Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

RH amesharudi kwenye lindo la nguruwe kwenye shamba.... msije mkamweka huyu ...
 
niwakumbushe wana JF kuwa msisahau kufuatilia mdahalo wa DOWANS leo Saa tatu na Robo usiku na Itv.


nitajitahidi kukumbuka ili niangalie nione kinachojiri huko
 
Mh! Taratibu jamani wana jf mbona matusi humu? Mtaifanya blog ya heshima kiasi hiki kuirithi zze utamu?
 
THanx Medy. Ni vyema kwa wana JF kuufuatilia ili tujue this time serikali inataka kutuambia nini tena
 
Weldone 4 remind, ngoja niweke viserengeti vyangu kwenye friji
 
hivi kuna tv station yoyote ya bongo inayopatikana online hata kwa kulipia?
 
well, nitaangalia na I'm sure graph ya confusion itarise to the top.
 
niwakumbushe wana JF kuwa msisahau kufuatilia mdahalo wa DOWANS leo Saa tatu na Robo usiku na Itv.
Nashukuru lakini tuombe umeme usikatike, maana siku hizi unakatika bila taarifa.TANESCO CHOKA MBAYA.
 
hivi kuna tv station yoyote ya bongo inayopatikana online hata kwa kulipia?
Ndiyo unaweza kuipata ITV online kupitia tv4africa.com. Mimi nalipa dola 7 kwa mwezi au euro 5.58
 
Anayeweza kurekodi pia si vibaya akiturushia humu even the next day....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom