Waminyato
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,195
- 4,541
Nilimsikia Rais wa nchi akiongea TVT kipindi kile kabla ya TBC,kwaiyo Rais alitudanganya wananchi wake?Uliwaamini!?
Nilimsikia Rais wa nchi akiongea TVT kipindi kile kabla ya TBC,kwaiyo Rais alitudanganya wananchi wake?Uliwaamini!?
Ulikuwa Unafanya field na ukashindwa kuelewa alichokuwa anamaanisha [emoji706]Wewe ndio muongo kabsa,wakti nafanya field bandari ya mtwara mwaka huu mwezi wa sita,nyumba niliyokuwa nakaa tulikuwa tumefungiwa gesi maeneo ya kiyangu karibu na mtwara tech.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Usiwaamini sana hawa wanasiasa hasa hawa wa chama chawalaNilimsikia Rais wa nchi akiongea TVT kipindi kile kabla ya TBC,kwaiyo Rais alitudanganya wananchi wake?
Hii gas ni ya Watanzania ila imekuwa kama nguruwe aliyevalishwa kidani cha dhahabu. Hajui thamani yake.Wakuu naomba mjadala huu usiegemee upande wowote wa siasa au dini naomba ujikite kwenye hoja
Naomba kujua gesi inayochimbwa Tanzania n Mali ya nani?
Kama n Mali ya watanzania mbona
Gharama ya gesi ya kupikia majumban ipo juu Sana hailet uhalisia Kama inamikiwa.na watanzania
Mbona gharama za.umeme zinazid kupanda lakn bado gesi hyo inataka ipelekwe Kenya je hapa Tanzania imefika kila mkoa wilaya na vijiji?
Mbona umeme unakatika katika huku tukiambiwa kina Cha maji kimepungua katika mabwawa yetu mbona gesi haizungumziwi kuwa nayo imepungua au vp?
Wakuu karibuni kwa mjadala.huru
Kuna viongozi wanasubiriwa wafe tu ili izi mali zirudi serikaliniHii gesi kipindi inaanza ilisifiwa sana na awamu ya nne kuwa ni mkombozi kumbe ilikuwa kinyume chake.Imekuwa mkombozi kwa voingozi wa awamu ya nne maana wao walichukua chao mapema kwa kumuuzia mwekezaji na kumpa umiliki zaidi ya miaka 99 na mwekezaji naye kuwauzia tanesco ambao nao wanatuuzia cha juu.Nchi ya ajabu sana hii.
Man Chige, well articulatedKwa ufupi ni hivi:-
1. Gesi iliyogunduliwa Tanzania ni takribani 57 TRILLION CUBIC FEET, na kati ya hizo, around 7 TRILLION CUBIC FEET ziligunduliwa Awamu ya Kwanza na around 50 Trillion Cubic Feet zimegunduliwa awamu ya 4.
2. Hadi sasa, gesi ambayo imeanza kuchimbwa ni zile 7 TRILLION Cubic Feet ambazo iligunduliwa wakati wa Mwalimu. Gesi hii ipo Songosongo na ndio inazalisha umeme pale Ubungo, na nyingine ni ile ya Mtwara ambayo inazalisha umeme pale Kinyerezi.
3. Zile around 50 TRILLION CUBIC FEET bado HAZIJAGUSWA!!
4. Kwavile gesi iliyoanza kuchimbwa ni ile from 7 TCF, kwa kiasi kikubwa gesi hii inatumika tu kuzalisha umeme na sio kutumika kama nishati ya kupikia majumbani! TPDC walifanya Pilot Project kuhusu kutumia gesi majumbani.
Kwa Dar es salaam, walianzia Mikocheni kwenye nyumba zao. Hata hivyo, hilo litakuwa more effective zikishachimbwa zile 50 TCF kwa sababu ndiyo nyingi zaidi.
5. Kwanini bado kuna tatizo la umeme: Baada ya JK kuivuta ile gesi ya Mtwara hadi Kinyerezi, lengo lilikuwa ni kujenga 4 power generations plants pale Kinyerezi. Yeye alifanikiwa kujenga Kinyerezi I, kisha akaanza Kinyerezi II lakini wakati ikiwa hatua ya awali kabisa muda wake wa kuwa madarakani.
Matarajio ilikuwa JPM ambae alimfuatia angemaliza ile Kinyerezi II, kisha ajenge Kinyerezi III na IV. Hata hivyo, sijui alishauriwa na nani... bila shaka aliambiwa umeme uliopo unatosha kwa sasa, kwahiyo JPM akapiga chini Kinyerezi III na IV na kuhamia kwenye Bwawa la Nyerere!!
HOWEVER... tatizo la umeme Tanzania ni zaidi ya kiasi kinachozalishwa! Leo hii itokee by chance kesho tuwe tuna zaidi ya 1,000,000 MW of umeme bado tatizo la umeme litendelea kuwepo kutokana na miundombinu chakavu!!
Kwa umeme huu huu tulionao, lau kama miundombinu ingekuwa mizuri basi tatizo lingekuwa dogo sana kwa sababu ni kweli pia power consumption bado ni ndogo!!
WAMILIKI?!
Both, Gesi ya Songosongo na ile ya Mtwara inamilikiwa na kampuni za kigeni pamoja na serikali kupitia TPDC!!
Huna adabu[emoji1544][emoji1550][emoji23][emoji23] Nipo sawa sema nimeamua kuwazingua tu nione akili zenu zipo timamu kiasi gani
Huna adabu[emoji1544][emoji1550][emoji23][emoji23] Nipo sawa sema nimeamua kuwazingua tu nione akili zenu zipo timamu kiasi gani
Gharama ya gesi ya kupikia majumban ipo juu Sana hailet uhalisia Kama inamikiwa.na watanzania
😂 TulieniHuna adabu[emoji1544][emoji1550][emoji23]
Mbona shilika la maendeleo la petroli linasema gesi asilia inaweza kutumika majumbani na ni salama zaidi kuliko LPG.
Mwaka 2019 kulikuwa kuna mpango WA kusambaza mabomba ya gesi majumbani mtwara sijui imeishiwa wapi.
Mtwara waanza kutumia Gesi Asilia Majumbani
Waziri wa Nishati Mhe. Medard Kalemani amezindua matumizi ya Gesi Asilia majumbani kwa mkoa wa Mtwara. Mradi huu wa awali kwa mkoa wa Mtwara utagharim shilingi Bilioni 3.7 ambazo ni fedha za ndani za Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Akizindua mradi huo Mhe. Kalemani amesema Awamumtwara.go.tz
Na pia kwenye vipindo vya TBC, TPDC wanadai kuwa na mpango WA kuisambaza gesi majumbani dar es salaam
Zaidi ya 50% ya umeme unaozalishwa Tanzania unatokana na hiyo gesi...Hivi hio gesi haifanani na ile ya Urusi? Haiwezekani kuzalisha umeme au ndo itakua gharana zake ni kubwa sana...
Gesi ya Mtwara itatumika pia majumbani lakini sio kwa kujazwa kwenye mitungi. Plan iliyopo ni kusambaza network ya mabomba, na ndivyo inafanyika duniani.Mkuu ;nadhani umepanick .
Kwakua unauzoefu wa matumizi ya gas asilia, ni Bora ukafafanua kwa manufaa ya wale wasio Wana Ccm.
Kumbuka hapa tumetofautiana uelewa, Kuna wale wanao dhani Ile mitumgi ya Olex gas , Taifa gas, mihan gas , Orenge gas , namingine ambayo sikumbuki, inajazwa gas ya Mtwara.
Wapo wenzangu namimi tulio ambiwa na tukaamini kua, gas asilia yayiwezi kujazwa kwenye mitumgi ikaleta Tija.
Matumizi yake isafirishwe kwa Bomba hadi eneo la tukio, au kijengwe kiwanda Cha kuichakata Ili , uweze kuhifaziwa kwenye mitumgi.
Je ukweli ni upi?
Vipi kuhusu mtera mbona jamaa wanatuambja bwawa limekauka kwaio kunakua na mgao wa umeme? Je hsiwezekani hio gesi ikato 100% umeme?Zaidi ya 50% ya umeme unaozalishwa Tanzania unatokana na hiyo gesi...
Gesi ya Songosongo ambayo mitambo ya kuzalishia umeme ndo ile unayoiona Ubungo na Gesi ya Msimbati ndo ile ambayo mitambo yake ya kuzalishia umeme ipo Kinyerezi. Kiwango kingine ndicho kinaendesha mitambo ya IPTL ambayo zamani ilikuwa inatumia mafuta mazito!
Leo hii ukikata ile gesi, nchi inaingia GIZANI like never before!
Nadhani JK na JPM walikuwa na maono tofauti....Vipi kuhusu mtera mbona jamaa wanatuambja bwawa limekauka kwaio kunakua na mgao wa umeme? Je hsiwezekani hio gesi ikato 100% umeme?
Kuwa na akili basi ,gas ya Tanzania ni ya nani? 😁😁..Wakuu naomba mjadala huu usiegemee upande wowote wa siasa au dini naomba ujikite kwenye hoja
Naomba kujua gesi inayochimbwa Tanzania n Mali ya nani?
Kama n Mali ya watanzania mbona
Gharama ya gesi ya kupikia majumban ipo juu Sana hailet uhalisia Kama inamikiwa.na watanzania
Mbona gharama za.umeme zinazid kupanda lakn bado gesi hyo inataka ipelekwe Kenya je hapa Tanzania imefika kila mkoa wilaya na vijiji?
Mbona umeme unakatika katika huku tukiambiwa kina Cha maji kimepungua katika mabwawa yetu mbona gesi haizungumziwi kuwa nayo imepungua au vp?
Wakuu karibuni kwa mjadala.huru