Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

Feb 6, 2009
29
0
Jamani naomba niulize kwa wana JF ambao ni wataalamu wa ujenzi.

Naomba wanipatie bajeti ya kujenga nyumba ya kawaida yenye vyumba 5, sebule, kitchen, dinning na sitting room ina cost kwa makisio shilingi ngapi?

Naomba nielimishwe,

Asanteni.

======
SIMILAR CASES:
Ndugu wanaforum,

Naomba Ushauri wenu juu ya ujenzi wa nyumba Dar.

Kutokana na uwezo mdogo, nimeshauliwa nitumie system inyoitwa interlocking blocks, amabyo inatumia tofari zinazotokana na mchanganyiko waudongo wa kisuguu na cement.

Swali:
Je, hii teknolojia ipo Dar?
Je inasaidia kupunguza gharama za ujenzi na kwa % ngapi ukilinganisha na nyumba ya tofali za Cement za kawaida?
Je, nyumba hiyo inaweza kudumu mda mrefu kama ya cement?

Nipeni ushauri ndugu zangu.
 

DesertStorm

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
2,048
2,000
c1ae91ef2df71f4a81ed0fe443a92c50.jpg


Mkuu Sirajj! Nyumba kama hiyo yenye vyumba viwili na master bedroom + toilets kwa kila room na public toilet, Wiring, System ya maji n.k. kwa ngapi?
 

Eyeson Property

Senior Member
Jan 23, 2018
185
225
Kwa Ujenzi wa Nyumba

Ujenzi wa Godown

Ujenzi wa Maghorofa

Kwa Kutumia
1.Tofali za Aina Mbalimbali Kuanzia Chipping na Kawaida

Kwa Ujenzi wa Nyumba Kuanzia Tzs Million 25

Unakaribishwa Kwa Ujenzi Safi

Kwa Mafundi Waliobobea na Wataalamu wa Hali ya Juu Karibu Kwenye Kampuni Yetu Kwa Ujenzi Bora.

Tuna Project Nyingi za Ujenzi Katika Mikoa ya DODOMA,DSM na KIGOMA

Pia Tutatengeza Ramani na Kuandaa BOQ ama Makadirio ya Ujenzi wako Kwa Gharama Nafuu Kabisa

Tupigie kwa

0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)
Emails:eek:marirajabu89@gmail.com

EYESONEPROPERTY TANZANIA LTD

DAR ES SALAAM TANZANIA

Tunajenga Mkoa Wowote

Tupitie kwenye Tovuti yetu hapo Chini

follow a link to this website: Eyeson - properties and real estate
 

sirajj johnn

JF-Expert Member
Apr 5, 2017
2,215
2,000
Karibuni sana wakuu katika kampuni ya eyeson yenye mafundi wenye weledi na walio bobea katika maswala ya ujenzi bora wa Nyumba

Ahsante sana na Karibuni sana wakuu
 

sirajj johnn

JF-Expert Member
Apr 5, 2017
2,215
2,000
Karibuni sana wakuu katika kampuni ya kizalendo ya eyeson yenye mafundi wenye weledi na walio bobea katika maswala ya ujenzi wakati ndo huu Fanya maamuzi sasa usipoteze muda

Ahsanteni sana na Karibuni sana wakuu
 

sirajj johnn

JF-Expert Member
Apr 5, 2017
2,215
2,000

Pia eyeson tunatoa Huduma za uchoraji Ramani na endapo utahitaji tukujengee tutakuchorea Ramani bure kabisa bila ya malipo yoyote karibuni sana wakuu katika kampuni hii ya eyeson yenye mafundi wenye weledi na walio bobea katika maswala ya ujenzi.
 

DesertStorm

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
2,048
2,000
Asante sana Mkuu Sirajj...watanzania washindwe tu kujenga aise,, kwa nyumba kama hiyo niliokuonyesha ya viumba vi 3 bei cheaper kabisa. Ukilinganisha na za nssf vinyumba vidogo unauziwa bei chee/kubwa. Shukran kiongozi, acha tujipange sasa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom