Mjadala huru: Gesi ya Tanzania ni ya nani?

Kwa sasa Ili kupunguza maumivu ya gesi pendelea hii combination

Ule mtungi wa kati ndo uwe backup sio main.

Mtungi mkubwa unapunguza sana gharama za gesi kwa wastani wa matumizi ya Kila siku.
 
Attachments

  • IMG_20221013_203721_830.jpg
    IMG_20221013_203721_830.jpg
    256.3 KB · Views: 14
SERIKALI ilikuwa na mpango wa kusambaza gesi majumbani kwa kutumia mabomba na walifanya Majaribio mikocheni B na walifaulu, sasa ikaja gundulika Kuwa maeneo mengine miundombinu ya Dar siyo Rafiki kwa kusambaza mabomba ya gesi hapo walikwama, wakasema wanatafiti namna ya kuhifadhi mwenye mitungi kwa maana hii gesi ni nyepesi sana ni ngumu kukaa mwenye mitungi mpaka ufanyike ubunifu sijui wamefikia wapi, na kama ilishindikana Dar sijui mikoani imeshindikana nini
 
Kuna matahira ya ccm humu yanasema natural gas ya mtwara haifai kwa matumiz ya nyumban lengo likiwa ni kuyatetea maviongoz majambaz kwny taifa hli. Ulaya na marekani, asia gesi wanayotumia ni natural kama ya mtwara bt mapepo toka ccm yako humu yanadai haifai kwa matumiz ya nyumbani.
 
Labda tuwaulize wale watunga sheria wetu waliopitisha muswada wa dharura kuhusu hiyo gesi kipindi cha utawala wa JK, huenda watakuwa na majibu sahihi.
 
Wakuu naomba mjadala huu usiegemee upande wowote wa siasa au dini naomba ujikite kwenye hoja

Naomba kujua gesi inayochimbwa Tanzania n Mali ya nani?

Kama n Mali ya watanzania mbona

Gharama ya gesi ya kupikia majumban ipo juu Sana hailet uhalisia Kama inamikiwa.na watanzania

Mbona gharama za.umeme zinazid kupanda lakn bado gesi hyo inataka ipelekwe Kenya je hapa Tanzania imefika kila mkoa wilaya na vijiji?

Mbona umeme unakatika katika huku tukiambiwa kina Cha maji kimepungua katika mabwawa yetu mbona gesi haizungumziwi kuwa nayo imepungua au vp?

Wakuu karibuni kwa mjadala.huru

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa ufupi ni hivi:-

1. Gesi iliyogunduliwa Tanzania ni takribani 57 TRILLION CUBIC FEET, na kati ya hizo, around 7 TRILLION CUBIC FEET ziligunduliwa Awamu ya Kwanza na around 50 Trillion Cubic Feet zimegunduliwa awamu ya 4.

2. Hadi sasa, gesi ambayo imeanza kuchimbwa ni zile 7 TRILLION Cubic Feet ambazo iligunduliwa wakati wa Mwalimu. Gesi hii ipo Songosongo na ndio inazalisha umeme pale Ubungo, na nyingine ni ile ya Mtwara ambayo inazalisha umeme pale Kinyerezi.

3. Zile around 50 TRILLION CUBIC FEET bado HAZIJAGUSWA!!

4. Kwavile gesi iliyoanza kuchimbwa ni ile from 7 TCF, kwa kiasi kikubwa gesi hii inatumika tu kuzalisha umeme na sio kutumika kama nishati ya kupikia majumbani! TPDC walifanya Pilot Project kuhusu kutumia gesi majumbani.

Kwa Dar es salaam, walianzia Mikocheni kwenye nyumba zao. Hata hivyo, hilo litakuwa more effective zikishachimbwa zile 50 TCF kwa sababu ndiyo nyingi zaidi.

5. Kwanini bado kuna tatizo la umeme: Baada ya JK kuivuta ile gesi ya Mtwara hadi Kinyerezi, lengo lilikuwa ni kujenga 4 power generations plants pale Kinyerezi. Yeye alifanikiwa kujenga Kinyerezi I, kisha akaanza Kinyerezi II lakini wakati ikiwa hatua ya awali kabisa muda wake wa kuwa madarakani.

