MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Chukua TVs hlx 150x hii ndio chuma nzuri na engine yake ina nguvu kuliko hlx series zote.
Kua na 4 gears or 5 gears hizi mbembwe tu.
Pikipiki nzuri tunaangalia
1. Nguvu (power)
2. Uimara
3. Speed
Ahsante kiongozi.
 
MREJESHO:

Wakuu wasalam.
Baada ya kupitia ushauri mbalimbali wa wadau wa jf na kwa kuzingatia budget yangu nilichukua chuma HAOJUE 125-8EX (2.35M).
Shukrani wakuu.

Mungu akuongezee baraka, siku moja umiliki bike ya mkoloni, ndio utajua raha ya bike, achana na hiyo michosho ya wachina na wahindi
 
Nimekuelewa mkuu,nicheck Whatsapp 0765833684 tubadilishane uzoefu
 
Honlg 150-4
price 2.5 mill ndo maamuzi niloamua kuyafanya kwa wiki ya pili sasa naona tofauti kubwa na yamaha 125 hiii imetulia barabarani haiyumbi (sio nyepesi ukiwa kwenye spid)

Haiumizi mgongo kwa maana spring yake haidundi sana.

breki zake ziko perfect hata ikitokea ni ghafla

iko comfortable sana katika bamsi na barabara mbovu (rough road)
kingereza changu hakijaenda shule.

ahsanteni sana

USHAURI
Kwa matumizi ya kibiashara nakushauri nenda HOUJUE.... NGUMU, MUONEKANO MZURI, INA NGUVU
 

Attachments

  • IMG_20210102_191026.jpg
    402.3 KB · Views: 122
Lift tunapata au hatupati?
 
Naomba uzoefu zaid kuhusu hii bike mana nadhan ni brand au model mpya..... Nataman kupata aina hii ya bike (cc kubwa, luxurious, na imara)
 
Hivi hizi bike hapa bongo zinapatokana wapi
1. Ducati
2. BMW
3. Honda
4. KTM Duke
5. Kawasaki

Nataka street bike mojawapo ya hizo company ambayo ni liquid cooled and ABS hata Kama ni used in good condition nazipata wapi mkuu na badger yangu max 5M.
 
Naomba uzoefu zaid kuhusu hii bike mana nadhan ni brand au model mpya..... Nataman kupata aina hii ya bike (cc kubwa, luxurious, na imara)
Haina jipya zaidi ya shokapu moja ya Kati, injini ni zile zile za pikipiki za kichina hajabadili hata kitu chochote.

Bike za kichina tunazoletewa huku ni za kibiashara na hazina ubora mkubwa. Kama unaweza agiza moja Kwa moja China Kuna bike kubwa za 400cc na ni liquid cooled,zina ABS.

Kama unataka bike imara na luxurious nenda Kwa wajapani Honda CRF 125/150, Yamaha YZ 125/250 au Kawasaki KX 125.
 
Hivi hizi bike hapa bongo zinapatokana wapi
1. Ducati
2. BMW
3. Honda
4. KTM Duke
5. Kawasaki

Nataka street bike mojawapo ya hizo company ambayo ni liquid cooled and ABS hata Kama ni used in good condition nazipata wapi mkuu na badger yangu max 5M.
Bike nyingi zina kuja used kutoka Dubai na zinapita Zanzibar Kisha zinaletwa Bongo. Huku Dar utapata maeneo ya Magomeni Mikumi, Kinondoni na Kariakoo Kuna wapemba wanauza.

Kwa Dau lako unaweza kupata Honda CBR au CB,KTM za 500cc kushuka. Pia wacheki Mateline Dubai huwa wanazileta na kuuza bei ya kucheka.

 
Unaifahamu yahama ybr125 ? Nataka kuichukua hiyo, kwa sasa ninamiliki boxer ila naona si imara sana kama hiyo yamaha. Naomba ushauri wako
 
Kiongozi natamani sana honda ace sababu ya kuwepo kwake kwa wingi hivyo vifaa vinapatikana kwa urahisi, kitu kisicho nivutia hizi pikipiki zina gear nne tu nami napenda sana yenye gear tano. Nafikiria sana kuchukua yamaha ybr125g japo siyo nyingi kama honda ila zenyewe zina gear tano. Ushauri wako tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…