Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

Vyumba vitano? hiyo siyo ya kawaida ni jumba kubwa tu! Kama upo Dar, andaa kwa uchache milioni 200.
Habar Guantanamo, nimeona umeandika kwamba unahitaji nyumba ya vyumba vitano na ulikuwa unaomba watu wakufanyie makadilio, mm ni dada niko kwenye real estate mikocheni ,ofisi zetu zipo pale kida plaza , ni kweli kwa vyumba vitano pamoja na jiko na mengineyo inaweza kufika sh mil 200 lakini pia , mm ningekushaur ujaribu kuanglia kwenye real estate kwa upande wa wanaouza tu, kwa sababu unaweza kukuta bei ya sh mil 200 inapungua kidogo.

Nipo tayar kukusaidia ukihitaji maelezo zaid.
 

square mita ngapi na ni furnished au non furnished?
 
Umetishaaaaa aiseee
 
Hiyo teknolojia haiitwi hivyo.
Intaloking no dizaini katika matofari.
Teknoloji inaitwa SSB. Yaani soil stabilized bricks.
Ipo DSM nenda veta.tba au udsm pale injiniaring watakupa kitu sahiho
 
Kupaua nyumba ya vyumba vinne makadirio yanaweza kuwaje... Bati mgongo mpana... Naomba makadirio gharama za fundi
 
Mim nna swali kuhusu uimara wa Interlock Block, hiv hiz ni nzur kabisa na zinaweza kukaa mda mrefu??
 
Kwa Ujenzi wa Nyumba

Ujenzi wa Godown

Ujenzi wa Maghorofa

Kwa Kutumia
1.Tofali za Aina Mbalimbali Kuanzia Chipping na Kawaida

Kwa Ujenzi wa Nyumba Kuanzia Kiwango Mbalimbali Cha Fedha.

Unakaribishwa Kwa Ujenzi Safi

Kwa Mafundi Waliobobea na Wataalamu wa Hali ya Juu Karibu Kwenye Kampuni Yetu Kwa Ujenzi Bora.

Tuna Project Nyingi za Ujenzi Katika Mikoa ya DODOMA,DSM na KIGOMA

Pia Tutatengeza Ramani na Kuandaa BOQ ama Makadirio ya Ujenzi wako Kwa Gharama Nafuu Kabisa

Tupigie kwa

0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)

OMARI RAJABU
ADMINSTRATION OFFICE
EYESONEPROPERTY TANZANIA LTD

DAR ES SALAAM TANZANIA

Tunajenga Mkoa Wowote na Tunasimamia Ujenzi wako Kuanzia Hatua ya Awali Foundation Mpaka Finishing Sambamba na Kufuatilia Kibali cha Ujenzi na Kutengeneza Ramani ya Nyumba yako

Pia Tunafanya Interior Design ya Ujenzi na Majengo Mbalimbali

Tupitie kwenye Tovuti yetu hapo Chini

follow a link to this website: Eyeson - properties and real estate @ Dar es Salaam, Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…