pgasper
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 311
- 70
JF kuna raha,mimi mwenyewe hata sijala? hvi umenyonyesha leo kweli? heri wangeweka ya malovee ingesaidia
Stress free zone
JF kuna raha,mimi mwenyewe hata sijala? hvi umenyonyesha leo kweli? heri wangeweka ya malovee ingesaidia
link ya swali lako hamna ..banaMwali swali langu kwa Matola na zomba tena:
Katika miaka ya karibuni hasa katika kipindi cha JK kumekuwa na mijadala mikali sana ya udini (sio dini) miongoni mwa wanasiasa hata viongozi wenyewe wa dini juu ya mgawanyo wa madaraka na utoaji wa nafasi za elimu na ajira kwa vigezo vya dini ya mtu!
Swali: Mnafikiri ni kwa kiasi gani utawala wa JK umelishughulikia kwa namna ya kutoacha mpasuko katika Taifa?
Nini mchango wa Utawala wake katika mgawanyiko huu?
mimi mwenyewe hata sijala? hvi umenyonyesha leo kweli? heri wangeweka ya malovee ingesaidia
mimi mwenyewe hata sijala? hvi umenyonyesha leo kweli? heri wangeweka ya malovee ingesaidia
dont copy if u cannot paste..source zomba..hapa ni kucopy na kupaste tu usitoe kitu kichwani ...weka tu link
Siamini,yaani hata maziwa sina leo kwa jinsi nilivyo starve leo kisa huu mjadala.![]()
Zomba hakugusia kabisa jitihada za vita dhidi ya rushwa?swali 1. ni kwa nini utawala wa raisi kikwete umegubikwa na hsutuma za rushwa na ufisadi? na je kwa mtizamo wa zomba ni kweli kikwet kama raisi hana makucha ya kuwadhibiti hawa wala rushwa? kama anayo kwa nini hali iko hivi na kama hana kwa nini asiachie ngazi
swali la 2. raisi kiwkte kwa kiwango kikubwa ameshindwa kuboresha sekta ya afya na kwa kuzingatia mvutano uliopo na na madaktari na hivyo wengi wameamua kuondoa na kwenda nje ya nchi. Nini maoni ya zomba katika hili. ni kweli haiwezekani kuboresha mazingira na malipo ya wafanyakazi wa sekta ya afya?
swali la 3. kwa maoni yako zomba ningependa kujua je demokrasia inakua au inadidimizwa nchini? na vipi kuhusu haki za binadamu je serikali ya kikwete inajali haki za binadamu? jibu swali hili kwa kutumia mifano hai
Zomba hakugusia kabisa jitihada za vita dhidi ya rushwa?
Siamini,
ilivyovimba hapo chini ya shingo?
Badly hata mimi nimechoka kwa kweli, nilidhani tupo kwenye debate kama ile ya waziri mkuu maswali ya papo kwa papo kumbe loh!!muongoza mnakasha....huyu zombe anatupotezea mda.....waulize maswali uliyopewa na member uwaulize!!!