Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,693
- 26,587
Tufunge tu hiyo biashara ya bandari tufungue beach...
huu ushabiki wako wa kidini na kikanda ni mbaya sana kwa afya yakoKWANINI HUSEMI INGEKUWA ISHAJENGWA TANGU KIPINDI CHA NYERERE?
Umezaliwa lini?KWANINI HUSEMI INGEKUWA ISHAJENGWA TANGU KIPINDI CHA NYERERE?
Tumeamua kutumia reli kutunza Mazingira!
Hii ni changamoto kwa serikali ila kuna kitu ameacha kukisema.. Watu wanakwepa kulipa gharama halali za kuingiza mzigo watu walizoea rushwa sasa hizi bandari za wenzetu bado staili ni ile ile ya rushwa mbele.
Swala si la kuzaliwa lini. Wako waliozaliwa majuzi na wanajua haya mambo. Huyo dogo ana upungufu wa akili ubongoni.Umezaliwa lini?
Na ipungue tu. Sisi hatutishiki, nchi yetu ni huru na tuna uwezo wa kujitegemea wenyewe bilea ya kutegemea mapato ya bandari...nchi yetu ni tajiri sana.WAKATI Mamlaka ya Bandari (TPA) ikithibitisha ufanisi katika upakuaji na uondoshaji mizigo na usalama wa mali katika Bandari ya Dar es Salaam, imebainika idadi ya mizigo katika bandari hiyo, imepungua tofauti na matarajio.
Akizungumza wakati akifunga warsha ya Wahariri wa Habari mwishoni mwa wiki, Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Hebel Mhanga, alitoa mfano wa shehena ya magari yanayokwenda Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC).
Kwa mujibu wa Mhanga, shehena ya magari yanayokwenda katika nchi hiyo kutoka Januari 2015 mpaka Januari 2016, imepungua kwa asilimia 50 huku shehena ya Zambia ikipungua kwa asilimia 46. Beira Mhanga alisema walipochunguza sababu ya kupungua kwa shehena hizo, walibaini sehemu ya shehena hiyo hasa iliyokuwa ikienda Zambia, DRC na Malawi, inashushwa katika Bandari ya Beira nchini Msumbiji.
Sababu za kushushwa katika Bandari ya Msumbiji, badala ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ndiyo yenye unafuu wa umbali kutokana na jiografia yake, Mhanga alisema ni unafuu wa kusafirisha shehena hiyo kwa reli ya Beira mpaka Malawi, tofauti na ilivyo kwa barabara.
Alisema usafirishaji wa reli ni nafuu kwa asilimia 30, ikilinganishwa na usafirishaji wa barabara na kwa kuwa Msumbiji wameshakamilisha ujenzi wa reli ya kisasa, wafanyabiashara wameona unafuu wa kupitisha mizigo katika Bandari ya Beira kuliko ya Dar es Salaam.
Athari hiyo katika Bandari ya Dar es Salaam, huenda ikawa mbaya zaidi baada ya kukamilika kwa reli ya kisasa inayoanzia katika Bandari ya Mombasa mpaka DRC, kwa kuwa itaongeza unafuu wa usafirishaji wa mizigo katika bandari hiyo shindani kwa Tanzania.
Katika warsha hiyo, ilifafanuliwa kuwa dunia nzima bandari zimekuwa na mafanikio, kutokana na kuwa na mfumo wa reli za kisasa unaotoa mizigo bandarini na kufikisha kwa mteja, jambo linalokosekana katika Bandari ya Dar es Salaam.
Durban Shehena nyingine iliyokuwa ikipitia nchini, imebainika kupelekwa katika Bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kutokana na unafuu uliotokana na matumizi ya fedha ya nchi hiyo, Rand, katika utozaji wa gharama za kutoa mizigo, tofauti na Tanzania ambako gharama hutozwa kwa Dola ya Marekani.
Akifafanua hali hiyo, Mhanga alisema kwa sasa Rand imeshuka thamani na hivyo mfanyabiashara mwenye Dola ya Marekani, atatumia Dola chache za Marekani kulipia tozo hizo kwa Rand ya Afrika Kusini iliyoporomoka thamani.
Kutokana na hali hiyo, ingawa gharama za utoaji mizigo kati ya Bandari ya Dar es Salaam na Bandari ya Durban zinalingana, lakini mfanyabiashara akipitisha mzigo Afrika Kusini, atatakiwa kubadilisha Dola ili apate Rand ya kulipa gharama hizo; na kwa kuwa Rand imeporomoka thamani, atatumia Dola chache kuliko ilivyo kwa Tanzania.
Utambuzi wa mizigo Changamoto nyingine aliyotaja Mhanga ni ya mfumo wa kutambua shehena zilizoko katika meli, unaotumiwa kukadiria gharama za utoaji wa mizigo bandarini pamoja na kodi. Akifafanua, Mhanga alisema mzigo unapopakiwa katika nchi unakotoka, mpakiaji anapaswa kueleza aina ya mzigo katika fomu maalumu ya kutambulisha mzigo.
Fomu hiyo inayojazwa na mpakiaji, ikifika Dar es Salaam kabla ya kupakua mzigo, hutumiwa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kukadiria kodi. Hata hivyo Mhanga alisema fomu hiyo inapokosewa na mpakiaji, TRA wakati wa kuhakiki mzigo huhisi harufu ya ukwepaji kodi na hivyo utaratibu wa utoaji wa mzigo husika, huchukua muda kuliko kama fomu hiyo isingekosewa.
Mhanga alisema wakati utaratibu wa kurekebisha makosa hayo ya fomu ukichukua muda mrefu kabla ya kuruhusiwa na TRA, mzigo huo huchajiwa adhabu ya kukaa bandarini kwa muda mrefu na kama ni wa nje ya nchi, mteja hulazimika kukaa Dar es Salaam kwa kosa lililofanywa na mpakiaji wa mizigo.
Meneja huyo wa Bandari ya Dar es Salaam, alisema mteja huyo anaporuhusiwa na TRA kuchukua mzigo, wakati ameshaingia gharama ya kuishi Dar es Salaam kwa muda mrefu, akifika bandarini na kukutana na adhabu ya kuhifadhi mzigo ambayo hakuisababisha, wengi hukasirika na hajui wanapeleka ujumbe gani kwa wateja wengine katika nchi zao.
Ufanisi Pamoja na changamoto hizo, Mhanga alisema kama wadau wengine wakikamilisha taratibu za ukaguzi wa mzigo mapema, mzigo huchukua muda mfupi kupakuliwa katika meli na kuondolewa mapema bandarini, ili umfikie mteja katika muda mfupi zaidi.
Alitoa mfano wa mwaka 2011, ambapo mteja alitumia siku 4.7 kusubiri mzigo wake utoke bandarini, lakini leo mteja huyo huyo atasubiri siku 0.2 mpaka apate mzigo wake na hilo limesababishwa na uboreshaji wa utaratibu wa kupata vibali vya nyaraka, ambao kwa sasa unafanyika kwa mtandao.
Mhanga alisema bandari hiyo kwa sasa inakamilisha ujenzi wa jengo la ghorofa 35, ambalo litakuwa refu kuliko yote Afrika Mashariki na Kati, litakalohifadhi wadau wote wa bandari katika jengo moja, ili mteja akiingia katika jengo hilo, akitoka akatoe mzigo wake moja kwa moja.
Kwa sasa mteja anaweza kujikuta akihangaika na nyaraka zake kwa wadau mbalimbali wa Bandari ya Dar es Salaam kupata vibali, ikiwemo Mamlaka ya Usafirishaji wa Majini na Nchikavu (Sumatra), Shirika la Viwango (TBS), Mamlaka ya Dawa na Chakula (TFDA), Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Idara ya Uhamiaji, Idara ya Afya, Mkemi Mkuu na wengineo
Very sad[emoji25] [emoji174] !!
Ni ngumu kOk, vipi kuhusu mapato nayo yamepungua au yamepanda?
TRC, ni wajerumani kwa sehemu kubwa , reli nyingine nyerere naye alihusikaKwa akili yako hizi reli ambazo wameziua hawa watawala wa sasa zimejengwa enzi za nani?
Kwa kifupi wajenge reli, wapunguze urasimu, wapunguze vibali vya hovyo hovyo visivyokuwa na msingi. Pia nadhani ingefaa wafanyakazi wote wa taasisi za serikali waliopo kwenye hii sekta naongelea TRA,TPA,TFDA,TBS,TRL,Kilimo etc wapewe ajira za mikataba badala ya permanent itasaidia kuongeza ufanisi kwasababu kwenye hii sekta ukichelewesha document ya mtu siku moja tu tayari umeshamwingizia gharama na hawa watendaji walivyowazembe wanaishia kufukuza wateja wa nje kwa kuwalimbikizia gharama zisizokuwa na msingi wowote.WAKATI Mamlaka ya Bandari (TPA) ikithibitisha ufanisi katika upakuaji na uondoshaji mizigo na usalama wa mali katika Bandari ya Dar es Salaam, imebainika idadi ya mizigo katika bandari hiyo, imepungua tofauti na matarajio.
Akizungumza wakati akifunga warsha ya Wahariri wa Habari mwishoni mwa wiki, Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Hebel Mhanga, alitoa mfano wa shehena ya magari yanayokwenda Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC).
Kwa mujibu wa Mhanga, shehena ya magari yanayokwenda katika nchi hiyo kutoka Januari 2015 mpaka Januari 2016, imepungua kwa asilimia 50 huku shehena ya Zambia ikipungua kwa asilimia 46. Beira Mhanga alisema walipochunguza sababu ya kupungua kwa shehena hizo, walibaini sehemu ya shehena hiyo hasa iliyokuwa ikienda Zambia, DRC na Malawi, inashushwa katika Bandari ya Beira nchini Msumbiji.
Sababu za kushushwa katika Bandari ya Msumbiji, badala ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ndiyo yenye unafuu wa umbali kutokana na jiografia yake, Mhanga alisema ni unafuu wa kusafirisha shehena hiyo kwa reli ya Beira mpaka Malawi, tofauti na ilivyo kwa barabara.
Alisema usafirishaji wa reli ni nafuu kwa asilimia 30, ikilinganishwa na usafirishaji wa barabara na kwa kuwa Msumbiji wameshakamilisha ujenzi wa reli ya kisasa, wafanyabiashara wameona unafuu wa kupitisha mizigo katika Bandari ya Beira kuliko ya Dar es Salaam.
Athari hiyo katika Bandari ya Dar es Salaam, huenda ikawa mbaya zaidi baada ya kukamilika kwa reli ya kisasa inayoanzia katika Bandari ya Mombasa mpaka DRC, kwa kuwa itaongeza unafuu wa usafirishaji wa mizigo katika bandari hiyo shindani kwa Tanzania.
Katika warsha hiyo, ilifafanuliwa kuwa dunia nzima bandari zimekuwa na mafanikio, kutokana na kuwa na mfumo wa reli za kisasa unaotoa mizigo bandarini na kufikisha kwa mteja, jambo linalokosekana katika Bandari ya Dar es Salaam.
Durban Shehena nyingine iliyokuwa ikipitia nchini, imebainika kupelekwa katika Bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kutokana na unafuu uliotokana na matumizi ya fedha ya nchi hiyo, Rand, katika utozaji wa gharama za kutoa mizigo, tofauti na Tanzania ambako gharama hutozwa kwa Dola ya Marekani.
Akifafanua hali hiyo, Mhanga alisema kwa sasa Rand imeshuka thamani na hivyo mfanyabiashara mwenye Dola ya Marekani, atatumia Dola chache za Marekani kulipia tozo hizo kwa Rand ya Afrika Kusini iliyoporomoka thamani.
Kutokana na hali hiyo, ingawa gharama za utoaji mizigo kati ya Bandari ya Dar es Salaam na Bandari ya Durban zinalingana, lakini mfanyabiashara akipitisha mzigo Afrika Kusini, atatakiwa kubadilisha Dola ili apate Rand ya kulipa gharama hizo; na kwa kuwa Rand imeporomoka thamani, atatumia Dola chache kuliko ilivyo kwa Tanzania.
Utambuzi wa mizigo Changamoto nyingine aliyotaja Mhanga ni ya mfumo wa kutambua shehena zilizoko katika meli, unaotumiwa kukadiria gharama za utoaji wa mizigo bandarini pamoja na kodi. Akifafanua, Mhanga alisema mzigo unapopakiwa katika nchi unakotoka, mpakiaji anapaswa kueleza aina ya mzigo katika fomu maalumu ya kutambulisha mzigo.
Fomu hiyo inayojazwa na mpakiaji, ikifika Dar es Salaam kabla ya kupakua mzigo, hutumiwa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kukadiria kodi. Hata hivyo Mhanga alisema fomu hiyo inapokosewa na mpakiaji, TRA wakati wa kuhakiki mzigo huhisi harufu ya ukwepaji kodi na hivyo utaratibu wa utoaji wa mzigo husika, huchukua muda kuliko kama fomu hiyo isingekosewa.
