Antony Mavunde: Rais Samia anastahili kuitwa Mama wa Taifa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,050
49,733
Eeh ndio hivyo ,wanasema atasifiwa akiwa hai sio kuleta unafiki akiwa kaburini na hawezi kusikia.

Kazi iendelee

===
Alivyoulizwa na Mtangazaji wa Wasafi kuhusu Rais Samia kustahili kuitwa mama wa Taifa, Mbunge wa Dodoma Mjini na Waziri wa Madini, Antony Mavunde amesema anastahili na kumuunga mkono alichosema Diamond, kwa sababu Rais Samia Hassan ameandika historia Tanzania kwani amekuwa Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke na sasa yeye ndio Rais wa kwanza mwanamke.

View: https://www.instagram.com/p/C4gcrIet7YG/?igsh=dzhoaHcyY20xN3Rw
 
ATA MIMI KAMA NI KIONGOZI LAZIMA NINGEMUITA MAMA WA TAIFA KAMA NINA WEKA NJAMA ZA KUKWAPUA FEDHA ZA UMMA CIG ANAKUJA KUNIKAGUA NA KUNIANIKA HADHARANI LAKINI MAMA ANANISAMEHEE KIRAHISI TU KWANINI NISIMWITE MAMA WA TAIFA.

Anasifiwa Kwa facts sio porojo 👇

View: https://www.instagram.com/reel/C4e1Qd8qCAy/?igsh=MWNpMWQ5cmloYWgzNA==
 
Hii ndio mbinu ya kupata uteuzi na kulinda vyeo ilioasisiwa na Jiwe.
Jiwe atakumbukwa daima na mtu kama kangi Lugora mzee wa mauno aliyewahi kumfananisha JPM na Yesu kwa lengo la kulinda kibarua chake Ila aliishia kupoteza uwaziri 😂.

Sasa wewe Unaongelea mbinu zipi zilizoasisiwa na jiwe na bado zinatumika leo ilhali bi Kizimkazi anapigana vijembe na wateule wake badala ya kuchukua hatua dhidi ya walioshindwa kazi?

Jiwe hakuwa mtu wa kulewa vijisifa vya kipumbavu.
 
Hii si habari, Kijana unakula lijimshahara,miposho,mirushwa, midemu una mijumba,migari,ulaya kilaleo nk. alafu UACHE kumsifia anayekuwezesha? wewe umeona wapi?

Habari yakushtua nipale unakakuta kamjamaa hakajala,hakana baiskeli,kakiumwa kanajimezea tuu Panadol, familia kameifelisha,watoto nguo viraka,mkewe anapigiwa kisa Hela alafu kanapayuka "Sa100 mama wataifaaaa" anaupigia mwingiiii!

Unatamani ukapige kelebu basi tuu katajifia ujikute gerezani
 
Hii si habari, Kijana unakula lijimshahara,miposho,mirushwa, midemu una mijumba,migari,ulaya kilaleo nk. alafu UACHE kumsifia anayekuwezesha? wewe umeona wapi???
Habari yakushtua nipale unakakuta kamjamaa hakajala,hakana baiskeli,kakiumwa kanajimezea tuu Panadol,familia kameifelisha,watoto nguo viraka,mkewe anapigiwa kisa Hela alafu kanapayuka "Sa100 mama wataifaaaa" anaupigia mwingiiii!!!
Unatamani ukapige kelebu basi tuu katajifia ujikute gerezani
kama Lucas mwashambwa
 
Eeh ndio hivyo ,wanasema atasifiwa akiwa hai sio kuleta unafiki akiwa kaburini na hawezi kusikia.

Kazi iendelee

View attachment 2934275

===
Alivyoulizwa na Mtangazaji wa Wasafi kuhusu Rais Samia kustahili kuitwa mama wa Taifa, Mbunge wa Dodoma Mjini na Waziri wa Madini, Antony Mavunde amesema anastahili na kumuunga mkono alichosema Diamond, kwa sababu Rais Samia Hassan ameandika historia Tanzania kwani amekuwa Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke na sasa yeye ndio Rais wa kwanza mwanamke.
🚮
 
Yaani kama kuna ulazima wa kuwa na Mama wa Taifa (Ingawa Hakuna); Basi anagalau mama Maria Nyerere tungeweza kusema arguably unaweza ukatoa Hoja na ukaeleweka...,

Hawa wengine tunawaita Watanzania wenzetu ingawa ni Watumishi wetu wanaojifanya watawala
 
Kwa nini mama Nyerere na sio Mama Samia? Mimi naona if we were to select one of the two Mama Samia ndio mwenyewe wa Taifa
 
Kwa nini mama Nyerere na sio Mama Samia? Mimi naona if we were to select one of the two Mama Samia ndio mwenyewe wa Taifa
Alikuwa FIRST - First Lady;
Alikuwa First Lady wa Kwanza katika hili Taifa la Tanzania;
Kwa Umri ni Mkubwa kuliko huyu Samia
Kwa Busara na kukaa kwake kimya katika Mama; Wanawake wote waliopitia Ikulu ni down to earth (kama tulivyo Watanzania)
Na hapo ni points nimeshusha kwa haraka haraka ingawa kwa Samia hata ukinipa Mwezi mzima sidhani kama takuja na point hata moja (Yaani ningekuwa wakili wake ningemwambia tu Sister / Dada / Ndugu, Nadhani hapa hatuna hoja, nadhani tukuite tu Samia itatosha....)
 
Back
Top Bottom