Kumbe Kuna Hadi Kodi ya basata kwenye biashara aina ya pub?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,423
Reaction score
17,193
Kwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi!

Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za wasanii wa Tanzania kwenye biashara yake.

Nikasema kama ndio hivyo wasanii wa nnje nao wakisema wafanye hivyo itakuaje??

👇
Kwa ninavyoona life la bongo, kama unapanga kuingia kwenye biashara inatakiwa ujipange kisaikolojia, tukiachana na ughali wa Kodi ya pango kwa mwenye nyumba Kuna mzigo mwingine mzito sana ambao unaweza ukakufanya ukaacha ndala

sikuhizi wafanya biashara wengi wanawaonea wivu Hadi walimu wa msingi wanaona Wana maisha mazuri, Wana uwezo wa kukopa mikopo, na ni wafanyakazi wa serikalini.
 
Kwa ninavyoona life la bongo, kama unapanga kuingia kwenye biashara inatakiwa ujipange kisaikolojia, tukiachana na ughali wa Kodi ya pango kwa mwenye nyumba Kuna mzigo mwingine mzito sana unaweza ukakufanya ukaacha ndala.
Kuhusu Kodi ni wajibu wetu kulipa, maana hata huko mambele wana lipa sana tu, tatizo la inchi yetu tuna kamliwa hasa lakini c.a.g akitoka report yake haifanyiwi kazi, ni Bora hata hicho kitengo kiondolewe maana sioni umuhimu wake kabisa.
 
Kulipa Kodi hamna ambae hataki, ishu ni kukamuliwa hizi sio Kodi ni mateso
 
utitiri wa Kodi unatisha, hali ni tete, Kodi kedekede ila zinaishia kwenye matumbo ya wachache kwa maslahi binafsi, ukiingia biasharani hapa bongo inabidi ujipange kwelikweli ipasavyo
 
Kwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi!

Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za wasanii wa Tanzania kwenye biashara yake.

Nikasema kama ndio hivyo wasanii wa nnje nao wakisema wafanye hivyo itakuaje??

👇
Kwa ninavyoona life la bongo, kama unapanga kuingia kwenye biashara inatakiwa ujipange kisaikolojia, tukiachana na ughali wa Kodi ya pango kwa mwenye nyumba Kuna mzigo mwingine mzito sana ambao unaweza ukakufanya ukaacha ndala

sikuhizi wafanya biashara wengi wanawaonea wivu Hadi walimu wa msingi wanaona Wana maisha mazuri, Wana uwezo wa kukopa mikopo, na ni wafanyakazi wa serikalini.
Kuna Basata Kuna Cosota, ni km zinafanana hv
 
Back
Top Bottom