Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 373,008
- 864,128
- Thread starter
- #101
Ndivyo tuna nyota ngazi wa na polisi wetu hasa wanapowakamata watu wakiwa kwenye mishe zao hiziBoss Mshana Jr.
Kwani hii biashara ilipigwa marufuku lini?
Kama marufuku mbona pale Kinondoni, kwa mfuga mbwa , buguruni na Temeke sudan iko miaka nenda na hata mkuu wa mkoa anajua lkn hatua stahiki hazijachukuliwa?
Je? Kuna nchi duniani imeshafanikiwa kutokomeza umalaya? Kumbuka hata nyumba ndogo ni malaya tu.