Mjadala huru: Gesi ya Tanzania ni ya nani?

Kuna matahira ya ccm humu yanasema natural gas ya mtwara haifai kwa matumiz ya nyumban lengo likiwa ni kuyatetea maviongoz majambaz kwny taifa hli. Ulaya na marekani, asia gesi wanayotumia ni natural kama ya mtwara bt mapepo toka ccm yako humu yanadai haifai kwa matumiz ya nyumbani.
Mkuu ;nadhani umepanick .

Kwakua unauzoefu wa matumizi ya gas asilia, ni Bora ukafafanua kwa manufaa ya wale wasio Wana Ccm.

Kumbuka hapa tumetofautiana uelewa, Kuna wale wanao dhani Ile mitumgi ya Olex gas , Taifa gas, mihan gas , Orenge gas , namingine ambayo sikumbuki, inajazwa gas ya Mtwara.

Wapo wenzangu namimi tulio ambiwa na tukaamini kua, gas asilia yayiwezi kujazwa kwenye mitumgi ikaleta Tija.

Matumizi yake isafirishwe kwa Bomba hadi eneo la tukio, au kijengwe kiwanda Cha kuichakata Ili , uweze kuhifaziwa kwenye mitumgi.

Je ukweli ni upi?
 
Natural gas haijazwi kwny mitungi bali ynyw unafungiwa nyumban kwako kwa mabomba maalum kama vile unavyoona watu wanafungiwa maji ya dawasco. Ndivyo na mfumo wa natural gas ulivyo unafungiwa ndan ksha una connect na jiko lako ama ktu kngne ktumiacho gas. Na gas hiyo ni cheap sn kuliko LPG hii inayohifadhiwa kwny mitungi.
 
Waliofadhili utafiti wa awali dhana ya kuwepo gas asilia
Waliofadhili utafiti wa pili kiwango cha gesi kilichopo na aina zake
Waliofadhili utafiti wa tatu namna ya uchimbaji
Waliofadhili utafiti wa nne namna ya kuivuna. Kuihifadhi, kuisafirisha na kuisambaza
Waliojenga miundo mbinu ya uchimbaji, uvunaji, uhifadhi, kusafirisha na kusambaza
Kwa sasa tuna ardhi yenye gas lakini hiyo gas sio yetu kwa miaka mingi ijayo
Asante sana kwa majibu Yako mazuri.

Mheshimiwa [emoji441] naomba kumshukuru mheshimiwa.

Hata hivyo naomba kuuliza swali la nyongeza.

Kwakua kiwango kilicho gundulika ni kikubwa na kilicho chimbwa ni kidogo.

Kwakua muekezaji ameonesha Nia yakwenda Nchi jirani , ambako anadai gas Iko jujuu kama changarawe.
Je members wote hatuoni kua huu ni mda muafaka kutaifisha visima hivyo?, kwa manufaa ya taifa Ili ikija kuisha tuwe tumeisha kua na uwezo wakuchimba wenyewe.
 
Ulaya na america, asia wanatumia natural gas kama hii ya mtwara kwny mambo meng sn kama kupkia, kuleta joto ndani nk nk. Na mwny gas hiyo kwa wingi ni mrusi na ndiyo walijenga bomba toka urusi to germany
 
Asante sana kwa majibu Yako mazuri.

Mheshimiwa [emoji441] naomba kumshukuru mheshimiwa.

Hata hivyo naomba kuuliza swali la nyongeza.

Kwakua kiwango kilicho gundulika ni kikubwa na kilicho chimbwa ni kidogo.

Kwakua muekezaji ameonesha Nia yakwenda Nchi jirani , ambako anadai gas Iko jujuu kama changarawe.
Je members wote hatuoni kua huu ni mda muafaka kutaifisha visima hivyo?, kwa manufaa ya taifa Ili ikija kuisha tuwe tumeisha kua na uwezo wakuchimba wenyewe.
Tusijaribu huo ujinga kabisa mikataba tuliyosainishwa ule wa Mangungo wa Msovero unasubiri.. Hapo bado chama cha 20% hakijatia mkono
 
Natural gas haijazwi kwny mitungi bali ynyw unafungiwa nyumban kwako kwa mabomba maalum kama vile unavyoona watu wanafungiwa maji ya dawasco. Ndivyo na mfumo wa natural gas ulivyo unafungiwa ndan ksha una connect na jiko lako ama ktu kngne ktumiacho gas. Na gas hiyo ni cheap sn kuliko LPG hii inayohifadhiwa kwny mitungi.
Nashukuru kwa ufafanuzi .
Nakumbuka miaka ya 2003 kama kumbukumbu zangu ziko sawa.
Kabla ya mjadra wa10 miloni za mboga, hujamungoa ,alie kuwa waziri wa nishati na madini, prof Sospeter Mwijarubi Muhongo,alitamka Bungeni maneno yafuayo "kwawale tulio waunganisha na Bomba la gas, matumizi Yao hayazidi 7000,kwa mwezi, tumewambia wachemshie na maharage , nabado bill haikuzidi"
Mwisho wakunukuuu.

Hapa napata maswali machache.
1:je waziri alijianzishia TU ,akaanza kuunganishia watu kwenye Bomba bila wenye naro kua natarifa?
2: je wenye / mwenye gas aliruhusu badae akaona ni hasara ,akaamua kuuchuna?
Serikali nzima hata kama ni wapigaji ilikosa hata kiungozi 1 wakusimama na makabwera akateteauamzi wa ? prof Sospeter Mhongo,
wakuunganisha Bomba la gas kwenye nyumba za waTz?
 
Leta uthibitisho kuwa hao wamechukua gesi.
Uthibitisho kwenye hili wala hauhitajiki, hatukua na uwezo wa kutafiti Wala kuchimba. Hivyo wawekezaji waliotumia pesa kufanya hizo kazi mpaka warudishe pesa yao,.
Gesi tunainunua kutoka kwa hao wawekezaji, watarudisha lini pesa hilo mm na wewe hatujui.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi .
Nakumbuka miaka ya 2003 kama kumbukumbu zangu ziko sawa.
Kabla ya mjadra wa10 miloni za mboga, hujamungoa ,alie kuwa waziri wa nishati na madini, prof Sospeter Mwijarubi Muhongo,alitamka Bungeni maneno yafuayo "kwawale tulio waunganisha na Bomba la gas, matumizi Yao hayazidi 7000,kwa mwezi, tumewambia wachemshie na maharage , nabado bill haikuzidi"
Mwisho wakunukuuu.

Hapa napata maswali machache.
1:je waziri alijianzishia TU ,akaanza kuunganishia watu kwenye Bomba bila wenye naro kua natarifa?
2: je wenye / mwenye gas aliruhusu badae akaona ni hasara ,akaamua kuuchuna?
Serikali nzima hata kama ni wapigaji ilikosa hata kiungozi 1 wakusimama na makabwera akateteauamzi wa ? prof Sospeter Mhongo,
wakuunganisha Bomba la gas kwenye nyumba za waTz?
Tatzo nchi hii tuna maviongozi mambusese kbs kila jambo wamefanya siasa kwa maslahi ya kututawala, maslahi ya chama chao, maslahi ya familia zao.
 
Tusijaribu huo ujinga kabisa mikataba tuliyosainishwa ule wa Mangungo wa Msovero unasubiri.. Hapo bado chama cha 20% hakijatia mkono
Kazi IPO. Hawa jamaa wameanza kudenguwa na kututishia kuhamia lile ziwa lenye majina mawili, Tena kwa upande wa majirani.

Ukija kupiga hesabu Bomba tumenga sisi , watu wamehamasishwa kutumia gas kwenye magari , gas ⛽ zimejengwa, alafu mtu ananza kukudengulia kwenye uzalishaji.

Kuna majirani wanahamasika kujenga Bomba kwenda kwao, haya yote yanaweza kuzaa mkataba mbovu kuliko hata huu ambao nao hatuujui.
 
Gesi ya Tanzania ni ya Nani na bado wasema mie navuta bangi! Hivi huo umilikishi wa ya Tanzania maana yake nini Kama utauliza ya kina nani nawakati umeshawataja watanzania..!
Wewe ilichotakiwa kurekebisha heading badala yake umetumia matusi Sasa sijui matus ndio suluhu ya hoja mezani?

Ndyo maana mshana jr ameona kama. Unavuta bangi kwa majibu yako

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Sasa hivi tutapindua meza tupigwe ban hujatukanwa unasema namatusi!
 
Back
Top Bottom