Mjadala: Je biashara ya uchangudoa ihalalishwe?

Mjadala: Je biashara ya uchangudoa ihalalishwe?

Always maisha yanaendeshwa na vi2 viwili akili (mind), na hisia(emotions).. ni rahisi sana kufanya maamuzi magumu kama hauko emotionally connected na suala unalolifanyia maamuzi.
Pale ambapo mtoto wako kipenzi atakapokwambia anajiuza ndipo utagundua umuhim wa kutumia hisia na akili katika kufanya maamuzi.
Lakini pia kutokuihalalisha hakuzuii mtoto wako ama ndugu wa karibu kutojihusisha nayo; ni sawa na matumizi ya sigara, pamoja na kuwa na madhara mengi kiafya lakini bado inapatikana madukani kwa wingi tu.. hivyo ni suala la mtu binafsi kutoamua kujihusisha nayo ikiwemo kuwakanya ndugu zake wa karibu madhara ya matumizi, kulingana na mtazamo wake..
 
Ihalalishwe tu.Mambo ya kujidai wanawasumbua wakati wateja wakubwa ni wao inaleta ukakasi.Kama wanabisha,wawadhibiti wale wa Dodoma waone kama miswada itajadiliwa kwa uchangamfu.
 
Watoa huduma hawaipendi,hali na mazingira zinawalazimisha.
Malipo kwa changudoa sio tip,ni malipo kwa ajili ya ngono.
Huwezi kuhalalisha jambo
lilo kimaadili ziadi hususani linalokataliwa na imani zote.Hatuhitaji kodi zao pia.
Ukweli haulazimishwi bali unapendeza, ukweli hauna mtetezi bali unajitetea wenyewe katika muda ufaao, ukweli UNAUMA.

Na kwenye imani Biblia imeweka wazi kuwa "MAKAHABA WATATUTANGULIA KUINGIA PEPONI"

Kwa muktadha huo inaonekana wewe ni umekubuhu kwa ujinga na upumbavu.
 
Ni kweli kuzuia si ki2 rahisi, ni vyema ibaki kuwa haramu. Naamini mtoto akilelewa kujua mazuri na mabaya hakito haribika ki2.. lakini huwezi mfundisha mtoto kuwa uchangudoa ni mbaya wakati huohuo jamii inaufurahia..
Lakini pia kutokuihalalisha hakuzuii mtoto wako ama ndugu wa karibu kutojihusisha nayo; ni sawa na matumizi ya sigara, pamoja na kuwa na madhara mengi kiafya lakini bado inapatikana madukani kwa wingi tu.. hivyo ni suala la mtu binafsi kutoamua kujihusisha nayo ikiwemo kuwakanya ndugu zake wa karibu madhara ya matumizi, kulingana na mtazamo wake..
 
Siku binti yako au dada yako ataamua kujihusisha na uchangudoa utaelewa kuwa ni jambo ovu kimaadili
Mtu akifikisha miaka 18 siwezi kuingilia maisha yake kabisa ata ishi kulingana na sheria za nchi mwanamke ana maamuzi yake ambayo siwezi kuya ingilia kama ameamua kujiuza basi nimaamuzi yake na papuchi ni yake anampa amtakae..
 
Biashara mujarabu sana hii, sizani kama kuna muajiriwa mpya wa kiume wakati wowote ule hakuwahi pitia hawa watu watamu.

Kwanza ni wasafi hawana harufu za ajabu kama walizonazo wanaojifanya si makahaba, wana ngozi za kuvutia wako kama chura kuoga kwao kwa siku si chini ya mara tano.
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Always maisha yanaendeshwa na vi2 viwili akili (mind), na hisia(emotions).. ni rahisi sana kufanya maamuzi magumu kama hauko emotionally connected na suala unalolifanyia maamuzi.
Pale ambapo mtoto wako kipenzi atakapokwambia anajiuza ndipo utagundua umuhim wa kutumia hisia na akili katika kufanya maamuzi.
Ni mjadala huru ndio maana tunajadiliana kwa pamoja sijatoa conclusion ya moja kwa moja tuelewane tafadhali
 
Ukweli haulazimishwi bali unapendeza, ukweli hauna mtetezi bali unajitetea wenyewe katika muda ufaao, ukweli UNAUMA.

Na kwenye imani Biblia imeweka wazi kuwa "MAKAHABA WATATUTANGULIA KUINGIA PEPONI"

Kwa muktadha huo inaonekana wewe ni umekubuhu kwa ujinga na upumbavu.
Na kwenye imani Biblia imeweka wazi kuwa "MAKAHABA WATATUTANGULIA KUINGIA PEPONI" Halelujah.. [emoji108][emoji108][emoji108][emoji123]
 
Umeongea point sana..

Ni safe biashara ikihalalishwa kuliko ikifanywa illegal..

Naunga mkono hoja kuthibiti magonjwa ,kusave Time na resources,nakuongeza Pato la taifa hii biashara iwe halisi..
 
Ni mjadala huru ndio maana tunajadiliana kwa pamoja sijatoa conclusion ya moja kwa moja tuelewane tafadhali
[emoji3][emoji3] Uandishi wako umeonyesha kua tayari unamsimamo fulani, na binafsi ushatoa maamuzi
 
Watoa huduma hawaipendi,hali na mazingira zinawalazimisha.
Malipo kwa changudoa sio tip,ni malipo kwa ajili ya ngono.
Huwezi kuhalalisha jambo
lilo kimaadili ziadi hususani linalokataliwa na imani zote.Hatuhitaji kodi zao pia.
sema wewe huitaji kodi zao usitujumuishe wote..Hawa machangu wapo na wanaongezeka hii inamanisha kuna wateja wanaoitaji huduma inabidi walipe kodi wanapata mapato mengi halafu kitu kinakuwa halamu kwa mujibu wa Imani yako labda uliyo lisishwa na watu weupe lakini kwangu mimi ni halali hakuna shida yoyote.
 
Umefika wakati itangazwe rasmi tu kwamba: jamani ee ukahaba ruksaa.

Watu Oyoooo!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naunga mkono hoja wapewe ulinzi uwanja wa wafisi malaya walitaka kuniua.walipe kodi tule raahaa
 
Kinachonikera hawa wauza papuchi hawajui kutangaza biashara yao.
Tukienda kununua nguo tunajaribisha,Karanga huwa tunaonja.Sasa kwa nini wao hawataki sisi tuonje.

Biashara yao iruhusiwe ila ombi langu Sheria iwe wazi bao la kwanza liwe la kuonja kuthaminisha Mali.
 
Na kwenye imani Biblia imeweka wazi kuwa "MAKAHABA WATATUTANGULIA KUINGIA PEPONI" Halelujah.. [emoji108][emoji108][emoji108][emoji123]
Hawa viumbe wanafanya kazi kubwa kuliko kina kakobe, pengo na malamsusa. Naam ndio maana wameahidiwa pepo kabla wengine. (kuna wajinga watabisha)
 
[emoji3][emoji3] Uandishi wako umeonyesha kua tayari unamsimamo fulani, na binafsi ushatoa maamuzi
Siwezi kutoa maamuzi kwenye jambo la jamii kama hili... Bunge ana serikali ndio waamuzi wa mwisho... Hapa ni mjadala lakini lazima nijulikane nasimamia wapi
 
Back
Top Bottom