Mizigo yapungua bandari ya DSM

Mizigo yapungua bandari ya DSM

12512792_1392231797470770_5533159620618514600_n.jpg
Hii ni Tanzania kweli?[emoji15]
 
Sie huku reli inaoza, vichwa vya tren vipo karakana, mkurugenzi kasinzia tu shirika linakufa taratibu
Mkuu wafanyabiashara wakubwa wa Tanzania hawataki kusikia Reli inafufuka kwani wanajua kuwa ikifufuka tu watalala njaa , ( kufa kufaana ) Reli kutofanya kazi imewanufaisha Wamiliki wa Magari makubwa ya mizigo na mafuta .
 
Hakuna cha reli wala nini walikuwa wanakwepa kodi kwani mwanzo hiyo reli ilikuwepo? Waende wakakwepe msumbiji pumbavu zao.
 
Shein Safari hii atabeba Laana nyingi maana njaa ya Tanganyika ni lawama kwake , inabidi Hazina wapunguze pesa zinazopelekwa Zanzibar kuwatunza na kuwalea wote , pesa ya kubembeleza muungano nayo ipunguzwe kufidia Machungu huku Tanganyika .
RIP Shein. Tutakukumbuka daima.

NB. RIP = Remain In Power.

Ndo wenye madaraka wameamua hivyo hatuna jinsi tena. Walishawahi kutuambia tutakula nyasi lakini rais shurti apate ndege. Tena walituambia tubebe misalaba yetu wenyewe.

Wengine wakasema tutaisoma namba.
 
Sasa dawa ni kujenga reli maana hakuna namna nyingine la sivyo mapato yatapungua
kujenga reli itachukua miaka 30 kama tukitumia fedha zetu wenyewe, kutumia wahisani hatuwezi kwa kuwa wameshaikataa Tanzania ....kwa hiyo bandari yetu ina hali mbaya sana huko mbeleni
 
Hizo ni changamoto serikali ikijipanga inaweza kuzitatua, tumelala sana kwa sababu sisi ni wazuri kwenye plan na strategy ikifika kwenye utekelezaji ni zero, mfano reli toka dar- Bujumbura-DRC ilikua ijengwe tangu enzi za kikwete lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea. Kenya kwa kuona hiyo fursa ambayo wameicopy toka hapa TZ tayari wanajenga reli. Labda tusubiri hii awamu huenda ikafanya kitu ingawa tutakua tumechelewa.
Wamiliki wa Magari makubwa ya mizigo na mafuta ambao ni wafadhili wa ccm hawataki kusikia Reli ya mizigo inaanza kazi kabsa.
 
Waafrika kujiendesha ni kazi sana, tunahitaji kuja kuwekewa mfumo wa kuendesha kuanzia serikali kuu mpk tawi. Hapa kumewekwa visingizio vingi ikiwemo cha watoza huduma kuwa sehemu tofauti. Hii sio hoja hata mkiwa pamoja Ni vigumu kuweza kuisaidia Tanzania. Waafrika mumeshindwa kiufanisi Na kiutendaji. Uzembe huu mlikua munaujua miaka yote 50 lkn hamkuweza kurekebisha Leo mnakuja kulalamika.
 
Kwa hiyo tujipange sasa ili tusiendelee kupoteza mapato
tujipangeje ndugu? kujenga reli itachukua miaka 30 kama tukitumia mapato yetu yote , kutumia wahisani hatuwezi kwa kuwa wameshaikataa Tanzania ....kwa hiyo bandari yetu ina hali mbaya sana huko mbeleni
 
kujenga reli itachukua miaka 30 kama tukitumia fedha zetu wenyewe, kutumia wahisani hatuwezi kwa kuwa wameshaikataa Tanzania ....kwa hiyo bandari yetu ina hali mbaya sana huko mbeleni[/QUOTE. Meli nyingi hazitaki kuja Dsm Wamiliki wa Meli wanapata hasara kutokana na foleni ya Meli kuingia Bandari ya Dsm kuchukua siku 40 mpaka miezi miwili , zipo changamoto nyingi kwenye Bandari ya Dsm tofauti na Bandari zingine Jirani.
 
durban ni free port umetoa sababu sio na hakuna kupiga mnada wa mgeni ni mfalme usitudanganye rand haijashuka leo ilikua rand 6 kwa dola moja mpaka leo rand 16 huduma zipo vizur unafika mzigo leo unatoka leo..hapo mnaendesha magari ya wakongo na wazambia kwa kosa la chasis namba akili izo wanakimbia kwa kupiga mnada mali zao mbadanganya watu hapa...sisi tunaosafiri wanatwambia ukweli mnavyowaibia huko..
 
Kama umesoma vizuri na kwa kina utagundua mabadiliko hayo hayajasababishwa na bandari ya Beira bali kukamilika kwa reli ya kisasa ambayo imeleta unafuu katika usafirishaji wa shehena.
abisha tena
Hebu kasome tena.
Habari ndiyo hiyo, kuna viumbe hii habari ilivyoletwa kwa mara ya kwanza hapa JF vilibisha saana, sasa meneja wa bandari kasema, sijui watabisha tena ?
 
Kama mizigo imepungua kwa sababu ya kusimamia sheria na haki badala ya ujanjaujanja wa kukwepa kodi, basi ni bora ipungue tu, Ni bora tupate mizigo michache yenye kulipa ushuru na kodi zote, kuliko mizigo mingi yenye ujanjaujanja mwingi
soma sababu kwa makini. wacha kukurupuka! tangu lini mizigo ya nje ikalipa ushuru???!!
 
durban ni free port umetoa sababu sio na hakuna kupiga mnada wa mgeni ni mfalme usitudanganye rand haijashuka leo ilikua rand 6 kwa dola moja mpaka leo rand 16 huduma zipo vizur unafika mzigo leo unatoka leo..hapo mnaendesha magari ya wakongo na wazambia kwa kosa la chasis namba akili izo wanakimbia kwa kupiga mnada mali zao mbadanganya watu hapa...sisi tunaosafiri wanatwambia ukweli mnavyowaibia huko..
I like this
 
tatizo kuna watu wanaandika wakiwa na hasira zao kuhusu yaliyotokea zanzibar....na wanatamani kila leo tuongelee hayo kama vile demu aliyeachwa anavyotamani mida yote muongelee habari za huyo mpenzi wake!
nakubaliana na aliyesema mambo ya ki fisadi ndiyo yaliyokuwa yakishamirisha mizigo mingi ya nchini ifike bandarini....deal zimekatwa basi watu hawana hela.
kuhusu mizigo ya zambia...drc...ukweli ni kwamba ukwepaji kodi haukuwa kwa watanzania tu...

nasikia waoaji bandarini mizigo toka nchi zote...tanzania..zambia...malawi...drc walikuwa wanapenda kukwepa kodi kwa kudanganya wapi mzigo unaenda...

eg...mtanzania anasema hili gari linaenda zambia
..hihihhhi
 
Hakuna cha reli wala nini walikuwa wanakwepa kodi kwani mwanzo hiyo reli ilikuwepo? Waende wakakwepe msumbiji pumbavu zao.
acha umbumbumbu. tangu lini mizigo ya transit (nje) ikalipiwa kodi?!
 
Wamiliki wa Magari makubwa ya mizigo na mafuta ambao ni wafadhili wa ccm hawataki kusikia Reli ya mizigo inaanza kazi kabsa.
Awamu hii ikishindwa kupambana na hao wahafidhina itaabidi tusubiri hadi chama kingine kishike madaraka.
 
Tanga kuna reli imekufa, yaani wangefanyia ukarabati reli ya tanga ingeshindana na mombasa since sipo karibu , lakini serikali inawekeza dar es salaam tu...
 
Waafrika kujiendesha ni kazi sana, tunahitaji kuja kuwekewa mfumo wa kuendesha kuanzia serikali kuu mpk tawi. Hapa kumewekwa visingizio vingi ikiwemo cha watoza huduma kuwa sehemu tofauti. Hii sio hoja hata mkiwa pamoja Ni vigumu kuweza kuisaidia Tanzania. Waafrika mumeshindwa kiufanisi Na kiutendaji. Uzembe huu mlikua munaujua miaka yote 50 lkn hamkuweza kurekebisha Leo mnakuja kulalamika.
Mkuu Bandari ya DSM ina mapungufu mengi kuliko Bandari zote huku Afrika na kero kubwa zaidi ni Foleni ya Meli kuingia bandarini huchukua mpaka siku 40 au zaidi , pili usumbufu na kutokuwa na mpangilio wa Ofisi za kuwashughurikia wateja, tatu uzembe wa makusudi ili mizigo iingie kwenye storage wapate pesa Kwa njia haramu , nne kuacha kutumia Reli makusudi ili kuwanufaisha Wamiliki wa Magari makubwa ya mizigo na mafuta . Hayo ni baadhi ya magumashi na kero lakini Kwa ujumla kuna kero nyingi sana.
 
gari ikitoka tu bandarini....wanaichepusha..
wazambia nao ikawa wanasema inaenda drc...ikifika zambia mpakani inaingia kama transit then wanaichepusha humo zambia.
basi ndio baadaye mamlaka za mapato zikaamua kwamba waagizaji watalipiA kodi zao tanzania...wakitoka bandari ya dar wawe washalipa hapo hapo kodi za nchini kwao...
ujanja ukawa umewaisha ....
inahitaji watu kuzoea kwanza kwamba ujanjaujsnja hamna tena....then tutaona mizigo omeongezeka tena
 
Back
Top Bottom