Mjadala huru: Gesi ya Tanzania ni ya nani?

Mjadala huru: Gesi ya Tanzania ni ya nani?

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,289
Reaction score
17,316
Wakuu naomba mjadala huu usiegemee upande wowote wa siasa au dini naomba ujikite kwenye hoja

Naomba kujua gesi inayochimbwa Tanzania ni mali ya nani?

Kama n Mali ya watanzania mbona

Gharama ya gesi ya kupikia majumbani ipo juu Sana haileti uhalisia Kama inamikiwa na watanzania

Mbona gharama za umeme zinazidi kupanda lakini bado gesi hiyo inataka ipelekwe Kenya je hapa Tanzania imefika kila mkoa wilaya na vijiji?

Mbona umeme unakatika katika huku tukiambiwa kina Cha maji kimepungua katika mabwawa yetu, mbona gesi haizungumziwi kuwa nayo imepungua au vipi?

Wakuu karibuni kwa mjadala huru
 
Gesi ya wamakonde.. aliambiwa mkwere

gesi.jpg
 
Wakuu naomba mjadala huu usiegemee upande wowote wa siasa au dini naomba ujikite kwenye hoja

Naomba kujua gesi inayochimbwa Tanzania n Mali ya nani?

Kama n Mali ya watanzania mbona

Gharama ya gesi ya kupikia majumban ipo juu Sana hailet uhalisia Kama inamikiwa.na watanzania

Mbona gharama za.umeme zinazid kupanda lakn bado gesi hyo inataka ipelekwe Kenya je hapa Tanzania imefika kila mkoa wilaya na vijiji?

Mbona umeme unakatika katika huku tukiambiwa kina Cha maji kimepungua katika mabwawa yetu mbona gesi haizungumziwi kuwa nayo imepungua au vp?

Wakuu karibuni kwa mjadala.huru

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Gas ya majumbani tunayotumia ni Liquified petroleum Gas (LPG). na wala sio gas inayotoka Mtwara.

Gas inayochimbwa Mtwara ni Natural gas, and mostly inatumika kundeshea mitambo mikubwa na viwandani, kama vile TWIGA cement etc.

So gas tuitumiayo huwa inatoka nje moja kwa moja na sisi tuna store kule Kigamboni, then tunadistribute. So hiyo kupanda ni world wide chifu
 
Hii gesi kipindi inaanza ilisifiwa sana na awamu ya nne kuwa ni mkombozi kumbe ilikuwa kinyume chake. Imekuwa mkombozi kwa viongozi wa awamu ya nne maana wao walichukua chao mapema kwa kumuuzia mwekezaji na kumpa umiliki zaidi ya miaka 99 na mwekezaji naye kuwauzia tanesco ambao nao wanatuuzia cha juu. Nchi ya ajabu sana hii.
 
Gas ya majumbani tunayotumia ni Liquified petroleum Gas (LPG). na wala sio gas inayotoka mtwara.

Gas inayochimbwa mtwala ni Natural gas, and mostly inatumika kundeshea mitambo mikubwa na viwandani, kama vile TWIGA cement etc.

So gas tuitumiayo huwa inatoka nje moja kwa moja na sisi tuna store kule kigamboni, then tunadistribute. So hiyo kupanda ni world wide chifu
Wewe ndio muongo kabisa, wakati nafanya field bandari ya Mtwara mwaka huu mwezi wa sita, nyumba niliyokuwa nakaa tulikuwa tumefungiwa gesi maeneo ya Kiyangu karibu na Mtwara tech.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Hii gesi kipindi inaanza ilisifiwa sana na awamu ya nne kuwa ni mkombozi kumbe ilikuwa kinyume chake.Imekuwa mkombozi kwa voingozi wa awamu ya nne maana wao walichukua chao mapema kwa kumuuzia mwekezaji na kumpa umiliki zaidi ya miaka 99 na mwekezaji naye kuwauzia tanesco ambao nao wanatuuzia cha juu.Nchi ya ajabu sana hii.
Unajua tofauti ya LNG na CNG!?..
 
Gas ya majumbani tunayotumia ni Liquified petroleum Gas (LPG). na wala sio gas inayotoka mtwara.

Gas inayochimbwa mtwala ni Natural gas, and mostly inatumika kundeshea mitambo mikubwa na viwandani, kama vile TWIGA cement etc.

So gas tuitumiayo huwa inatoka nje moja kwa moja na sisi tuna store kule kigamboni, then tunadistribute. So hiyo kupanda ni world wide chifu
Mbona shirika la maendeleo la petroli linasema gesi asilia inaweza kutumika majumbani na ni salama zaidi kuliko LPG.

Mwaka 2019 kulikuwa kuna mpango WA kusambaza mabomba ya gesi majumbani Mtwara sijui imeishiwa wapi.

Na pia kwenye vipindi vya TBC, TPDC wanadai kuwa na mpango WA kuisambaza gesi majumbani Dar es Salaam
 
Gas ya majumbani tunayotumia ni Liquified petroleum Gas (LPG). na wala sio gas inayotoka mtwara.

Gas inayochimbwa mtwala ni Natural gas, and mostly inatumika kundeshea mitambo mikubwa na viwandani, kama vile TWIGA cement etc.

So gas tuitumiayo huwa inatoka nje moja kwa moja na sisi tuna store kule kigamboni, then tunadistribute. So hiyo kupanda ni world wide chifu
Mkuu una uhakika unachoongea hapa?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mbona shilika la maendeleo la petroli linasema gesi asilia inaweza kutumika majumbani na ni salama zaidi kuliko LPG.

Mwaka 2019 kulikuwa kuna mpango WA kusambaza mabomba ya gesi majumbani mtwara sijui imeishiwa wapi.

Na pia kwenye vipindo vya TBC, TPDC wanadai kuwa na mpango WA kuisambaza gesi majumbani dar es salaam
Kwa hiyo hujawahi ona vigingi vya njano vilivyoandikwa Bomba la gas!?
 
Mbona shilika la maendeleo la petroli linasema gesi asilia inaweza kutumika majumbani na ni salama zaidi kuliko LPG.

Mwaka 2019 kulikuwa kuna mpango WA kusambaza mabomba ya gesi majumbani mtwara sijui imeishiwa wapi.

Na pia kwenye vipindo vya TBC, TPDC wanadai kuwa na mpango WA kuisambaza gesi majumbani dar es salaam
Nadhan aje atupe maelezo ya kina

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom