Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

Nashukuru lakini tuombe umeme usikatike, maana siku hizi unakatika bila taarifa.TANESCO CHOKA MBAYA.
hapa kwetu umeme umekatika mwendo wa saa moja basi mturushie maana kilaptop changu kina charge ya masaa matatu
 
niwakumbushe wana JF kuwa msisahau kufuatilia mdahalo wa DOWANS leo Saa tatu na Robo usiku na Itv.
Tatizo huku kwetu TANESCO + DOWNS + SONGAs + EPTL wapo lindo!..ic umeme hakuna! na bado robo saa tu!
 
atakuwepo nani..? nsije kupoteza muda wangu kusikiliza upupu

wanaweza kutuletea makamba hawa
 
atakuwepo nani..? nsije kupoteza muda wangu kusikiliza upupu

wanaweza kutuletea makamba hawa

kipindi ndo kimeanza
mwongozaji ni Chuwa, wageni ni wanaharakati wa sheria.....Ngeleja alialikwa lkn hajatokea yuko safarini China
 
hii kitu imeanza live..

ngeleja kala kona eti kaenda china

namuona mzee renatus mkinga yupo ngoja tuwasikilize
 
nachojiuliza kama ngeleja kasafiri na alikua na taarifa na huu mjadala kwa nini hakutuma mwakilishi?
 
Jamani mchakato naona umeshaanza-mtoa mada wa kwanza yupo vizuri,ngoja tufatilie tujue mchakato mzima
 
Mzee Mkinga/Nkiga kama sikosei anaanza kummaliza EL...

Mkinga anasema Sumaye aliliacha swala la DOWANS sababu aligundua ni kampuni ya kitapeli....Lowassa ali-force huku akijua ni kampuni ya mfukoni
 
Wangewaalika wafuatao:

1. Sitta
2. Rostam
3. Werema
4. Mwakyembe
5. Ngeleja
6. Mwanasheria wa Tanesco
7. Karamagi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom