Mjadala: Side Comments: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

Mjadala: Side Comments: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

Hivi kipimo cha utawala wa sheria ni nini?
Hapa unanichanganya maana bado nina mtikisiko wa ulimboka na NSSF.

Kuhusu sheria na utawala, kwa mara ya kwanza Tanzania tumeona ongezeko la mahakimu, majaji, na kupunguwa kwa kesi kwa kiasi kikubwa sana mahakamani.

Kwa ufupi, tuna tuzo ya kimataifa ya Utawala bora Tanzania wakati wa Kikwete, hatujawahi kuipata wakati wowote ule.

Mwali niendelee? nna mengi sana.
 
kutokana na maelezo ya zomba naona kila ahadi ipo kwenye mchakato/feasibility study so far hakuna ahadi iliyoanza kutekelezwa kwa vitendo. Pia bwana zomba akumbuke mbali na hizo ahadi za 2010 bado kuna lundo la ahadi za 2005 [ningependa zomba ajikite zaidi kujibu utekelezaji wa ahadi za 2005] hizi za 2010 tutazijadili 2015
 
1. Uhuru wa vyombo vya habari
2. Kuimarisha demokrasia
3. Utawala wa sheria
4. Kupunguza uhalifu
 
halafu sijui Zomba au JK ambae hajaeleweka?

Reli mpya ya umeme ndivyo nilivyoelewa mimi

lakini hiyo link ya zomba inataja ukarabati wa reli iliyopo
 
Yan zomba ana faa mwalimu wa kucopy na ku paste

hahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Hivi kipimo cha utawala wa sheria ni nini?
Hapa unanichanganya maana bado nina mtikisiko wa ulimboka na NSSF.

ila sheria ipo kweli kama haki za msingi za wananchi zinapotoshwa? hili swala la NSSF ni ishu aisee we acha tu.
 
Mkuu Matola mbona hata wewe unashindwa kumuuliza follow up questions? haya yakijibiwa ndio itatupa mwanga zaidi kuhusu hii serikali, otherwise mi naona ni propaganda tu hapo ndio zinaendelea

Badly hata mimi nimechoka kwa kweli, nilidhani tupo kwenye debate kama ile ya waziri mkuu maswali ya papo kwa papo kumbe loh!!

Mods samahani kama nimefanya kosa kucomment huku kwingine lakini hizi ni hisia zangu.
 
Last edited by a moderator:
wewe na Nyani Ngabu
title ni 'kufunga ndoa ni ujinga mtupu'

NN anasapoti mada wewe utampinga...

sawa boss na kwakua mjadala ni wapenzi basi baada ya mjadala tunatakiwa tupewe nafasi tukapate dinner pamoja for friendship. ila iwe strictly mimi na Nyani Ngabu tu.
 
Last edited by a moderator:
Ahadi zote za Rais zimetekelezwa sioni hata moja ambayo haijatekelezwa kwa hatua fulani au nyingine.

Kama kuna mtu ana ahadi ambayo haijatekelezwa aainisha hapa. naona Matola kaweka list ya vitu 69, ambayo ni kidogo sana kutokana na ahadi za Rais. Kikwete anatekeleza mengi sana zaidi ya ha yo 69.

Wengi hawaelewi kuwa ahadi ya Rais ni agizo kwa watendaji, sasa hesabu wilaya zote na kila wilaya imeahidiwa na zote zinatekelezwa.

Sioni hata moja amabyo haitekelezwi mpaka sasa, jee kuna anaeijuwa?

Kuna zingine zimekuwa ni World Record, mfano alipoahidi chuo Kikuu Dodoma, kilichukuwa exactly miaka miwili kuanza kuchukuwa wanafunzi toka kuahidiwa.

Imekuwa ni world record kweli kwa kuyafilisi mashirika ya hifadhi za jamii esp NSSF ndiyo inakufa deni la ujenzi wa Dodoma halilipiki. Hoja hizo pesa ni za wachangiaji ambao ridhaa yao haikutolewa kujenga Dodoma sasa wanaambiwa hawalipwi hadi wafikishe miaka 60. Ni mafanikio au udhaifu?
 
Mwali na Moderators mnahitajika kuongoza mjadala uende kama ulivyotarajiwa ambapo tulitegemea swali kujibiwa ipasavyo kwa uelewedi wa mhusika na si kwa link za dailynews. Sasa basi Mwali you need to step it up and put your foot down majibu yatolewe kutokana na hadhi za u great thinker
 
Last edited by a moderator:
Hii ya mtu hafi kwa njaa nayo imetekelezeka?Tunaipimaje hii?
Mimi sina swali kwa Matola ila namkumbusha tu kuwa hiyo listi yake mbona ni ndogo sana, Mheshimiwa Rais ana ahadi nyingi sana kuliko hizo anazozitekeleza. Moja ambayo ameisahau ni ile kubwa kuliko zote "Hafi mtu kwa Njaa" Tanzania.Naona kaisahau hiyo. Nataman ningekuwa na muda nimkubushe zote, ni nyingi sana zaidi ya hizo 69 alizoweka yeye na zote zipo katika awamu fulani ya kutekelezwa.
 
Badly hata mimi nimechoka kwa kweli, nilidhani tupo kwenye debate kama ile ya waziri mkuu maswali ya papo kwa papo kumbe loh!!

Mods samahani kama nimefanya kosa kucomment huku kwingine lakini hizi ni hisia zangu.


uko sahihi..mda anaotoa ni mwingi mno kwenu kujibu swali.....sasa hadi agoogle ndo apate majibu.....ndio maana nilishauri hii technolojiaimepitwa na wakati ilifaa sauti..unatwangwa swali unajibu na wengine tunakusikia hiyo ingefaa sana
 
Asante, me love you for this.

Gazeti ni nini hadi tuliamini?

Mwali na Moderators mnahitajika kuongoza mjadala uende kama ulivyotarajiwa ambapo tulitegemea swali kujibiwa ipasavyo kwa uelewedi wa mhusika na si kwa link za dailynews. Sasa basi Mwali you need to step it up and put your foot down majibu yatolewe kutokana na hadhi za u great thinker
 
Mwali na Moderators mnahitajika kuongoza mjadala uende kama ulivyotarajiwa ambapo tulitegemea swali kujibiwa ipasavyo kwa uelewedi wa mhusika na si kwa link za dailynews. Sasa basi Mwali you need to step it up and put your foot down majibu yatolewe kutokana na hadhi za u great thinker

right
hilo la reli Zomba kaongopa
link ni kuhusu ukarabati
while JK aliaahidi Reli mpya ya umeme
 
nimeridhika na jinsi Matola alivyojibu swali la 3, mjadala ukiendelea ivi utakuwa powa.
we need the participants to give us vivid examples and not just blablas
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom