Mjadala: Side Comments: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

Swali la 9 zomba anasema kuwa watanzania chini ya uongozi wa Kikwete wanaishi 'maisha bora'. Maswali;

1. Maisha bora yanajumuiya nini? Ni vitu gani vinavyoangaliwa ili kujua kama mtu anaishi maisa bora ama la? na kwa kutumia hivyo vigezo Tanzania tukoje chini ya kipindi anachoongelea zomba?

2. Poverty level (people living below poverty line) mwaka 2006 ilikuwaje, na mwaka 2011 ilikuwaje?

3. Gini coefficient ilkuwaje 2006 na mwaka 2011 ikoje?
 
Dah! Nilikuwa safarini kwa muda mrefu kurejea nyumbani kwa mapumziko. Imenichukua karibu masaa matano kusoma page zote hizi 25. Kwa tathimini yangu ya haraka haraka hadi sasa matokeo ni kama ifuatavyo:-

Matola 82%
- zomba 18%.

TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam),
tumbiri@jamiiforums.com
Mkuu, naona haupo Hull kwa sasa... karibu nyumbani.
 
Mkuu, naona haupo Hull kwa sasa. Karibu nyumbani.

Mkuu Mwali,
Nashukuru. Nimekuja likizo kidogo. Naona unaendesha vizuri mdahalo, tatizo unashindwa kumshindilia zomba maswali hata pale anapotoa majibu yenye mashimo mashimo ya wazi. Mfano lile swali la sita anadai kwamba Dk Slaa alitoa tuhuma za ufisadi dhidi ya Kikwete ikiwa ni tuhuma ya jumla jumla (tafsiri yangu) bila kuwa specific wakati ni uongo mtupu. Dk Slaa aliainisha vizuri ufisadi wa kila mmoja. Ufisadi wa Kikwete kama ulivyoainishwa kwenye Orodha ya Mafisadi (List of Shame) huu hapa[SUP]1[/SUP]:

Rais Jakaya Kikwete amekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia Desemba 2005. Kabla ya kuwa Rais, Mheshimiwa Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo Nje na Uhusiano wa Kimataifa kuanzia 1995 hadi 2005, Waziri wa Fedha 1994 hadi 1995 na Waziri wa Maji, Nishati na Madini kuanzia mwaka 1990 hadi 1994. Kama Waziri wa Maji, Nishati na Madini, Mheshimiwa Kikwete alishiriki moja kwa moja katika kusaini mikataba mibovu ya madini na makampuni ya madini ya kimataifa ambayo kwayo taifa limeendelea kupoteza utajiri mkubwa na kuinyima Serikali uwezo wa kifedha wa kuhudumia wananchi. Kwa mfano, mnamo tarehe 10 Aprili 1990, Major Jakaya Mrisho Kikwete aliingia mkataba wa madini ya kampuni ya SAMAX Limited ambapo kampuni hiyo ilipewa leseni ya kuchimba dhahabu katika eneo la Lusu, Wilayani Nzega Mkoa wa Tabora. Matokeo ya mkataba huo, maelfu wa wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu waliokuwa eneo hilo waliondolewa kwa nguvu na vikosi vya FFU na bila ya kulipwa fidia yoyote.

Hadi leo wananchi hao hawajalipwa fidia yoyote licha ya miaka zaidi ya kumi ya kufuatilia haki zao. Baada ya kutwaa utajiri wa dhahabu wa eneo hilo, SAMAX Limited iliuza eneo hilo kwa kampuni ya Ashanti Goldfields ya Ghana kwa dola za Marekani milioni 253. Ashanti Goldfields nao wakauza eneo kwa kampuni ya Resolute Limited ya Australia kwa kiasi kisichojulikana cha fedha za kigeni. Resolute Limited ndio waliojenga na wanamiliki Mgodi wa Dhahabu wa Golden Pride ulioko eneo la Lusu, Nzega hadi sasa na ambao ulifunguliwa mwezi Novemba 1998.

Mnamo tarehe 5 Agosti 1994 Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete aliingia tena mkataba na kampuni ya madini Kahama Mining Corporation Ltd., kampuni tanzu ya kampuni ya Sutton Resources ya Canada. Ijapokuwa mkataba huu unaonyesha wazi kwamba ulikuwa unahusu eneo la Butobela Wilaya ya Geita Mkoani Mwanza, mwezi Agosti mwaka 1996 Kahama Mining Corporation wakisaidiwa na vikosi vya FFU walivamia eneo la Bulyanhulu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga na kuwaondosha kwa nguvu watu takriban laki nne waliokuwa wakiishi na kuchimba dhahabu katika eneo hilo. Baada ya kutwaa eneo hilo kwa nguvu za kijeshi, Sutton Resources iliiuza Kahama Mining Corporation na Bulyanhulu kwa Kampuni ya Dhahabu ya Barrick Gold Corporation ya Toronto, Canada kwa dola za Marekani milioni 280. Leo hii Bulyanhulu ni moja ya migodi tajiri kwa dhahabu katika Bara la Afrika.

[SUP]1[/SUP] Ufisadi wa Jakaya Mrisho Kikwete

TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Mkuu TUMBIRI, uzuri ni kwamba mwalikwa wangu anakusoma pia, na bila shaka atakujibu pale atakapo pata muda. Asante sana kwa mchango wako. Swali lilkua la kujia kwa nini shtuma zingine nyepesi zinajibiwa haraka wakati hoja msingi kama hizi zinapuuzwa ilhali ndio zinazo kua na matokeo ya moja kwa moja kwa wananchi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwali,
Nashukuru. Nimekuja likizo kidogo. Naona unaendesha vizuri mdahalo, tatizo unashindwa kumshindilia zomba maswali hata pale anapotoa majibu yenye mashimo mashimo ya wazi. Mfano lile swali la sita anadai kwamba Dk Slaa alitoa tuhuma za ufisadi dhidi ya Kikwete ikiwa ni tuhuma ya jumla jumla (tafsiri yangu) bila kuwa specific wakati ni uongo mtupu. Dk Slaa aliainisha vizuri ufisadi wa kila mmoja. Ufisadi wa Kikwete kama ulivyoainishwa kwenye Orodha ya Mafisadi (List of Shame) huu hapa[SUP]1[/SUP]:

[SUP]1[/SUP] Ufisadi wa Jakaya Mrisho Kikwete

TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam),
tumbiri@jamiiforums.com

Naona umekurupuka, sijui umetoka usingizini. Unaleta habari za mwaka 1994 wakati mada imeainishwa:

"tathmini ya utawala wa Rais Kikwete tokea aingie madarakani mwaka 2005 hadi sasa."

Pitia hapa ukahakikishe: https://www.jamiiforums.com/great-t...a-rais-kikwete-2005-2012-a-5.html#post4320172

Hayo mengine ukipitia huko ulikoyapokoa utakuta majibu yake tulishajibu zamani sana, kama hujaridhika tuite u tag tu huko tutakuja. Ingia kwenye mada za hapa na uone maswali yaliyoulizwa na usitutoe nje ya mada kwa kukurupuka tu.
 
Swali la 9 zomba anasema kuwa watanzania chini ya uongozi wa Kikwete wanaishi 'maisha bora'. Maswali;

1. Maisha bora yanajumuiya nini? Ni vitu gani vinavyoangaliwa ili kujua kama mtu anaishi maisa bora ama la? na kwa kutumia hivyo vigezo Tanzania tukoje chini ya kipindi anachoongelea zomba?

2. Poverty level (people living below poverty line) mwaka 2006 ilikuwaje, na mwaka 2011 ilikuwaje?

3. Gini coefficient ilkuwaje 2006 na mwaka 2011 ikoje?

Naona huelewi dhanna ya maisha bora, naomba pitia hapa uielewe dhanna nzima ya maisha bora kwa kila mtanzania na utekelezaji wake, na wapi alikuwepo Mtanzania mwaka 2005 na leo yuko wapi: Poverty Monitoring

Maswali yako 3 na 4 nilishakujibu juu huko pitia ukasome.
 
Dah! Nilikuwa safarini kwa muda mrefu kurejea nyumbani kwa mapumziko. Imenichukua karibu masaa matano kusoma page zote hizi 25. Kwa tathimini yangu ya haraka haraka hadi sasa matokeo ni kama ifuatavyo:-

Matola 82%
- zomba 18%.

TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam),
tumbiri@jamiiforums.com

Hivyo vigezo uliainisha wapi vya kupatia hizo asilimia. Umetoka usingizini?
 
Vipi na Maisha halisi ya Mtanzania? kimapato? elimu, chakula na Afya leo
 
Mkuu, jaribu kupost huku, kule ni waalikwa tu sasa hivi. Asante kwa uelewa. Pia hayo maswali yamesha ulizwa na kujibiwa na pande zote mbili.
 
Nadhani huelewi kuwa kuna sheria za mafuta na gas zimepelekwa au zimeahidiwa kupelekwa bungeni kujadiliwa na kupitishwa na hii ni kuondokana na ule mfumo uliotupeleka kuandika mikataba mibozu zamani. Tena hata hiyo ya zamani Kikwete aliishughlikia kiaina yake alipomchaguwa Zitto Kabwe aishughulikie. Kwa mara ya kwanza Tanzania, mbunge wa upinzani alipewa fursa ya kufanya kazi za Serikali (rekodi nyingine ya Kikwete).
zomba kweli hii ilikuwa ni rekodi mpya kwa raisi wetu mpendwa kwamba kamshirikisha mpizani simply because aliamini utendaji wake. hapa nina swali jingine tena hivi tumekuwa tukiona bunge linapitisha sheria ambazo wakati mwingine hazikidhi matakwa ya matarajio yetu kama ilivyopitishwa ya mifuko ya mashirika ya umma lakin mkuu wetu huwa anaanguka saini sasa je akiendelea na hali hii hadi huko kwenye mafuta unafikiri kutakuwa na taija?
 
Last edited by a moderator:
Naona huelewi dhanna ya maisha bora, naomba pitia hapa uielewe dhanna nzima ya maisha bora kwa kila mtanzania na utekelezaji wake, na wapi alikuwepo Mtanzania mwaka 2005 na leo yuko wapi: Poverty Monitoring

Maswali yako 3 na 4 nilishakujibu juu huko pitia ukasome.

zomba, kwa ninaelewa vema kilichopo kwenye hiyo website ya 'poverty monitoring, ambayo by the way iko linked sana na malengo ya MKUKUTA & MDGs. And for you infomation tuko off target kwa mambo mengi kwenye MKUKUTA moja wapo ni ni kilimo ambapo target ilikuwa Agriculture ichangie 10% kwenye GPD by 2010, lakini bado tuko kwenye 5.1%.

Hata hivyo nimekuuliza 3.very simple questions, na ningeshukuru kama ungejibu kwa takwimu badala ya kunilisha rhetorical statements. Nauliza tena:

1. Maisha bora yanajumuiya nini? Ni vitu gani vinavyoangaliwa ili kujua kama mtu anaishi maisa bora ama la? na kwa kutumia hivyo vigezo Tanzania tukoje chini ya kipindi anachoongelea zomba?

2. Poverty level (people living below poverty line) mwaka 2006 ilikuwaje, na mwaka 2011 ilikuwaje?

3. Gini coefficient ilkuwaje 2006 na mwaka 2011 ikoje?
 
zomba, kwa ninaelewa vema kilichopo kwenye hiyo website ya 'poverty monitoring, ambayo by the way iko linked sana na malengo ya MKUKUTA & MDGs. And for you infomation tuko off target kwa mambo mengi kwenye MKUKUTA moja wapo ni ni kilimo ambapo target ilikuwa Agriculture ichangie 10% kwenye GPD by 2010, lakini bado tuko kwenye 5.1%.

Hata hivyo nimekuuliza 3.very simple questions, na ningeshukuru kama ungejibu kwa takwimu badala ya kunilisha rhetorical statements. Nauliza tena:

1. Maisha bora yanajumuiya nini? Ni vitu gani vinavyoangaliwa ili kujua kama mtu anaishi maisa bora ama la? na kwa kutumia hivyo vigezo Tanzania tukoje chini ya kipindi anachoongelea zomba?

2. Poverty level (people living below poverty line) mwaka 2006 ilikuwaje, na mwaka 2011 ilikuwaje?

3. Gini coefficient ilkuwaje 2006 na mwaka 2011 ikoje?

Wewe usiwe kama santuri iliyokwama. Hayo maswali nimeshakujibu , nikujibu mara ngapi?
 
Naweza nikawa nimekwama, ningeshukuru kama ungenikwamua kwa kubandika "tena" majibu ya maswali yangu matatu kama nilivyouliza. Kwa heshma na taadhima ningeomba yawe short and to the point, no spinning, no bling bling, just short and straight to the point. Shukran.

(NB: nakumbuka kuna mahali ulitaja kuwa wewe ulikuwa kwenye msafara wa rais Brazil, interesting, siku ya kuchambua 'output' ya hiyo ziara ikifika naamini unaweza kutua michango mingi ya 'kuelimisha')

Maswali haya hapa- (3rd time lucky?)

1. Maisha bora yanajumuiya nini? Ni vitu gani vinavyoangaliwa ili kujua kama mtu anaishi maisa bora ama la? na kwa kutumia hivyo vigezo Tanzania tukoje chini ya kipindi anachoongelea zomba?

2. Poverty level (people living below poverty line) mwaka 2006 ilikuwaje, na mwaka 2011 ilikuwaje?

3. Gini coefficient ilkuwaje 2006 na mwaka 2011 ikoje?
 
zomba, kwa ninaelewa vema kilichopo kwenye hiyo website ya 'poverty monitoring, ambayo by the way iko linked sana na malengo ya MKUKUTA & MDGs. And for you infomation tuko off target kwa mambo mengi kwenye MKUKUTA moja wapo ni ni kilimo ambapo target ilikuwa Agriculture ichangie 10% kwenye GPD by 2010, lakini bado tuko kwenye 5.1%.

Hata hivyo nimekuuliza 3.very simple questions, na ningeshukuru kama ungejibu kwa takwimu badala ya kunilisha rhetorical statements. Nauliza tena:

1. Maisha bora yanajumuiya nini? Ni vitu gani vinavyoangaliwa ili kujua kama mtu anaishi maisa bora ama la? na kwa kutumia hivyo vigezo Tanzania tukoje chini ya kipindi anachoongelea zomba?

2. Poverty level (people living below poverty line) mwaka 2006 ilikuwaje, na mwaka 2011 ilikuwaje?

3. Gini coefficient ilkuwaje 2006 na mwaka 2011 ikoje?

1) Nenda hapa: Poverty Monitoring

2) Nenda hapa: Bank of Tanzania (BOT): Home Page : Benki Kuu ya Tanzania

3) Nenda hapa: Bank of Tanzania (BOT): Home Page : Benki Kuu ya Tanzania

Kokotoa hizo data uziweke hapa, ziko wazi kabisa.
 
zomba kweli hii ilikuwa ni rekodi mpya kwa raisi wetu mpendwa kwamba kamshirikisha mpizani simply because aliamini utendaji wake. hapa nina swali jingine tena hivi tumekuwa tukiona bunge linapitisha sheria ambazo wakati mwingine hazikidhi matakwa ya matarajio yetu kama ilivyopitishwa ya mifuko ya mashirika ya umma lakin mkuu wetu huwa anaanguka saini sasa je akiendelea na hali hii hadi huko kwenye mafuta unafikiri kutakuwa na taija?

Sheria sio msahafu, kama hazikidhi matarajio ya wakati huo huwa zinabadilishwa na ndio maana tuna bunge, kazi yake kubwa ni kutunga, kupitia na kurekebisha sheria kwa manufaa ya wananchi walio wengi.
 
Vipi na Maisha halisi ya Mtanzania? kimapato? elimu, chakula na Afya leo

Overview of Performance

i. Real GDP growth was 7.0 percent in 2010, compared to 6.0 percent recorded in 2009. For the first half of 2011 GDP grew by 6.3 percent in real terms against a target of 6.0 percent for 2011. GDP per capita rose by 11.1 percent from TZS 693,185 recorded in 2009 to TZS 770,464.3 in 2010;

ii. In 2010, imports of goods and services increased at a slower pace at 22 percent compared to 30 percent increase in the exports of goods and services;

iii. During 2010/11, tax revenue to GDP ratio was 14.6 percent, higher than 13.6 percent recorded during 2009/10;

iv. In Fiscal Year 2010/11, government budget deficit was TZS. 2,393 billion compared with a deficit of TZS 1,940 billion recorded in 2009/10; an increase of 25.3 percent;

v. The sector of agriculture grew by 4.2 percent in 2010 compared to 3.2 percent recorded in 2009;

vi. The proportion of farmers using hand declined from 70 percent during 2005/2006 to 64 percent in 2010/2011, due to Government efforts to promote mechanization;

vii. Availability of inorganic fertilizers during 2010/11 increased to 72 percent of requirement compared to 61.8 percent of requirement during 2009/10;

viii. Roads with good condition improved from 56 percent during 2009/10 to 63 percent during 2010/11.

Source:http://www.povertymonitoring.go.tz/WhatisNew/Mair 2010-11.pdf
 
Back
Top Bottom