Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
Nilkuwa na tazama mjadala wa Chadema kuhusu Dowans, hakuna lolote, pumba tupu, highly biased and highly contradictory. Wanabwabwaja bila mpango.
Kwani Richmond kampuni ya Costa Rica? mijitu mingine huwa inajisemea tu, hata haina mpango wala haijuwi inaongea nini.
Ndio maana kuna mahakama...Waige mfano wa Membe.KAMA UMEANGALIA ITV, MKINGA ANATOJA MAJINA YA WATU BILA YA KUWA NA EVIDENCE
je kwanini ITV wanamualika MKinga mchochezi? kwanini anawachonganisha viongozi na wananchi?
Umesema vyema, MAFISADI wanajua kabisa tutapiga kelele and at the end of the day tutakaa kimya. Watanzania wengi si wazalendo.God have mercy on us!
Kweli waTZ tumeshaonekana mazuzu. Nimegundua Kikwete si Zuzu kama tunavyofikiria. Yeye keshatuona sisi ndio mazuzu, na anajua hatuwezi kufanya lolote
Huyo Mzee ana ushahidi kwa anayo yaongea, ajuwe wenzake aliowataja wana vichwa kuliko yeye, asije akaomba msamaha kama Mtikila!
Huyo Mzee ana ushahidi kwa anayo yaongea, ajuwe wenzake aliowataja wana vichwa kuliko yeye, asije akaomba msamaha kama Mtikila!
Wandugu,
Kama kawaida yake, Bw. Mkinga ametamka waziwazi bila woga kwenye Kipindi cha Kipima Joto ITV kuwa wamiliki wa Dowans watakaofaidi mabilioni ni Rostam, Karamagi, Msabaha Chenge.
Huyo mzee ana hasira! true patriot?
jk yupo kimya maana wote ni walewale tu-1. Kwa nini Werema alisema ati ''nimeshaisoma hukumu na nimeufunga uu mjadala, DOWANS walipwe tu''?
2. Kwa nini JK haipeleki issue hii kwenye baraza la Mawaziri ili ijadiliwe na kutolewa maamuzi?
3. Kwanini wanaharakisha process ya kuwalipa DOWANS wakati hata suala lenyewe halijaandikishwa mahakama kuu?
4. Kwanini Ngeleja amekumbuka kuwatafuta ''wamiliki halali'' wa DOWANS kutoka BRELA juzi juzi tu? alikuwa wapi muda wote huu? au alikuwa anavuta time ili documents zitengenezwe?
5. Kwanini Werema hakuupita ushauri uliotolewa na REX Attorneys kwa TANESCO kuupiga chini mkataba?
6. Kwa nini JK yu KIMYA?? hivi aliigusia issue hii wakati akitoa salamu zake fake za kuufunga mwaka 2010??
7. .............
MY TAKE: Wadanganyika wote tulishaonekana mazuzu tu. Longolongo nyiiiiiiiiiiingi na hatuwezi kufanya lolote. JK analijua hili, Karamagi analijua hili, Lowasa, Chenge, Rostam, Werema, Msabaha etc wanajua kwamba watamlipa DOWANS (watajilipa wenyewe na kuwakatia 10% maswahiba walioshiriki kufanikisha mpango mzima) na issue itafukiwa kama kawaida na life litaendelea kama kawa.
Kuna mtu mmoja alishauri japo wadanganyika waonyeshwe picha za wamiliki hao - ili tujue wanaotudai ni akina nani!
God help us!
Wandugu,
Kama kawaida yake, Bw. Mkinga ametamka waziwazi bila woga kwenye Kipindi cha Kipima Joto ITV kuwa wamiliki wa Dowans watakaofaidi mabilioni ni Rostam, Karamagi, Msabaha Chenge.
Upofu wa itikadi ni mbaya sana unaua uwezo wa kufikiri Mkinga nasikia ni juzi tu kagombea ubunge na Nchimbi kupitia CCM leo amekuwa mfu.Kibamba ni mwanachama hai wa Chadema na pia Michael Dalali ambae naambiwa ni mdogo wa damu wa mbunge wa Chadema Mheshimiwa John Mnyika wakati Mkinga ni kada mfu wa CCM ambaye maslahi yake yameegemea katika kundi za Membe na Samweli Sitta dhidi ya Lowassa na Rostam Azizi.
<br />Hii ya Msabaha na Chenge imekula kwake na pengine ITV....
Nimeshtuka ajabu,kumbe mahakama inaweza kuwa huko Paris lakini kesi ikasikilizwa hapa Dar na maamuzi ya kesi yakafanyika Moven Peak,so kule ni majengo tu????au kesi yenyewe haikuwepo???mbona sielewi.......................nimesikia tena wale wamiliki wote ni marehemu????:car::car::car::ban: