Mjadala: Wanaume ndio shida au wanawake?

Nikiangalia zamani na sasa naona utouti mkubwa kwa wanaume na wanawake.

Tofauti na zamani wanaume wengi wa sasa nikienda hospitali au klinic wapo clinic wenyewe wake zao na watoto au wao na watoto, ukitembea pia barabarani au mtaani unaona pia wanaume na watoto wao wamewabeba.

Naona kabsa utandawazi umefanya wanaume wengi kujali wake zao kwa kuwasaidia kazi mbalimbali za kulea na za nyumbani kama kufua, kupika, kuosha vyombo hata kuogesha watoto lakini ukweli ambao ninao wanaume wengi wanaoishi kwa kujali familia zao ndio zinaongoza kwa migogoro na break up.

Sasa hapa ttzo lipo wapi kwa wanaume, wanawake wanapenda Mwanaume wa namna gani.

Nikiangalia familia ambazo wanaume ndio final say ndio zinaongoza kwa kudumu sana.

Hapo tatizo ni la wanawake lakini limeanzia kwa wanaume kwa misingi ifuatayo;

1.Walifanya machaguzi mabaya tangu awali kwa kuoa wanawake waliopoteza haiba ya kike(alpha female) wakitembelea ile dhana isiyokuwa na uhalisia “mwanaume kujiamini” mwisho wa siku wakajikuta wanaishi kwa kuvumlia mwanamke hatimae wakaona ni heri kuuwa ndoa.

2.Kukubali mtu anayetumia hisia(emotion) awe na nguvu sawa au kuliko wewe ya maamuzi ndani ya ndoa, hapo jahazi haliendi na mwisho wa siku lazima lizame tu.

3.kugawana madaraka na mtu ambaye hakuumbwa kushika madaraka hata kidogo, maana hata yeye mwenyewe hajui kutumia hayo madaraka bila kuleta tafrani.

4.kujifanya unaleta diplomasia kwenye mambo yasiohitaji diplomasia hata kidogo na hili ndio mzizi wa yote.

Pongezi kwa wale wote ambao bado wanaishi kwa kufuata mfumo uliowekwa na Mungu tangu dunia inaanzishwa, definitely wao ndio wana enjoy ndoa!
 
Sometimes udiktekta unasaidia sana kuiweka kwenye msawazo familia.

Nilikuwa naishi kwa mfumo wa demokrasia nyumbani kwangu ila nikaona wife anataka kuwa juu Yangu. Nikabadilika nikaanzisha mfumo wa Jiwe .Dah life is easy now.

More blessings to you and your wife homie!

hakika jiwe ni role model mzuri kwa mambo mengine
 
Hakuna kitu Shetani anapambana nacho tangu kitambo kama 'FAMILIA'...

Na target yake kuu ni mwanamke! si unaona sasa hivi anavyozivuruga kiulaini maana wanawake wamepewa nafasi ya kukaa sehemu muhimu(uongozi) kwenye familia, hivyo hata hapati shida sana.
 
Kweli binadamu tunatofautiana mimi mwanaume muaminifu na mpole ndo huwa namheshimu sana tena huwa naogopa hata kumuudhi

Ila mwanaume mzinzi na mbabe ndo hatakaa aipate heshima yangu hata siku moja tena akithubutu kunyanyua mkono wake kunipiga tu kitu nitamfanya hatakuja kusahau hadi anaingia kaburini

talk is cheap!

Wewe kweli mwanaume unayemfulisha chupi unaweza ukampigia magoti kumuomba msamaha pale utakapomkosea na akionyesha kuwa amechukia?
 
Hahahaha Africa bwana yaani kutafuta pesa jukumu ambalo alipewa mwanaume ndo mwanamke anaweza ila uongozi wa familia nafasi ambayo alipewa mwanaume ndo mwanamke hawezi

Hao wanaume unaowapongeza kuwa wanafuata mfumo uliowekwa na Mungu bila shaka ni wale ambao wao ndo wanatafuta pesa na kuwahudumia wake zao na watoto wao na si vinginevyo
Hapo tatizo ni la wanawake lakini limeanzia kwa wanaume kwa misingi ifuatayo;

1.Walifanya machaguzi mabaya tangu awali kwa kuoa wanawake waliopoteza haiba ya kike(alpha female) wakitembelea ile dhana isiyokuwa na uhalisia “mwanaume kujiamini” mwisho wa siku wakajikuta wanaishi kwa kuvumlia mwanamke hatimae wakaona ni heri kuuwa ndoa.

2.Kukubali mtu anayetumia hisia(emotion) awe na nguvu sawa au kuliko wewe ya maamuzi ndani ya ndoa, hapo jahazi haliendi na mwisho wa siku lazima lizame tu.

3.kugawana madaraka na mtu ambaye hakuumbwa kushika madaraka hata kidogo, maana hata yeye mwenyewe hajui kutumia hayo madaraka bila kuleta tafrani.

4.kujifanya unaleta diplomasia kwenye mambo yasiohitaji diplomasia hata kidogo na hili ndio mzizi wa yote.

Pongezi kwa wale wote ambao bado wanaishi kwa kufuata mfumo uliowekwa na Mungu tangu dunia inaanzishwa, definitely wao ndio wana enjoy ndoa!
 
talk is cheap!

Wewe kweli mwanaume unayemfulisha chupi unaweza ukampigia magoti kumuomba msamaha pale utakapomkosea na akionyesha kuwa amechukia?
Hahahaha basi hapo hadi umetolea huo mfano wa chupi najua umekumbuka ile comment ile by the way naanzaje kumfulisha chupi mwanaume wangu? Labda aamue mwenyewe ila hilo jambo siwezi muomba anifanyie hata siku moja na hata akifanya siyo sababu ya mimi kumdharau au kumshusha hadhi yake

Ndo maana nikasema binadamu tunatofautiana mimi mwanaume akijifanya dikteta wakati mimi ni mnyenyekevu nitaona kama ananionea na kwa vyovyote vile lazima na mimi nitaanza kuwa mkali maana katika maisha yangu sipendi kupigwa sipendi kuonewa hata kama nina kosa maana najijua mimi siyo mbishi kama kosa ni langu

Sasa mwanaume akijifanya ana mkono mwepesi eti nikimkosea kidogo tu ananipiga wallah nitakachomfanyia asinilaumu na kama ndoa kuvunjika ivunjike tu ila mwanaume akiwa na demokrasia naanzaje kwanza kumkalia kichwani kwa mfano yaani kwanza kwanini nifanye hivyo? Hata mimi nashindwa kuwaelewa wanawake wenzangu wanaopata bahati kama hizo halafu wanazichezea

Mimi hata mwanamke mwenzangu akiniambia eti hawezi kumheshimu mwanaume wake hadi apigwe yaani kama alikuwa rafiki yangu basi na urafiki unavunjika hapo hapo siwezi mimi kuwa na urafiki na mwanamke mwenye mawazo ya kijinga kama hayo yaani eti ili amheshimu mwanaume wake anasubiri hadi apigwe? And why should I even provoke my man to beat me wakati najijua sipendi kupigwa?
 
Inawezekana pia ni single daddies, either kampata mtoto kabla ya ndoa akaamua akae na mtoto wake au washaachana na wife na ni zamu yake kukaa na mtoto..
Kwahiyo sio ishu sana,ni kawaida.
 
Sometimes udiktekta unasaidia sana kuiweka kwenye msawazo familia.

Nilikuwa naishi kwa mfumo wa demokrasia nyumbani kwangu ila nikaona wife anataka kuwa juu Yangu. Nikabadilika nikaanzisha mfumo wa Jiwe .Dah life is easy now.
tatizo liko kwako ambaye hujaelewa ulimwengu unavokwenda.
Nikiangalia zamani na sasa naona utouti mkubwa kwa wanaume na wanawake.

Tofauti na zamani wanaume wengi wa sasa nikienda hospitali au klinic wapo clinic wenyewe wake zao na watoto au wao na watoto, ukitembea pia barabarani au mtaani unaona pia wanaume na watoto wao wamewabeba.

Naona kabsa utandawazi umefanya wanaume wengi kujali wake zao kwa kuwasaidia kazi mbalimbali za kulea na za nyumbani kama kufua, kupika, kuosha vyombo hata kuogesha watoto lakini ukweli ambao ninao wanaume wengi wanaoishi kwa kujali familia zao ndio zinaongoza kwa migogoro na break up.

Sasa hapa ttzo lipo wapi kwa wanaume, wanawake wanapenda Mwanaume wa namna gani.

Nikiangalia familia ambazo wanaume ndio final say ndio zinaongoza kwa kudumu sana.
Wanaume wanakoma kuwa wanaume na wanawake wanakoma kuwa wanawake, tumeanzisha jinsia nyingine inaitwa neutral gender. Kwenye ndoa hakuna mume wala mke, wote ni level moja.
 
Hakuna kitu Shetani anapambana nacho tangu kitambo kama 'FAMILIA'...
Familia ndio msingi wa imani mkuu, hivyo akifaulu kuvuruga familia imani imeshindwa. Haya mafundisho potofu yamejipenyeza mpaka makanisani, ni ajabu lakini ni ukweli.
 
Kweli binadamu tunatofautiana mimi mwanaume muaminifu na mpole ndo huwa namheshimu sana tena huwa naogopa hata kumuudhi

Ila mwanaume mzinzi na mbabe ndo hatakaa aipate heshima yangu hata siku moja tena akithubutu kunyanyua mkono wake kunipiga tu kitu nitamfanya hatakuja kusahau hadi anaingia kaburini
@Marianah usiwe hivyo mkuu. Ukizingatia misingi ya imani una nafasi kubwa ya kumpata mume aliyetulia akakupenda kwa dhati. Tatizo ndoa ni safari ndefu, hivyo yawapasa kuifanya mpya kila siku, kuhakikisha upendo haupoi. Mume anayempenda mke wake hawezi kuzini wala kutenda jambo la kumkwaza mkewe, na ikitokea kamkwaza atatfuta amani naye. Mke anayemtii mume hawezi kuchepuka akamwaibisha. Atajilinda kwa ajili yake tu.
 
Hahahaha Africa bwana yaani kutafuta pesa jukumu ambalo alipewa mwanaume ndo mwanamke anaweza ila uongozi wa familia nafasi ambayo alipewa mwanaume ndo mwanamke hawezi

Hao wanaume unaowapongeza kuwa wanafuata mfumo uliowekwa na Mungu bila shaka ni wale ambao wao ndo wanatafuta pesa na kuwahudumia wake zao na watoto wao na si vinginevyo
Kwani mwanamke kutafuta pesa ni dhana ya Afrika? Wanawake mmekumbwa na wimbi la umagharibi kisha mnanyooshea vidole wanaume. Mfumo wa familia umebadilishwa na mwanamke
 
Inawezekana pia ni single daddies, either kampata mtoto kabla ya ndoa akaamua akae na mtoto wake au washaachana na wife na ni zamu yake kukaa na mtoto..
Kwahiyo sio ishu sana,ni kawaida.
Western thinking.
 
Hapo tatizo ni la wanawake lakini limeanzia kwa wanaume kwa misingi ifuatayo;

1.Walifanya machaguzi mabaya tangu awali kwa kuoa wanawake waliopoteza haiba ya kike(alpha female) wakitembelea ile dhana isiyokuwa na uhalisia “mwanaume kujiamini” mwisho wa siku wakajikuta wanaishi kwa kuvumlia mwanamke hatimae wakaona ni heri kuuwa ndoa.

2.Kukubali mtu anayetumia hisia(emotion) awe na nguvu sawa au kuliko wewe ya maamuzi ndani ya ndoa, hapo jahazi haliendi na mwisho wa siku lazima lizame tu.

3.kugawana madaraka na mtu ambaye hakuumbwa kushika madaraka hata kidogo, maana hata yeye mwenyewe hajui kutumia hayo madaraka bila kuleta tafrani.

4.kujifanya unaleta diplomasia kwenye mambo yasiohitaji diplomasia hata kidogo na hili ndio mzizi wa yote.

Pongezi kwa wale wote ambao bado wanaishi kwa kufuata mfumo uliowekwa na Mungu tangu dunia inaanzishwa, definitely wao ndio wana enjoy ndoa!
Atayekubishia mkuu basi fika huyo atakuwa na manamatatizo makubwa
 
Back
Top Bottom