Matarajio ilikuwa JPM ambae alimfuatia angemaliza ile Kinyerezi II, kisha ajenge Kinyerezi III na IV. Hata hivyo, sijui alishauriwa na nani... bila shaka aliambiwa umeme uliopo unatosha kwa sasa, kwahiyo JPM akapiga chini Kinyerezi III na IV na kuhamia kwenye Bwawa la Nyerere!!

HOWEVER... tatizo la umeme Tanzania ni zaidi ya kiasi kinachozalishwa! Leo hii itokee by chance kesho tuwe tuna zaidi ya 1,000,000 MW of umeme bado tatizo la umeme litendelea kuwepo kutokana na miundombinu chakavu!!

Kwa umeme huu huu tulionao, lau kama miundombinu ingekuwa mizuri basi tatizo lingekuwa dogo sana kwa sababu ni kweli pia power consumption bado ni ndogo!!

WAMILIKI?!

Both, Gesi ya Songosongo na ile ya Mtwara inamilikiwa na kampuni za kigeni pamoja na serikali kupitia TPDC!!
 
Gas itokayo mtwara ni ya majambazi walioua na kupora kutoka mtwara na kupelekwa DSM pamoja na hao wabia wao wa kigeni. Wapo wageni kama wawekezani labda wachina labda wazungu, anejua jibu sahihi ni mporaji wa hio Gas.

Mungu ampe adhabu anayostahiki ukisherekea baada ya kusherehekea ni dalili ya kusherekewa na haipitagi miaka mingi baada ya uzinduzi. Keep in ur dairy.

Inshallah
 
Gas ya majumbani tunayotumia ni Liquified petroleum Gas (LPG). na wala sio gas inayotoka mtwara.

Gas inayochimbwa mtwala ni Natural gas, and mostly inatumika kundeshea mitambo mikubwa na viwandani, kama vile TWIGA cement etc.

So gas tuitumiayo huwa inatoka nje moja kwa moja na sisi tuna store kule kigamboni, then tunadistribute. So hiyo kupanda ni world wide chifu
Hivi hio gesi haifanani na ile ya Urusi? Haiwezekani kuzalisha umeme au ndo itakua gharana zake ni kubwa sana...
 
Wakuu naomba mjadala huu usiegemee upande wowote wa siasa au dini naomba ujikite kwenye hoja

Naomba kujua gesi inayochimbwa Tanzania n Mali ya nani?

Kama n Mali ya watanzania mbona

Gharama ya gesi ya kupikia majumban ipo juu Sana hailet uhalisia Kama inamikiwa.na watanzania

Mbona gharama za.umeme zinazid kupanda lakn bado gesi hyo inataka ipelekwe Kenya je hapa Tanzania imefika kila mkoa wilaya na vijiji?

Mbona umeme unakatika katika huku tukiambiwa kina Cha maji kimepungua katika mabwawa yetu mbona gesi haizungumziwi kuwa nayo imepungua au vp?

Wakuu karibuni kwa mjadala.huru

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Waliofadhili utafiti wa awali dhana ya kuwepo gas asilia
Waliofadhili utafiti wa pili kiwango cha gesi kilichopo na aina zake
Waliofadhili utafiti wa tatu namna ya uchimbaji
Waliofadhili utafiti wa nne namna ya kuivuna. Kuihifadhi, kuisafirisha na kuisambaza
Waliojenga miundo mbinu ya uchimbaji, uvunaji, uhifadhi, kusafirisha na kusambaza
Kwa sasa tuna ardhi yenye gas lakini hiyo gas sio yetu kwa miaka mingi ijayo
 
Wewe ni mpumba... Unauliza kitu ambacho ktk swali lako tayari Kuna jibu!.
Sasa nami nitakujibu kipumba.. hiyo gesi ni ya akina ng'ombe.
Hizi bangi za kuvutia vichochoroni hizi[emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji16][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Gesi ya Tanzania ni ya Nani na bado wasema mie navuta bangi! Hivi huo umilikishi wa ya Tanzania maana yake nini Kama utauliza ya kina nani nawakati umeshawataja watanzania..!
 
Kwa ufupi ni hivi:-

1. Gesi iliyogunduliwa Tanzania ni takribani 57 TRILLION CUBIC FEET, na kati ya hizo, around 7 TRILLION CUBIC FEET ziligunduliwa Awamu ya Kwanza na around 50 Trillion Cubic Feet zimegunduliwa awamu ya 4.

2. Hadi sasa, gesi ambayo imeanza kuchimbwa ni zile 7 TRILLION Cubic Feet ambazo iligunduliwa wakati wa Mwalimu. Gesi hii ipo Songosongo na ndio inazalisha umeme pale Ubungo, na nyingine ni ile ya Mtwara ambayo inazalisha umeme pale Kinyerezi.

3. Zile around 50 TRILLION CUBIC FEET bado HAZIJAGUSWA!!

4. Kwavile gesi iliyoanza kuchimbwa ni ile from 7 TCF, kwa kiasi kikubwa gesi hii inatumika tu kuzalisha umeme na sio kutumika kama nishati ya kupikia majumbani! TPDC walifanya Pilot Project kuhusu kutumia gesi majumbani.

Kwa Dar es salaam, walianzia Mikocheni kwenye nyumba zao. Hata hivyo, hilo litakuwa more effective zikishachimbwa zile 50 TCF kwa sababu ndiyo nyingi zaidi.

5. Kwanini bado kuna tatizo la umeme: Baada ya JK kuivuta ile gesi ya Mtwara hadi Kinyerezi, lengo lilikuwa ni kujenga 4 power generations plants pale Kinyerezi. Yeye alifanikiwa kujenga Kinyerezi I, kisha akaanza Kinyerezi II lakini wakati ikiwa hatua ya awali kabisa muda wake wa kuwa madarakani.

Matarajio ilikuwa JPM ambae alimfuatia angemaliza ile Kinyerezi II, kisha ajenge Kinyerezi III na IV. Hata hivyo, sijui alishauriwa na nani... bila shaka aliambiwa umeme uliopo unatosha kwa sasa, kwahiyo JPM akapiga chini Kinyerezi III na IV na kuhamia kwenye Bwawa la Nyerere!!

HOWEVER... tatizo la umeme Tanzania ni zaidi ya kiasi kinachozalishwa! Leo hii itokee by chance kesho tuwe tuna zaidi ya 1,000,000 MW of umeme bado tatizo la umeme litendelea kuwepo kutokana na miundombinu chakavu!!

Kwa umeme huu huu tulionao, lau kama miundombinu ingekuwa mizuri basi tatizo lingekuwa dogo sana kwa sababu ni kweli pia power consumption bado ni ndogo!!

WAMILIKI?!

Both, Gesi ya Songosongo na ile ya Mtwara inamilikiwa na kampuni za kigeni pamoja na serikali kupitia TPDC!!
Ahsante mkuu kwa maelezo yako. Ungekua karibu ungekunywa hata wine kidg

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Gesi ya Tanzania ni ya Nani na bado wasema mie navuta bangi! Hivi huo umilikishi wa ya Tanzania maana yake nini Kama utauliza ya kina nani nawakati umeshawataja watanzania..!
Waliofadhili utafiti wa awali dhana ya kuwepo gas asilia
Waliofadhili utafiti wa pili kiwango cha gesi kilichopo na aina zake
Waliofadhili utafiti wa tatu namna ya uchimbaji
Waliofadhili utafiti wa nne namna ya kuivuna. Kuihifadhi, kuisafirisha na kuisambaza
Waliojenga miundo mbinu ya uchimbaji, uvunaji, uhifadhi, kusafirisha na kusambaza
Kwa sasa tuna ardhi yenye gas lakini hiyo gas sio yetu kwa miaka mingi ijayo
 
Waliofadhili utafiti wa awali dhana ya kuwepo gas asilia
Waliofadhili utafiti wa pili kiwango cha gesi kilichopo na aina zake
Waliofadhili utafiti wa tatu namna ya uchimbaji
Waliofadhili utafiti wa nne namna ya kuivuna. Kuihifadhi, kuisafirisha na kuisambaza
Waliojenga miundo mbinu ya uchimbaji, uvunaji, uhifadhi, kusafirisha na kusambaza
Kwa sasa tuna ardhi yenye gas lakini hiyo gas sio yetu kwa miaka mingi ijayo
Leta uthibitisho kuwa hao wamechukua gesi.
 
Back
Top Bottom