Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Kama umesoma vizuri na kwa kina utagundua mabadiliko hayo hayajasababishwa na bandari ya Beira bali kukamilika kwa reli ya kisasa ambayo imeleta unafuu katika usafirishaji wa shehena.Mimi sababu ya msingi ni za kiujanjaujanja tu mfano bandari ya BEIRA malawi kuna haikuwepo mwanzon kwa nin sasa waone ndio yenye unafuu , nimegundua bandari ya daa ilikuwa inaficha sana wakwepa kodi wengi sana na kwa sasa hiyo mianya imebanwa
Hebu kasome tena.