Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,248
- 6,267
Mkuuu, shukran sana kwa maelezo yako.Block, Pistons na valves haswa nahisi ndio spare parts (kimtaa mtaa) maana bila hizo chombo hakiendi. Lakini kinaweza tembea tu bila indicators, tail light etc. So niliposemea kuhusu spares kutoingiliana haswa nilimaanisha hizo jumlishia na carburators.
Week iloisha tumetafuta piston rings za boxer bm 100 karibia wiki nzima chimbo nyingi bila mafanikio hadi tukaagiza mkoa Moshi huko. Na bei yake ni balaa.
Lakini pia kwa mchina GN na CG spares nyingi mbali na tajwa hapo juu haziingiliani