Mhanga alisema wakati utaratibu wa kurekebisha makosa hayo ya fomu ukichukua muda mrefu kabla ya kuruhusiwa na TRA, mzigo huo huchajiwa adhabu ya kukaa bandarini kwa muda mrefu na kama ni wa nje ya nchi, mteja hulazimika kukaa Dar es Salaam kwa kosa lililofanywa na mpakiaji wa mizigo.
Meneja huyo wa Bandari ya Dar es Salaam, alisema mteja huyo anaporuhusiwa na TRA kuchukua mzigo, wakati ameshaingia gharama ya kuishi Dar es Salaam kwa muda mrefu, akifika bandarini na kukutana na adhabu ya kuhifadhi mzigo ambayo hakuisababisha, wengi hukasirika na hajui wanapeleka ujumbe gani kwa wateja wengine katika nchi zao.
Ufanisi Pamoja na changamoto hizo, Mhanga alisema kama wadau wengine wakikamilisha taratibu za ukaguzi wa mzigo mapema, mzigo huchukua muda mfupi kupakuliwa katika meli na kuondolewa mapema bandarini, ili umfikie mteja katika muda mfupi zaidi.
Alitoa mfano wa mwaka 2011, ambapo mteja alitumia siku 4.7 kusubiri mzigo wake utoke bandarini, lakini leo mteja huyo huyo atasubiri siku 0.2 mpaka apate mzigo wake na hilo limesababishwa na uboreshaji wa utaratibu wa kupata vibali vya nyaraka, ambao kwa sasa unafanyika kwa mtandao.
Mhanga alisema bandari hiyo kwa sasa inakamilisha ujenzi wa jengo la ghorofa 35, ambalo litakuwa refu kuliko yote Afrika Mashariki na Kati, litakalohifadhi wadau wote wa bandari katika jengo moja, ili mteja akiingia katika jengo hilo, akitoka akatoe mzigo wake moja kwa moja.
Kwa sasa mteja anaweza kujikuta akihangaika na nyaraka zake kwa wadau mbalimbali wa Bandari ya Dar es Salaam kupata vibali, ikiwemo Mamlaka ya Usafirishaji wa Majini na Nchikavu (Sumatra), Shirika la Viwango (TBS), Mamlaka ya Dawa na Chakula (TFDA), Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Idara ya Uhamiaji, Idara ya Afya, Mkemi Mkuu na wengineo
na malori ya wanasiasa yatafanya kazi gani ?Nadhani ndio hiyo alio alezea kwamba mteja anajaza form za bidhaa kimakosa ili akwepe kodi, inamaana mtejea anajua hapo atatoa rushwa ili aachiliwe,
Kwa kweli nchi ilioza sana. Tungekua na reli ya kisasa mda mrefu kama viongozi wanhekua wanajali nchi
Kwa kifupi wajenge reli, wapunguze urasimu, wapunguze vibali vya hovyo hovyo visivyokuwa na msingi. Pia nadhani ingefaa wafanyakazi wote wa taasisi za serikali waliopo kwenye hii sekta naongelea TRA,TPA,TFDA,TBS,TRL,Kilimo etc wapewe ajira za mikataba badala ya permanent itasaidia kuongeza ufanisi kwasababu kwenye hii sekta ukichelewesha document ya mtu siku moja tu tayari umeshamwingizia gharama na hawa watendaji walivyowazembe wanaishia kufukuza wateja wa nje kwa kuwalimbikizia gharama zisizokuwa na msingi wowote.
Ni kweli kabisa sisi huku reli kama barabara ikinyesha mvua tu reli haipitiki ... Na sio ajabu wakasimamisha usafiri kwa miezi 6 sababu ya mvua... Sasa biashara gani kama hiyo.Sie huku reli inaoza, vichwa vya tren vipo karakana, mkurugenzi kasinzia tu shirika linakufa taratibu
Dawa ni kuiwezesha TRC, reli tunayo, inafika hadi Kigoma. Kigoma na DRC, Rwanda na Burundi wala sio mbali. Kwa upande wa Zambia na Malawi kuna Tazara, mizigo itafika hadi Zambia, ya Malawi utashukia Mbeya.Habari mbaya za kiuchumi zinaendelea kuiface TZ
(1) Serikali haina budi kutumia diplomatic muscle kulinda nchi wateja wetu wa zamani kama DRC
(2) Kuna reli inajengwa kutoka Bandari ya Mombasa mpaka DRC, Serikali haina budi kuhakikisha hili gepu linazibwa haraka, otherwise bandari ya Mombasa inaweza kuja kuchukua biashara ya bandari ya DSM
na malori ya wanasiasa yatafanya kazi gani ?