Mjadala: Je biashara ya uchangudoa ihalalishwe?

Hili ni jambo la kijamii la kimaadili zaidi kuliko kimtazamo... Uhalisia wake ukijikita kwenye mikanganyiko ya jinsia, imani, maadili, heshima, hekima, ustawi wa familia nknk
Ni jambo lenye ukakasi wa aina yake kiasi kwamba ukitoa rai lihalalishwe unaweza kuonekana kituko katika jamii na mtu usiye na maadili... Lakini lazima tubadilike na nyakati, hatuwezi kubaki palepale dunia inabadilika na kila kitu kinabadilika
Hili jambo halina madhara kama kutumia vilevi na madawa ama wizi nk... Ni jambo tu la kimaadili zaidi... Na hata tukilikataa na kulipinga leo bado watu wataendelea kufanya
Biashara ya kuuza ngono... Sio kuuza mwili, sio tafsiri sahihi, kinachouzwa mtu anaondoka nacho, akikitumia na kukiacha hapo hapo, huyo kakikodisha... Hii ni mojawapo ya biashara kongwe zaidi duniani inayowaingia watu kipato kikubwa na kuwapa maisha...
Ngono ni hitaji muhimu na la lazima la kiasili, ngono huleta furaha, afya na nafuu ya msongo wa mawazo... Afya ya akili hujengwa pia ufanyaji wa ngono.... Lakini si kila mmoja anaweza kupata hitaji hili kwa uhuru, kwa uwezo na kwa utashi
Kuna ambao hawawezi kutongoza
Kuna ambao hawana muda wa kutongoza
Kuna ambao hawana hisia kabisa za mapenzi (sio ngono)
Kuna ambao ni wa binafsi na hawawezi kuhudumia mwanamke kila siku
Kuna makundi katika jamii ambayo mazingira yao, muonekano, kipato na utashi huwanyima fursa ya kuwa na wapenzi
Wote hawa katika ujumla wao kimbilio lao ni kwa wale wanaofanya biashara ya ngono maarufu kama machangudoa ama madadapoa... Huko hakuna longolongo ni biashara tu
Lakini vilevile kuhalalisha biashara hii kunaweza kuwa na tija kubwa kwa jamii... Kama vile
. Kuwa na maeneo rasmi yanayotambulika
. Kuwa na vibali na leseni
. Kuwa na wahudumu... Ajira tayari
. Serikali kukusanya mapato
. Kuwa na ulinzi kwa watumiaji na watumiwaji
. Kupimwa afya na kufuata taratibu zote za kiafya...
Nknk
Kuendelea kuiharamisha hii biashara bila kuwa na sheria rasmi ni kuendelea kuinyanyasa jamii, kuikosesha uhuru, kuleta unyanyasaji na kufaidisha kundi fulani la watu kwa mapato haramu
Machangu wanapokamatwa huishia kushtakiwa kwa kosa la uzururaji.. Huwekwa mahabusu na kutakiwa kutoa pesa ili waachiwe... Wengine hutoa eneo la tukio, wengine hutoa wakifikishwa polisi, wengine hutoa baada ya kulala lupango na wale vigego hawatoi mpaka waachiwe huru
Tukiamua kwa dhati tunaweza sasa kuamua kuwa na mjadala huru kuhusu kuhalalisha hii biashara kongwe yenye wateja wengi wa kaliba zote
Na sisi wanaume ambao tuko tayari kuuza migegedeo yetu tutaruhusiwa. Coz kuna wanawake wanatuganda kama Luba na kusifia migegedeo wako mtamu nataka uwe wangu
 
Wanachukua mapato haramu na kuupoteza muda ambao walipaswa wautumie kwenye uchunguzi wa kesi nyengine muhimu zaidi ambazo kila mara mahakamani wanasema ushaidi haujakamalika
Akizungumza na waandishi wa habari Aprili 30 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amesema oparesheni hiyo jumla ya watuhumiwa 161 wanaojihusisha na biashara ya ukahaba walikamatwa, ambapo wanawake 118 wanaouza miili yao walikamatwa pia wamiliki wa madanguro 33 na wanunuzi wa biashara hiyo ambao ni wanaume 11 nao walikamatwa.

''Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kwa wamiliki wote wa madanguro na machangudoa kuacha biashara hiyo maramoja kwani oparesheni hii ni endelevu na watakaokamatwa watachukuliwa hatua za kisheria'' aliongeza Kamanda Mambosasa

Serikali imewapa mwanya askari wake walinda raia kupata mapato haramu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Walikamatwa wengi sana wengine waliachiwa jana asubuhi baada ya kutoa rushwa ya ngono na wengine walitoa elfu 20 kila mmoja...
Wale ambao walikua hawana hata mia halafu hawaridhishi kingono ndio hao 118 waliobakia...
Jamani nchi yangu hii mnaipeleka wapi?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hii biashara ihalalishwe ili tupate hela za kujenga flai ova na stigla goji
 
Na sisi wanaume ambao tuko tayari kuuza migegedeo yetu tutaruhusiwa. Coz kuna wanawake wanatuganda kama Luba na kusifia migegedeo wako mtamu nataka uwe wangu
[emoji23][emoji23][emoji23]at your own risk...
 
Hatuhitaji serikali ijihusishe na mambo ya kipuuzi yasiyo na impact yoyote kwenye nchi.
Hao wakina mama wanahudimia mbaka maboss wa serikali. Umefika muda iwe halali na wawe na eneo lao rasmi maana hii ni biashara kongwe kuliko siasa.
 
Uchangundoa ni jambo ovu "kimaadili" kwa jamii nyingi duniani.Kuna sehemu nyingi sana za kupata kodi kabla ya kufikiria pesa za machangudoa, zaidi sana ukitafakari na ukajua kwa nini wanawake wengi wanajihusisha na uchangudoa hutakimbilia kuwakamata,kurasimisha uchangudoa au kutaka kodi kutoka kwao.
Walipe kodi hii biashara ni kongwe toka enzi za manabii wa Afrika na Asia..Chamsingi changudoa apimwe awe na afya nzuri pia afuate taratibu za afya anapoingia kwenye gegedo..Wapewe mashine za kodi vile vile wawe na sehemu maalum za kuuzia papuchi cha ziada wawe na bei elekezi ili mapato yajulikane..
 
Hili ni jambo la kijamii la kimaadili zaidi kuliko kimtazamo... Uhalisia wake ukijikita kwenye mikanganyiko ya jinsia, imani, maadili, heshima, hekima, ustawi wa familia nknk
Ni jambo lenye ukakasi wa aina yake kiasi kwamba ukitoa rai lihalalishwe unaweza kuonekana kituko katika jamii na mtu usiye na maadili... Lakini lazima tubadilike na nyakati, hatuwezi kubaki palepale dunia inabadilika na kila kitu kinabadilika
Hili jambo halina madhara kama kutumia vilevi na madawa ama wizi nk... Ni jambo tu la kimaadili zaidi... Na hata tukilikataa na kulipinga leo bado watu wataendelea kufanya
Biashara ya kuuza ngono... Sio kuuza mwili, sio tafsiri sahihi, kinachouzwa mtu anaondoka nacho, akikitumia na kukiacha hapo hapo, huyo kakikodisha... Hii ni mojawapo ya biashara kongwe zaidi duniani inayowaingia watu kipato kikubwa na kuwapa maisha...
Ngono ni hitaji muhimu na la lazima la kiasili, ngono huleta furaha, afya na nafuu ya msongo wa mawazo... Afya ya akili hujengwa pia ufanyaji wa ngono.... Lakini si kila mmoja anaweza kupata hitaji hili kwa uhuru, kwa uwezo na kwa utashi
Kuna ambao hawawezi kutongoza
Kuna ambao hawana muda wa kutongoza
Kuna ambao hawana hisia kabisa za mapenzi (sio ngono)
Kuna ambao ni wa binafsi na hawawezi kuhudumia mwanamke kila siku
Kuna makundi katika jamii ambayo mazingira yao, muonekano, kipato na utashi huwanyima fursa ya kuwa na wapenzi
Wote hawa katika ujumla wao kimbilio lao ni kwa wale wanaofanya biashara ya ngono maarufu kama machangudoa ama madadapoa... Huko hakuna longolongo ni biashara tu
Lakini vilevile kuhalalisha biashara hii kunaweza kuwa na tija kubwa kwa jamii... Kama vile
. Kuwa na maeneo rasmi yanayotambulika
. Kuwa na vibali na leseni
. Kuwa na wahudumu... Ajira tayari
. Serikali kukusanya mapato
. Kuwa na ulinzi kwa watumiaji na watumiwaji
. Kupimwa afya na kufuata taratibu zote za kiafya...
Nknk
Kuendelea kuiharamisha hii biashara bila kuwa na sheria rasmi ni kuendelea kuinyanyasa jamii, kuikosesha uhuru, kuleta unyanyasaji na kufaidisha kundi fulani la watu kwa mapato haramu
Machangu wanapokamatwa huishia kushtakiwa kwa kosa la uzururaji.. Huwekwa mahabusu na kutakiwa kutoa pesa ili waachiwe... Wengine hutoa eneo la tukio, wengine hutoa wakifikishwa polisi, wengine hutoa baada ya kulala lupango na wale vigego hawatoi mpaka waachiwe huru
Tukiamua kwa dhati tunaweza sasa kuamua kuwa na mjadala huru kuhusu kuhalalisha hii biashara kongwe yenye wateja wengi wa kaliba zote
Kaka yangu nazani itakuwa ngumu kwa sababu italazimika ktk vipimo wauza ngono watambulike kitu ambacho hakiwezekani yaani huwabwanajificha sana sasa ikiwekwa wazi hawawezi kushiriki. Ila cha ajabu biashara hii ilikuwepo kabla hata Bwana Yesu hajazaliwa na akafa msalabani akaiacha yaani mizizi ya biashara hii itakatwa na viongozi wa kiroho
 
