Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
napenda unavyokuwa a head of time.
Thumb Up!
Thumb Up!
Last edited by a moderator:
napenda unavyokuwa a head of time.
Thumb Up!
mwenzangu mbona siwaoni? au wapo?
nahisi kama madesa yana andaliwa kwa sasa.mwenzangu mbona siwaoni? au wapo?
naona bado hawajafika.
Sijui foleni?
nahisi kama madesa yana andaliwa kwa sasa.
Mimi nipo online, kuingia lile jukwaa imekuwa shida, dakika 5 sasa halijafunguka sijui mtandao huu wa voda au jukwaa limezidiwa na traffic?
mmh! yaani nimechungullia siwaoni hebu nikae hapa kwanza.
Nipo, naona mjadala haujafunguliwa bado.
kweli kabisa we need facts hata sisi tuna huwezo wakwenda kucopy huko na kupaste humu, kwa kweli kujibu maswali bila kutumia kichwa na kutafakari uhalisia mi sipendezwe na sikufurahishwa na majibu ya hivyo.duh! tunataka facts leo bana hatulali mpaka kieleweke leo
kweli kabisa we need facts hata sisi tuna huwezo wakwenda kucopy huko na kupaste humu, kwa kweli kujibu maswali bila kutumia kichwa na kutafakari uhalisia mi sipendezwe na sikufurahishwa na majibu ya hivyo.
Mi ninge pendezwa kama mjadala huu ungetumiwa kupima huwezo wa washiriki kupambanua mambo siyo uwezo wa kuhamisha data.
duh! kwenye time mngt inabidi next time liwe considered manake kama we can spend more than 30 mints na tu mb twetu twa mawazo kweli tutaweza kuparticipate fully? check with him through mobile pse Roulette
hili neno, mie nimeshitisha kila kitu nasubiria tangu saa mbili kasoro robo.
Huu mkanasha leo utakesha naona.
me mwenyewe hadi nimechoka.yaani duh! nakuwah kote siti ya mbele mambo ndo baadoo! ila jamani ukweli tunahitaji kuwa watu wa kuweza kupambanua mambo na siyo kutumia kukariri. sioni haja ya kutumia references kama kuitetea huwez hata tunapoandiika jamani huwaga unaitetea reference na una acknowlege lakin huziwe kuiweka hapo tu kisha ukachapa lapa pasi kuitetea. sijui lakini wanatumia data hizi kwa interest ya nani aisee