweza ikawa hata kukupikia/kufanya usafi.
Mwanaume kuleta demokrasia kwa ndani ya nyumba ni kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe. Ni lazima mwanamke atakuona koro tu one day, ngoja nikwambie kitu wewe Marianah ambacho unaweza ukawa haukijui kutokana na mindset uliyonayo.
Kihalisia nyie wanawake hamtakiwi kuwa sawa na mwanaume hata kidogo ndio maana hata mnavyotafuta mume mnataka awe anawazidi urefu,elimu,umri,kipato n.k na ikitokea ukalingana nae kwenye hivyo unavyotaka akuzidi ndani ya moyo wako unaanza kutengeneza dharau fulani hivi automatic bila hata wewe mwenyewe kujua! yaani unajikuta tu haumpi heshima yake bila hata sababu za msingi..kwanini? sababu ni kwamba mwanaume ukilingana nae automatically wewe umemzidi na akikuzidi ndio mmelingana.
Yaani iko hivi;
mwanaume akilingana na mwanamke basi hapo ajihesabu kazidiwa(mwanamke yuko juu yake)
Mwanaume akimzidi mwanamke basi hapo ndio wamelingana(wote wako sawa).
Hivyo basi hata kukiwepo na demokrasia ndani ya nyumba tayari hapo mwanamke ndio mwenye power yaani yeye ndio kiongoz according to natural rule i have vividly explained above! Na wewe mwanamke ukishakuwa na power hakuna usalama tena hapo kwa huyo mwanaume, lazima hiyo ndoa ataiona ni jehanamu ndogo. Kumpanda kichwani kupo tu labda akubali kuishi kibushoke.
Sikatai kuwa binadamu tuna kawaida ya kila mmoja kuvutia upande wake(biasness in choice), lakini hii haimanishi kwamba muda wote tutakuwa hatuna neutrality kwenye mijadala. Lazima kuna mahali mtu unatumia logic pasipo kuegemea upande wowote ule!
Sema sasa kama mtu akizoea kuegemea upande fulani kwenye ushiriki wake wa mijadala siku akibadilika watu wanaweza wasimchukulie serious na wasipo mchukulia serious watu wale wale waliokuwa wakimsifu siku za nyuma yake wataanza kumzodoa, ndio kinachomkuta huyo mama mshuza!
Halafu mbona unapenda kuikomalia hiyo notion ya kwamba eti sisi tunapenda kuwawalimikia nyie na tunajiona malaika, wakati kinyume chake ndio kweli.. hivi kuna watu wanaojua kulalamika na kujiona wao ni malaika kama wanawake?
Na ndicho nnachokimaanisha hapa, hivi mpaka leo tangu tuanze kubishana na wewe humu haujajuaga tu ni mfumo gani wa maisha kwenye ndoa ninao usapoti? muulize cute b atakusaidia kama hujui.
Nikiangalia zamani na sasa naona utouti mkubwa kwa wanaume na wanawake.
Tofauti na zamani wanaume wengi wa sasa nikienda hospitali au klinic wapo clinic wenyewe wake zao na watoto au wao na watoto, ukitembea pia barabarani au mtaani unaona pia wanaume na watoto wao wamewabeba.
Naona kabsa utandawazi umefanya wanaume wengi kujali wake zao kwa kuwasaidia kazi mbalimbali za kulea na za nyumbani kama kufua, kupika, kuosha vyombo hata kuogesha watoto lakini ukweli ambao ninao wanaume wengi wanaoishi kwa kujali familia zao ndio zinaongoza kwa migogoro na break up.
Sasa hapa ttzo lipo wapi kwa wanaume, wanawake wanapenda Mwanaume wa namna gani.
Nikiangalia familia ambazo wanaume ndio final say ndio zinaongoza kwa kudumu sana.
Amna we ukuje tuu nikufanyie nterviewNini sasa
I definitely expected this from you.!!!Hapo tatizo ni la wanawake lakini limeanzia kwa wanaume kwa misingi ifuatayo;
1.Walifanya machaguzi mabaya tangu awali kwa kuoa wanawake waliopoteza haiba ya kike(alpha female) wakitembelea ile dhana isiyokuwa na uhalisia “mwanaume kujiamini” mwisho wa siku wakajikuta wanaishi kwa kuvumlia mwanamke hatimae wakaona ni heri kuuwa ndoa.
2.Kukubali mtu anayetumia hisia(emotion) awe na nguvu sawa au kuliko wewe ya maamuzi ndani ya ndoa, hapo jahazi haliendi na mwisho wa siku lazima lizame tu.
3.kugawana madaraka na mtu ambaye hakuumbwa kushika madaraka hata kidogo, maana hata yeye mwenyewe hajui kutumia hayo madaraka bila kuleta tafrani.
4.kujifanya unaleta diplomasia kwenye mambo yasiohitaji diplomasia hata kidogo na hili ndio mzizi wa yote.
Pongezi kwa wale wote ambao bado wanaishi kwa kufuata mfumo uliowekwa na Mungu tangu dunia inaanzishwa, definitely wao ndio wana enjoy ndoa!
I definitely expected this from you.!!!
Oohh haya basi sawa
Sources of problems?? Hey come on... I thought men they are perfect!fundamentally men are the sources of problems not women.