Mjadala huru: Ushawahi mpaka kufikia hatua ya kuchanganikiwa

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,717
Reaction score
13,704
Wakuu,
Mapenzi ni ugonjwa,Kuna wakati unaweza ukapenda mpaka ukaona Bora watu wote wafe ⚰️ili Dunia yote iwe Yako peke yako

Kuna kipindi nilimpenda mdada mmoja hivi black 🖤 ❤️ sana nilikuwa nahsi kama ndipo nimefika,hata kama nikiambiwa mabaya yake hakika nilikuwa naenda kumwambia
Nilikuwa siwezi kula,kunywa Wala kulala bila uwepo wakee

Ila kumbe alikuwa Malaya wa chinichini nilipogundua Hilo nilimchunguza na kumfumania

Nilimaliza karibu mwaka mmoja bado Lile kovu moyoni halijatoka

Hakika mapenzi yanauma
 
Nilimpenda kupitiliza single mother wa watoto watano, sikujua yale mapenzi yalitokeaga wapi..

Kuja kuchunguza baadae kumbe niliwekewa vitu kwenye chakula ili nisione wanawake wengine ila yeye tu..

Nashukuru kwa sasa niko sawa
 
pole sana mkuu
 
Naomba namba ya huyo single mother
 
Back
Top Bottom