Mianya ya ukwepaji kodi imebanwa.Au pia mianya ya kukwepa kodi imebanwa....? Waseme tu
Kwanini isiwe ni makosa ya kuanzia raisi nyerere hadi raisi kikwete? Iwe ni kosa la kikwete peke yake?Haya ni makosa ya rais aliyeondoka madarakani badala ya kujenga reli yeye alishikilia barabara kwa ajili ya malori, sasa hii ndio price tunayolipa
Hahaha kwahiyo tunaelekea kwa Mugabe?Acha bandari ife tu!! Tuna watumiaji wa Pombe na sigara takriban million 4.3!! Na wamepokea kwa furaha ongezeko la bei!! Kwanza hao wafanyabiashara hatuna haja nao!! Hatuwezi kuendelea kuwanyenyekea Ebo!!! Hawajui kuwa serikali ya magufuli imejitosheleza kwa kila kitu? Wafadhili tumeshawatimua!! Sasa Hivi ni zamu ya wafanyabiashara, bora bandari yetu tuigeuze Beach!!
ha ha ha, mkuu shukrani kwa kunijulia hali, kumbe na huku unapitaga??asigwa kamanda, nilikua napita kimya lakini nimeona nikuamkue...shikamoo
Sasa bomba mmeliomba mpewe na kung'ang'ania hadi kwa majonzi na kutia huruma, sasa kwa mambo kama haya mtalitunza kweli??
hatareeeeeLoh! hii sasa ni mwisho wa somo mpaka miti imeota katikati ya reli, a very Good nite to us.
Soma vizuri, mfano wa Hiace.mpita njia utelekeze hiace Tunduma yenye thamani zaidi ya milioni ishirini Tanzania ni mzigo gani huo uweke katika hiace ukulipe kwa nadharia yako iyo mkuu..walikwepa kulipa kodi ila sio kwa mtindo wako wa kusikia vijiweni huo..
Sawa nasikia vijiweni.mpita njia utelekeze hiace Tunduma yenye thamani zaidi ya milioni ishirini Tanzania ni mzigo gani huo uweke katika hiace ukulipe kwa nadharia yako iyo mkuu..walikwepa kulipa kodi ila sio kwa mtindo wako wa kusikia vijiweni huo..
Kama mizigo imepungua kwa sababu ya kusimamia sheria na haki badala ya ujanjaujanja wa kukwepa kodi, basi ni bora ipungue tu, Ni bora tupate mizigo michache yenye kulipa ushuru na kodi zote, kuliko mizigo mingi yenye ujanjaujanja mwingi
Ilikuwa hivi.mpita njia mzigo wa transit unapoutoa unakua chini ya dhamana ya agent ambaye yeye ndie atakaeulizwa wewe usipotoa ilo gari Boda na pis kwa uwizi wa kipindi kile nakukatalia kuwa hauwezi weka ivyo maana watu walikua wanasoma bill of landing na mzigo uliopo mizigo ambayo haijaandikwa imeibiwa sana na jamaa wa bandari..watu walikua wanaiba hadi side mirror waache Tv kweli mkuu..