Mjadala: Je biashara ya uchangudoa ihalalishwe?

Hawa viumbe wanafanya kazi kubwa kuliko kina kakobe, pengo na malamsusa. Naam ndio maana wameahidiwa pepo kabla wengine. (kuna wajinga watabisha)
Kuna wajinga watabisha.... [emoji81].
 
Kinachonikera hawa wauza papuchi hawajui kutangaza biashara yao.
Tukienda kununua nguo tunajaribisha,Karanga huwa tunaonja.Sasa kwa nini wao hawataki sisi tuonje.

Biashara yao iruhusiwe ila ombi langu Sheria iwe wazi bao la kwanza liwe la kuonja kuthaminisha Mali.
Duu hii kali
 
Hili ni jambo la kijamii la kimaadili zaidi kuliko kimtazamo... Uhalisia wake ukijikita kwenye mikanganyiko ya jinsia, imani, maadili, heshima, hekima, ustawi wa familia nknk
Ni jambo lenye ukakasi wa aina yake kiasi kwamba ukitoa rai lihalalishwe unaweza kuonekana kituko katika jamii na mtu usiye na maadili... Lakini lazima tubadilike na nyakati, hatuwezi kubaki palepale dunia inabadilika na kila kitu kinabadilika
Hili jambo halina madhara kama kutumia vilevi na madawa ama wizi nk... Ni jambo tu la kimaadili zaidi... Na hata tukilikataa na kulipinga leo bado watu wataendelea kufanya
Biashara ya kuuza ngono... Sio kuuza mwili, sio tafsiri sahihi, kinachouzwa mtu anaondoka nacho, akikitumia na kukiacha hapo hapo, huyo kakikodisha... Hii ni mojawapo ya biashara kongwe zaidi duniani inayowaingia watu kipato kikubwa na kuwapa maisha...
Ngono ni hitaji muhimu na la lazima la kiasili, ngono huleta furaha, afya na nafuu ya msongo wa mawazo... Afya ya akili hujengwa pia ufanyaji wa ngono.... Lakini si kila mmoja anaweza kupata hitaji hili kwa uhuru, kwa uwezo na kwa utashi
Kuna ambao hawawezi kutongoza
Kuna ambao hawana muda wa kutongoza
Kuna ambao hawana hisia kabisa za mapenzi (sio ngono)
Kuna ambao ni wa binafsi na hawawezi kuhudumia mwanamke kila siku
Kuna makundi katika jamii ambayo mazingira yao, muonekano, kipato na utashi huwanyima fursa ya kuwa na wapenzi
Wote hawa katika ujumla wao kimbilio lao ni kwa wale wanaofanya biashara ya ngono maarufu kama machangudoa ama madadapoa... Huko hakuna longolongo ni biashara tu
Lakini vilevile kuhalalisha biashara hii kunaweza kuwa na tija kubwa kwa jamii... Kama vile
. Kuwa na maeneo rasmi yanayotambulika
. Kuwa na vibali na leseni
. Kuwa na wahudumu... Ajira tayari
. Serikali kukusanya mapato
. Kuwa na ulinzi kwa watumiaji na watumiwaji
. Kupimwa afya na kufuata taratibu zote za kiafya...
Nknk
Kuendelea kuiharamisha hii biashara bila kuwa na sheria rasmi ni kuendelea kuinyanyasa jamii, kuikosesha uhuru, kuleta unyanyasaji na kufaidisha kundi fulani la watu kwa mapato haramu
Machangu wanapokamatwa huishia kushtakiwa kwa kosa la uzururaji.. Huwekwa mahabusu na kutakiwa kutoa pesa ili waachiwe... Wengine hutoa eneo la tukio, wengine hutoa wakifikishwa polisi, wengine hutoa baada ya kulala lupango na wale vigego hawatoi mpaka waachiwe huru
Tukiamua kwa dhati tunaweza sasa kuamua kuwa na mjadala huru kuhusu kuhalalisha hii biashara kongwe yenye wateja wengi wa kaliba zote
@Mshana Jr

Umeanzisha mada baada ya kumsoma huyu Msukuma wa Kizungu, Mwl Nguli wa Kiswahili, akimanyae kiswahili kuliko mswahili wa Msanga Ngongele. Mabala wa Mabalaa mwenye hoja kuntu, ngumu zinazofinyanga ubongo hadi utoke ukurutu kwa kuwaza na kuwazua. Mtu ambaye kila siku anataabisha bongo za wabongo kwa kuwafanya wazibangue kwa kufikiri. BinAdam anayefanya nyuso zetu zichujike kwa tafakuri jadidi, naam uchambuzi yakinifu wa hoja.

Waswahili wanaeleza "Usipowamudu, ungana nao". Umalaya ni moja yabiashara kongwe duniani. Hakuna jamii wala.imani ya dini iliyoimaliza. Kama hatuwezi imaliza; taabu ya nini sasa? Tupate fedha, faranga, ngawira, dolari kupitia kodi huku kuzithibiti magonjwa.

Nimesema!
Bazazi ni Bazazi na si bazazi
Screenshot_20190501-182447.jpg
 
Inaonekana kama kichekesho au laana but Tanzania tunapoteza pesa nyingi sana kwenye vitu tulivyovipachika jina la haramu/Jinai....Biashara Ya "Uchangudoa" inapuuzwa Na viongozi bongo ila nchi za wenzetu zinavuna mabilioni kupitia biashara hizi....Tuwe wakweli tu, hutuwezi kuzuia uchangudoa..Naunga mkono hoja bwana Mshana Jr

Bazazi ni Bazazi na si bazaziView attachment 1085685
[emoji23][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio naiona hiyo nukuu... Ila na wewe Bazazi kwa nahau na vina uko vizuri kasoro user name yako tuu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Inaonekana kama kichekesho au laana but Tanzania tunapoteza pesa nyingi sana kwenye vitu tulivyovipachika jina la haramu/Jinai....Biashara Ya "Uchangudoa" inapuuzwa Na viongozi bongo ila nchi za wenzetu zinavuna mabilioni kupitia biashara hizi....Tuwe wakweli tu, hutuwezi kuzuia uchangudoa..Naunga mkono hoja bwana Mshana Jr
Agiza laga baridi sana mpaka inavuja jasho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo Mkuu wa nchi ameni'frustrate Sana hata hamu ya "vyombo".sina!!
Leo inabidi machangu wauze kwa bei ya maombolezo
 
Hahahahahah wateja wenyewe Watatoa wapi nguvu za,"Kusimamisha"...Nguvu zote zimeishia Sokoine Mbeya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo sura ya jamaa inaakisi Mfadhaiko wa ajabu Moyoni....Ila huyo jamaa tangu Mei Mosi ya Mwaka jana amekuwa maarufu sana sijui kwanini[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyo ihalarishwe ila kusiwe na utumwa wa ngono. Watu wafanye kwa kuamua isiwe kama wale wanaopelekwa Uchina na ulaya bila kujua wanachoenda kufanya na wanaowapeleka wanakuwa millionaires kwa migongo yao.
 
Hahahaa ulikopa?
Nilikua bado dogo ni kawa naruka hapo kifuani kama nimelipa milioni malaya aniambia taratibu nikajibu jeuri. Alikua pande la mama alinirusha toka kitanda hadi sakafuni na mkong'oto juu huku ni kiangaika kuvaa.ile natoka nje nakuta malaya wote wameshika siraha zs jadi nikasikia aah kumbe nikivulana mi mbio mpaka home nafika nagundua nimeacha pensi yangu huko. Dem mibangi yule jicho jekundu kama lime vilia damu
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom