Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

Wadau kuna mjadala mkali sana ITV jamaa mmoja kutoka MTETEZI anafagilia sana Jamii forum,mdogo wakeMnyika Michael Balali naye yupo,jamaa wanachambua hoja vizuri sana
 
Hatimaye jamii forums twatajwa-tupo juu-na michango yetu kwa taifa inazidi kuonekana-maana mtoa mada kaspongeza jamii forums-lets keep going
 
Huyu mwanasheria anasema kama serikali ikikataa kulipa, Dowans wanaweza kukamata mali za Tz zilizipo kwenye nchi yoyote ambayo ni mwanachama wa hiyo mahakama, so probably Zitto was right on this
 
Hii ikoje wadau itv kuna mjadala unaendelea na mwanasheria wa mtetezi anasema tusipolipa dowans watakamata mali za tanzania duniani kama tutakataa kulipa hela za dowans
 
sasa haya mambo ya kusoma gazeti ya uhuru sio tija


SITTA atoingea katika quote yake sasa hii vurugu mechi katika sesimu
 
Anasema uongo: Kalipwa na RA kueneza hiyo. Hawawezi kukamata hadi mahakama ya nchi husika itoe amri. Na jee, iwapo hukumu ya ICC haitasajiliwa na High Court, bado wanaweza kukamata?
 
Son of soil.nimekupata mkubwa yaani nataman kiendelee adi kesho kwan kikwete tumbo joto na mwenzake ngeleja.
 
Endelea kutupasha hayo ndo tunayotaka, maana tumeanza pishana vibaga mahakamani serikali wakikazania kusajili ulipwaji na sisi kupinga ulipwaji wa dowans.
:deadhorse:
 
mjadala ni mkali itv wanarudia kauli za mawaziri za zamani kuhusu dowans. Wanaharakati wanachambua vizuri utapeli huu. Ni aibu kubwa kwa sirikali ya kiwete
 
wamemweka sita anaongea kwa sasa, na ya kuwa kampuni feki haiwezi kurithisha kampuni nyingine hiyo ikawa halali
 
Huyu mzee anaeongea sasa anakamua balaa wiki chache zilizopita nilimuona hapa hapa akiongelea vyanzo vya umeme na bei mpya ya umeme huyu ni mzalendo wa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom