mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,736
- 1,620
Ile mentality ya kutumbua yote ijumaa, kutegemea utapata tena J3 inabidi iwatoke.Mkuu mambo yatakuwa magumu sana ila kila kitu kina faida na hasara,tutapata uzoefu wa kuchapa kazi na kuweka akiba.