OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,289
- 104,128
Mkuu,
Nafiri mizigo ni mingi. Pinda, Mkuchika, Werema, Ole Medeye ..........
mkuu acha kuzunguka.hapa issue ni the mfumo CCM.Msigwa kaweka vizuri hili,ipigwe chini
Mkuu,
Nafiri mizigo ni mingi. Pinda, Mkuchika, Werema, Ole Medeye ..........
Kwa anaemjua Kinana, huyu ndie aliemnadi Mkapa from uknown wazi wa sayansi kuwa Rais na pia ndie aliesimamia kampeni za Rais wetu wa sasa
Leo ndio nimeamini kwa nini Chadema wanamuogopa sana Kinanan kwani ni mtu wa kazi sio maneno na leo YAMETIMIA
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
JITAMBUE1
Na hawa wa leo hata hawakuwa kwenye listi ya mizigo. Mizigo yote hata haijaguswa. Bila shaka nao watafuata nyayo za kutimuliwa. Kama sio sasa basi kipindi cha uteuzi wa mawaziri hao wane wapya.
usiendeshwe kwa matukio kagasheki sio mzigo na wewe humjui. na hujui nyuma ya pazia kuna nini.hategemei uwaziri waka ubunge kuendesha maisha.yake.ujangirii sio vita ya kitoto
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo, siku chjache zilizopita Katibu mkuu wa chama dume na katibu mwenezi walifanya ziara mikoani na kuangalia kero zinazowakabili wananchi.
Katiaka ziara hiyo, mheshimiwa Kinanana aligundua mapunguf katika utendaji wa baadhi ya mawaziri na aliahidi kuwa lazima wang'oka
LEO HII SOTE TUMEONA WAMENG'OKA
Kwa anaemjua Kinana, huyu ndie aliemnadi Mkapa from uknown wazi wa sayansi kuwa Rais na pia ndie aliesimamia kampeni za Rais wetu wa sasa
Leo ndio nimeamini kwa nini Chadema wanamuogopa sana Kinanan kwani ni mtu wa kazi sio maneno na leo YAMETIMIA
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
JITAMBUE1
usiendeshwe kwa matukio kagasheki sio mzigo na wewe humjui. na hujui nyuma ya pazia kuna nini.hategemei uwaziri waka ubunge kuendesha maisha.yake.ujangirii sio vita ya kitoto
Leo naamini hata ofisi tu za Lumumba hazijafunguliwaMbona buku 7 fc siwaoni leo?
View attachment 127904View attachment 127905View attachment 127906View attachment 127907View attachment 127908View attachment 127909
Hayo hapo juu ndio yaliyohusisha ziara ya kinana.