Uchangundoa ni jambo ovu "kimaadili" kwa jamii nyingi duniani.Kuna sehemu nyingi sana za kupata kodi kabla ya kufikiria pesa za machangudoa, zaidi sana ukitafakari na ukajua kwa nini wanawake wengi wanajihusisha na uchangudoa hutakimbilia kuwakamata,kurasimisha uchangudoa au kutaka kodi kutoka kwao.
Hayo ndio maoni yangu yatabaki hivyo kwangu Mimi uchangu doa sio jambo ovu..hii biashara imekuwepo millennium nyingi zilizopita ata hao walio endelea wanatoza kodi serikali inapata mapato
 
Hayo ndio maoni yangu yatabaki hivyo kwangu Mimi uchangu doa sio jambo ovu..hii biashara imekuwepo millennium nyingi zilizopo ata hao walio endelea wanatoza kodi serikali inapata mapato
Hakuna hata nchi moja iliyoendela iliyoupa uchangudoa uhalili wa kisheria. Jambo walilofanya ni kuacha kufuatilia nani anafanya nini na mwili wake(serikali kuacha kujihusisha nao),hawetengi maeneo maalum kwa ajili yao wala hawakusanyi kodi kutoka kwao.
 
Mshana Jr hiyo sio biashara bali ni huduma.
Ni huduma inayopendwa na wote (wapewa huduma na watoa huduma)
Kilele cha furaha yao huambatana na bakhshishi (tip)
Sasa kuitoza kodi bakhshishi ni kinyume na kanuni za kodi.

Watu waachwe wajivinjari.
wewe nawe, eti sio biashara ni huduma, aliyekuambia huduma sio biashara ni nan!
 
Hakuna hata nchi moja iliyoendela iliyoupa uchangudoa uhalili wa kisheria. Jambo walilofanya ni kuacha kufuatilia nani anafanya nini na mwili wake(serikali kuacha kujihusisha nao),hawetengi maeneo maalum kwa ajili yao wala hawakusanyi kodi kutoka kwao.
Ufaransa marekani Germany. n.k uchangudoa ni kazi kama kazi zingine na wanalipa kodi sijui hupo dunia ya wapi
 
Siku binti yako au dada yako ataamua kujihusisha na uchangudoa utaelewa kuwa ni jambo ovu kimaadili
Hayo ndio maoni yangu yatabaki hivyo kwangu Mimi uchangu doa sio jambo ovu..hii biashara imekuwepo millennium nyingi zilizopita ata hao walio endelea wanatoza kodi serikali inapata mapato
 
Biashara mujarabu sana hii, sizani kama kuna muajiriwa mpya wa kiume wakati wowote ule hakuwahi pitia hawa watu watamu.

Kwanza ni wasafi hawana harufu za ajabu kama walizonazo wanaojifanya si makahaba, wana ngozi za kuvutia wako kama chura kuoga kwao kwa siku si chini ya mara tano.
 
Sio kweli, ni stori zenu waswahili mitaani tu. Ufaransa, Ujerumani na Marekani serikali zake hazijihusishi na uchangudoa kwa maana ya ajira au kuitambua hiyo kazi bali ni kwa ajili ya kudhibiti "sex trafficking"(biashara haramu ya kusafirisha na kuwauza binadamu kwa udanganyifu au kinyume na matakwa yao kwa ajili ya kufanya uchangudoa).
Ufaransa marekani Germany. n.k uchangudoa ni kazi kama kazi zingine na wanalipa kodi sijui hupo dunia ya wapi
 
Hili ni jambo la kijamii la kimaadili zaidi kuliko kimtazamo... Uhalisia wake ukijikita kwenye mikanganyiko ya jinsia, imani, maadili, heshima, hekima, ustawi wa familia nknk
Ni jambo lenye ukakasi wa aina yake kiasi kwamba ukitoa rai lihalalishwe unaweza kuonekana kituko katika jamii na mtu usiye na maadili... Lakini lazima tubadilike na nyakati, hatuwezi kubaki palepale dunia inabadilika na kila kitu kinabadilika
Hili jambo halina madhara kama kutumia vilevi na madawa ama wizi nk... Ni jambo tu la kimaadili zaidi... Na hata tukilikataa na kulipinga leo bado watu wataendelea kufanya
Biashara ya kuuza ngono... Sio kuuza mwili, sio tafsiri sahihi, kinachouzwa mtu anaondoka nacho, akikitumia na kukiacha hapo hapo, huyo kakikodisha... Hii ni mojawapo ya biashara kongwe zaidi duniani inayowaingia watu kipato kikubwa na kuwapa maisha...
Ngono ni hitaji muhimu na la lazima la kiasili, ngono huleta furaha, afya na nafuu ya msongo wa mawazo... Afya ya akili hujengwa pia ufanyaji wa ngono.... Lakini si kila mmoja anaweza kupata hitaji hili kwa uhuru, kwa uwezo na kwa utashi
Kuna ambao hawawezi kutongoza
Kuna ambao hawana muda wa kutongoza
Kuna ambao hawana hisia kabisa za mapenzi (sio ngono)
Kuna ambao ni wa binafsi na hawawezi kuhudumia mwanamke kila siku
Kuna makundi katika jamii ambayo mazingira yao, muonekano, kipato na utashi huwanyima fursa ya kuwa na wapenzi
Wote hawa katika ujumla wao kimbilio lao ni kwa wale wanaofanya biashara ya ngono maarufu kama machangudoa ama madadapoa... Huko hakuna longolongo ni biashara tu
Lakini vilevile kuhalalisha biashara hii kunaweza kuwa na tija kubwa kwa jamii... Kama vile
. Kuwa na maeneo rasmi yanayotambulika
. Kuwa na vibali na leseni
. Kuwa na wahudumu... Ajira tayari
. Serikali kukusanya mapato
. Kuwa na ulinzi kwa watumiaji na watumiwaji
. Kupimwa afya na kufuata taratibu zote za kiafya...
Nknk
Kuendelea kuiharamisha hii biashara bila kuwa na sheria rasmi ni kuendelea kuinyanyasa jamii, kuikosesha uhuru, kuleta unyanyasaji na kufaidisha kundi fulani la watu kwa mapato haramu
Machangu wanapokamatwa huishia kushtakiwa kwa kosa la uzururaji.. Huwekwa mahabusu na kutakiwa kutoa pesa ili waachiwe... Wengine hutoa eneo la tukio, wengine hutoa wakifikishwa polisi, wengine hutoa baada ya kulala lupango na wale vigego hawatoi mpaka waachiwe huru
Tukiamua kwa dhati tunaweza sasa kuamua kuwa na mjadala huru kuhusu kuhalalisha hii biashara kongwe yenye wateja wengi wa kaliba zote
Always maisha yanaendeshwa na vi2 viwili akili (mind), na hisia(emotions).. ni rahisi sana kufanya maamuzi magumu kama hauko emotionally connected na suala unalolifanyia maamuzi.
Pale ambapo mtoto wako kipenzi atakapokwambia anajiuza ndipo utagundua umuhim wa kutumia hisia na akili katika kufanya maamuzi.
 
Watoa huduma hawaipendi,hali na mazingira zinawalazimisha.
Malipo kwa changudoa sio tip,ni malipo kwa ajili ya ngono.
Huwezi kuhalalisha jambo
lilo kimaadili ziadi hususani linalokataliwa na imani zote.Hatuhitaji kodi zao pia.

Back
Top Bottom