KXY
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 882
- 344
Swali kwa Matola:
Katika jibu lako kwa swali la kwanza umesema.."JK amefanikiwa sana katika awamu yake kuanzia 2005 mpaka sasa kubwa zaidi kukuza uhuru wa vyombo vya habari licha ya kuendele kuwepo kwa sheria kandamizi katika sheria ya Usalama wa Taifa"
huoni kama hicho ni kitu kikubwa cha kujivunia na kukumbukwa kwa utawala wa JK tukizingatia nchi kama Libya moja ya sababu kubwa ya kuangushwa utawala wa Ghadafi ni ukosefu wa uhuru wa maoni, pia uhuru wa vyombo vya habari kwa kiasi kikubwa umechangia kuibuliwa kwa mambo mengi ambayo hayo hayo ndio yanaichafua serikali lakini bila huo uhuru labda tusingeweza kuyajua na udhaifu usingeonekana.
nini maoni yako?
Swali kwa Zomba:
Umetoa maelezo marefu sana kuelezea mafanikio ya Rais Kikwete, kama yote hayo ni kweli inakuaje kuwe na malalamiko mengi na migomo kama ya madaktari na walimu waliotishia kugoma, kipi hasa kinasababisha malalamiko haya?