'Mizigo' hii ilikuwa haikutajwa na Kinana na Nape

Kwa anaemjua Kinana, huyu ndie aliemnadi Mkapa from uknown wazi wa sayansi kuwa Rais na pia ndie aliesimamia kampeni za Rais wetu wa sasa

Leo ndio nimeamini kwa nini Chadema wanamuogopa sana Kinanan kwani ni mtu wa kazi sio maneno na leo YAMETIMIA

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
1.-Katibu-Mkuu-wa-CCM-Abdulrahman-Kinana-akihutubiamaelfuya-watu-katika-Uwanja-wa-shue-la-Msingi-Rujewa.jpg

JITAMBUE1

Nchimbi,Kagasheki,Vuai,Mathayo ndiyo mawaziri wa Kilimo,Elimu,Tamisemi na Maji

ulimsikiliza Kinana kwa masikio ya makengeza

Shame on you na CCM yako
 
Na hawa wa leo hata hawakuwa kwenye listi ya mizigo. Mizigo yote hata haijaguswa. Bila shaka nao watafuata nyayo za kutimuliwa. Kama sio sasa basi kipindi cha uteuzi wa mawaziri hao wane wapya.

Kuna mizigo mipya lakini imeng'ang'ania, ambayo ni Pinda, Werema, na Mkuchika.
 
Usimteteee ni mzigo tena wa mawe. Kwa kafanya nini la maana katika kupambana na majangiri.
usiendeshwe kwa matukio kagasheki sio mzigo na wewe humjui. na hujui nyuma ya pazia kuna nini.hategemei uwaziri waka ubunge kuendesha maisha.yake.ujangirii sio vita ya kitoto
 
Ungekuwa uzi unaohusu Zitto yani mpaka mda huu ungeshapotezwa na mleta uzi angeshachezea bani angalau ya wiki hivi,

Chezea u mods wa Zitto wewe?
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, siku chjache zilizopita Katibu mkuu wa chama dume na katibu mwenezi walifanya ziara mikoani na kuangalia kero zinazowakabili wananchi.

Katiaka ziara hiyo, mheshimiwa Kinanana aligundua mapunguf katika utendaji wa baadhi ya mawaziri na aliahidi kuwa lazima wang'oka

LEO HII SOTE TUMEONA WAMENG'OKA

Kwa anaemjua Kinana, huyu ndie aliemnadi Mkapa from uknown wazi wa sayansi kuwa Rais na pia ndie aliesimamia kampeni za Rais wetu wa sasa

Leo ndio nimeamini kwa nini Chadema wanamuogopa sana Kinanan kwani ni mtu wa kazi sio maneno na leo YAMETIMIA

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
1.-Katibu-Mkuu-wa-CCM-Abdulrahman-Kinana-akihutubiamaelfuya-watu-katika-Uwanja-wa-shue-la-Msingi-Rujewa.jpg

JITAMBUE1

Kapime Malaria,huenda itakuwa impanda kichwani,hivi Kagasheki,Nchimbi na Nahodha Na Mathayo ndo anashughulika na korosho,mahindi,Elimu na Maji?umesikia katajwa Malima hapo...ngoja niachane na uzi huu
 
usiendeshwe kwa matukio kagasheki sio mzigo na wewe humjui. na hujui nyuma ya pazia kuna nini.hategemei uwaziri waka ubunge kuendesha maisha.yake.ujangirii sio vita ya kitoto

Unashindana na Katibu Mkuu a.k.a Mzee wa Ndovu na Katibu mwenezi a.k.a Vuvuzela!
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, siku chjache zilizopita Katibu mkuu wa chama dume na katibu mwenezi walifanya ziara mikoani na kuangalia kero zinazowakabili wananchi.

Katiaka ziara hiyo, mheshimiwa Kinanana aligundua mapunguf katika utendaji wa baadhi ya mawaziri na aliahidi kuwa lazima wang'oka

LEO HII SOTE TUMEONA WAMENG'OKA

Kwa anaemjua Kinana, huyu ndie aliemnadi Mkapa from uknown wazi wa sayansi kuwa Rais na pia ndie aliesimamia kampeni za Rais wetu wa sasa

Leo ndio nimeamini kwa nini Chadema wanamuogopa sana Kinanan kwani ni mtu wa kazi sio maneno na leo YAMETIMIA

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
1.-Katibu-Mkuu-wa-CCM-Abdulrahman-Kinana-akihutubiamaelfuya-watu-katika-Uwanja-wa-shue-la-Msingi-Rujewa.jpg

JITAMBUE1

We nae unapendaga kujitoa akili, kwani hiyo iliyojiuzulu leo ndio ile mizigo ya kinana na nape? Hiyo ni mizigo mipya kabisa.... Ile ya kinana bado iko uongozini.... Acha kujifanya mwehu basi
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, siku chjache zilizopita Katibu mkuu wa chama dume na katibu mwenezi walifanya ziara mikoani na kuangalia kero zinazowakabili wananchi.

Katiaka ziara hiyo, mheshimiwa Kinanana aligundua mapunguf katika utendaji wa baadhi ya mawaziri na aliahidi kuwa lazima wang'oka

LEO HII SOTE TUMEONA WAMENG'OKA

Kwa anaemjua Kinana, huyu ndie aliemnadi Mkapa from uknown wazi wa sayansi kuwa Rais na pia ndie aliesimamia kampeni za Rais wetu wa sasa

Leo ndio nimeamini kwa nini Chadema wanamuogopa sana Kinanan kwani ni mtu wa kazi sio maneno na leo YAMETIMIA

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
1.-Katibu-Mkuu-wa-CCM-Abdulrahman-Kinana-akihutubiamaelfuya-watu-katika-Uwanja-wa-shue-la-Msingi-Rujewa.jpg

JITAMBUE1

Chris Lukosi a.k.a Chilisosi naona unataka kutufanya sote wapumbavi na propaganda zako? Sote tunajua kuwa Kinana kuzunguka nchi nzima na kutaja majukwaani mawaziri mizigo ni njia ya kusukuma ajenda ya mabadiliko ya baraza la mawaziri ili pia na kale kamama Migiro kaingizwe. Kutoswa mawaziri hii (na wali sio hiyo listi ya mawaziri mizigo) leo ni kutokana na kutesa na kuuwa raia juu ya mgongo wa operesheni tokomeza. Na kwa mwendo huu tuone kama chama cha magamba kitadumu[FONT=Times New Roman, Times, serif].[/FONT]
 
Tena zigo kubwa ndio limemuagiza pinda kuhakikisha kuwa mzigo mdogo mathayo anajiuzuru. bado mamizigo wengine wanamsubiri mwenye mzigo ambaye kuna mzigo una msumbua yuko marekani.
 
Back
Top Bottom